Ndoa ya mke zaidi ya mmoja

Ndoa ya mke zaidi ya mmoja

Wanawake wanawake hiv viumbe Mungu ndio anajua aliweka nini kichwan kwao,,sometime wapo smart sana sometime wanafanya maamuzi unashangaa

Unakuta mwanamke yupo radh mumewe awe na nyumba ndogo lakin asimuoe hapo jicho lake tu ni kwenye haki za mke zibaki kwake yeye au kama kuna mali basi zisije kugawanywa..!

Ukweli juu ya kuoa mke zaid ya Mmoja Uislam ulikuja kuweka idadi lakin Quran ndio kitabu pekee kilichotamka oa mke mmoja,dunia nzima haswa africa tulikuwa hatuoi mke mmoja ni mzungu ndio alikuja kusema mke mmoja na bibi zetu hawakuwa na shida juu ya hilo utakuta mwanamke anasema siolewi mke wa pili na wakati yeye kazaliwa na mama ambaye nu nyumba ndogo..

Ndoa ya mitala haipendwi hata na wanawake waumin kabisa wa dini...lakin MwenyezMungu aliliwrka hili kama hasara ndogo kuokoa hasada kubwa...mwanamke jiulize ni bora uolewe mke wa pili au ubakie kama mali ya umma??

Sababu kuwa mke wa pili au watatu haimaanishi ukienda sehem utajitangaza mi ni mke wa tatu utjitambulisha kama mke wa mtu utapata heshima ile ile ya mke wa mtu utapata nafasi ya kuwa na familia yako yenye watoto na baba yao...lakin pia shetan anataka.muendele kuzin ndio maana anaweka ugumu kwenye hili.!

Bado sijaoa ila inshaa allah ndoto zangu kuoa zaid ya mmoja
 
Umenena ndugu yangu.

Yaani ni bora mume tu awe Na mke ukajua moja kuliko kuzini nje na maradhi Haya yalojaa.

Tukifiria zaidi ndoa ni tulizo la nafsi.
 
Me jambo la mume wangu kuoa mke mwengine halinistui sanaa ila huyo anaenda kuoa sasa ndio mtihani hujui tabia zake zikoje,huenda mnaelewana vizuri tu ila akiolewa mwengine mtihani.
Mshauri mwanamke bora wa kumuoa...alafu muombee dua ampate bora zaidi yako...hapo mtaiva...
 
Mafundisho ya Allah S.A.W unakubali tu kiulainii[emoji16]
Kwa mchamungu halisi mbona hilo halina shaka...YAANI MIWANAWAKE WA SIKU HIZI UTUMBO SANA...IKO RADHI MUMEWE AWE ANACHEPUKA...ILA SIO KUOA MKE MWINGINE...
 
Wanawake wanawake hiv viumbe Mungu ndio anajua aliweka nini kichwan kwao,,sometime wapo smart sana sometime wanafanya maamuzi unashangaa

Unakuta mwanamke yupo radh mumewe awe na nyumba ndogo lakin asimuoe hapo jicho lake tu ni kwenye haki za mke zibaki kwake yeye au kama kuna mali basi zisije kugawanywa..!

Ukweli juu ya kuoa mke zaid ya Mmoja Uislam ulikuja kuweka idadi lakin Quran ndio kitabu pekee kilichotamka oa mke mmoja,dunia nzima haswa africa tulikuwa hatuoi mke mmoja ni mzungu ndio alikuja kusema mke mmoja na bibi zetu hawakuwa na shida juu ya hilo utakuta mwanamke anasema siolewi mke wa pili na wakati yeye kazaliwa na mama ambaye nu nyumba ndogo..

Ndoa ya mitala haipendwi hata na wanawake waumin kabisa wa dini...lakin MwenyezMungu aliliwrka hili kama hasara ndogo kuokoa hasada kubwa...mwanamke jiulize ni bora uolewe mke wa pili au ubakie kama mali ya umma??

Sababu kuwa mke wa pili au watatu haimaanishi ukienda sehem utajitangaza mi ni mke wa tatu utjitambulisha kama mke wa mtu utapata heshima ile ile ya mke wa mtu utapata nafasi ya kuwa na familia yako yenye watoto na baba yao...lakin pia shetan anataka.muendele kuzin ndio maana anaweka ugumu kwenye hili.!

Bado sijaoa ila inshaa allah ndoto zangu kuoa zaid ya mmoja
BLAZA HEBU WAELEZE HAWA WASIOKUWA NA DINI...
 
Nimeshuhudia chache Sana zenye amani na nyingi zenye migogoro. Uadilifu ni kwa wote mume, pamoja na wake zake.

NB
Wanaume mnapoongeza wake msiangalie tamaa zenu za kimwili tafuta mwanamke muadilifu hakika huyu atakuongezea furaha ,amani na upendo ukiingia Choo cha kike utaona dunia chungu.

Ukishindwa kupata mke muadilifu bora uendelee kupambana na mke mmoja.
 
Me jambo la mume wangu kuoa mke mwengine halinistui sanaa ila huyo anaenda kuoa sasa ndio mtihani hujui tabia zake zikoje,huenda mnaelewana vizuri tu ila akiolewa mwengine mtihani.
Kabisaaaa
 
[QUOTEhuko nancial services, post: 29686032, member: 434126"]Niliskia hii aisee, sijui kiwango chao cha wivu ni zero,eti kuna Dada alimuandalia mumewe mpk nguo ya kuvaa harusini. Mimi hapana kabisaa[/QUOTE]
Imani yako ni dhaifu
 
Nimeshuhudia chache Sana zenye amani na nyingi zenye migogoro. Uadilifu ni kwa wote mume, pamoja na wake zake.

NB
Wanaume mnapoongeza wake msiangalie tamaa zenu za kimwili tafuta mwanamke muadilifu hakika huyu atakuongezea furaha ,amani na upendo ukiingia Choo cha kike utaona dunia chungu.

Ukishindwa kupata mke muadilifu bora uendelee kupambana na mke mmoja.
Ulichosema ni sawa lakin i kwa mwanamme ALIYEKUWA na Mawazo ya kuongeza mke ujue ataongeza tu
 
Wengine wanawasindikiza hadi harusini.
Yupo Bibi yangu alishawahi kufanya hivi na unaambiwa hadi Kanzu ya babu alimnyooshea na kumuandalia mpaka kobazi za kuvaa wakati wa kwenda kuoa na kisha akamsindikiza. Nkasema aisee. Watu wana mioyo yao.
 
Wanawake wanawake hiv viumbe Mungu ndio anajua aliweka nini kichwan kwao,,sometime wapo smart sana sometime wanafanya maamuzi unashangaa

Unakuta mwanamke yupo radh mumewe awe na nyumba ndogo lakin asimuoe hapo jicho lake tu ni kwenye haki za mke zibaki kwake yeye au kama kuna mali basi zisije kugawanywa..!

Ukweli juu ya kuoa mke zaid ya Mmoja Uislam ulikuja kuweka idadi lakin Quran ndio kitabu pekee kilichotamka oa mke mmoja,dunia nzima haswa africa tulikuwa hatuoi mke mmoja ni mzungu ndio alikuja kusema mke mmoja na bibi zetu hawakuwa na shida juu ya hilo utakuta mwanamke anasema siolewi mke wa pili na wakati yeye kazaliwa na mama ambaye nu nyumba ndogo..

Ndoa ya mitala haipendwi hata na wanawake waumin kabisa wa dini...lakin MwenyezMungu aliliwrka hili kama hasara ndogo kuokoa hasada kubwa...mwanamke jiulize ni bora uolewe mke wa pili au ubakie kama mali ya umma??

Sababu kuwa mke wa pili au watatu haimaanishi ukienda sehem utajitangaza mi ni mke wa tatu utjitambulisha kama mke wa mtu utapata heshima ile ile ya mke wa mtu utapata nafasi ya kuwa na familia yako yenye watoto na baba yao...lakin pia shetan anataka.muendele kuzin ndio maana anaweka ugumu kwenye hili.!

Bado sijaoa ila inshaa allah ndoto zangu kuoa zaid ya mmoja

ANGALIZO.

Sheikh, utakapo oa mke zaidi ya mmoja ni lazime uzingatie HAJA na sio HAMU tu, na zaidi ya hapo UADILIFU ndiyo nguzo kubwa iliyosisitizwa na kama utajiona hutawezi uadilifu kwa wakezo basi ni bora ubaki na mmoja kuliko kuchuma dhambi.

Nakutakia ndoa njema.
 
UNAJUA WANAUME MPAKA TUKAPEWA RUHSA NA ALLAH TUOE ZAIDI YA MKE MMOJA...ANAJUA TUNA UWEZO WA KULIMUDU HILO KAMA WANAUME...

ILA INAHITAJI UADILIFU WA HALI YA JUU UWEZE KUFURAHIA NDOA NA UISHI KWA AMANI BAINA YAKO NA WAKE ZAKO...

WENGI WAO HUKURUPUKA KWA MATAMANIO...NA WAKIWA HAWANA UADILIFU WOWOTE...MWISHO WA SIKU NDOA INAKUWA CHUNGU...ALAFU BAADAE UNAWAFANYA WANAWAKE WAZICHUKIE HEKMA ZA MOLA WAO KUWAPA RUHSA WAUME ZAO KUOA ZAIDI YA MMOJA...

HEBU LETA EXPERIENCE YA MTU AMBAYE ANA MKE ZAIDI YA MMOJA NA ANAFURAHIA NDOA...

NA EXPERIENCE YA MKURUPUKAGI NDOA HIYO IMEMTOKEA PUANI...

UADILIFU UADILIFU...

Sijawahi kuona mtu mwenye mke zaidi ya mmoja anayefurahia ndoa yake, wengi wameoa mpaka wanawake 4 na bado wanachepuka. Kuoa mwanamke zaidi ya mmoja ni umalaya tu ulioruhusiwa kwa wanaume ili kunyanyasa wanawake. Penzi haligawanyiki hata siku moja, marehemu Maneti na Kida Waziri waliimbaga haya.
 
Yupo Bibi yangu alishawahi kufanya hivi na unaambiwa hadi Kanzu ya babu alimnyooshea na kumuandalia mpaka kobazi za kuvaa wakati wa kwenda kuoa na kisha akamsindikiza. Nkasema aisee. Watu wana mioyo yao.

Huyo alikuwa na matatizo ya akili tu n usikute babu yako alikuwa anamcheka tu.
 
Wanawake wanawake hiv viumbe Mungu ndio anajua aliweka nini kichwan kwao,,sometime wapo smart sana sometime wanafanya maamuzi unashangaa

Unakuta mwanamke yupo radh mumewe awe na nyumba ndogo lakin asimuoe hapo jicho lake tu ni kwenye haki za mke zibaki kwake yeye au kama kuna mali basi zisije kugawanywa..!

Ukweli juu ya kuoa mke zaid ya Mmoja Uislam ulikuja kuweka idadi lakin Quran ndio kitabu pekee kilichotamka oa mke mmoja,dunia nzima haswa africa tulikuwa hatuoi mke mmoja ni mzungu ndio alikuja kusema mke mmoja na bibi zetu hawakuwa na shida juu ya hilo utakuta mwanamke anasema siolewi mke wa pili na wakati yeye kazaliwa na mama ambaye nu nyumba ndogo..

Ndoa ya mitala haipendwi hata na wanawake waumin kabisa wa dini...lakin MwenyezMungu aliliwrka hili kama hasara ndogo kuokoa hasada kubwa...mwanamke jiulize ni bora uolewe mke wa pili au ubakie kama mali ya umma??

Sababu kuwa mke wa pili au watatu haimaanishi ukienda sehem utajitangaza mi ni mke wa tatu utjitambulisha kama mke wa mtu utapata heshima ile ile ya mke wa mtu utapata nafasi ya kuwa na familia yako yenye watoto na baba yao...lakin pia shetan anataka.muendele kuzin ndio maana anaweka ugumu kwenye hili.!

Bado sijaoa ila inshaa allah ndoto zangu kuoa zaid ya mmoja
Maneno ya busara kweli, ila kabla hujaoa tafuta anayejua hayo mambo na umueleze kabisa fikra zako za baadae baada ya kumuoa yeye, ukiona dalili hazipo za kukubali ujue ukishaoa utakuwa na kazi ya ziada kumshawishi.
 
Back
Top Bottom