Ndoa ya mkataba ni nzuri sana

Ndoa ya mkataba ni nzuri sana

Endapo mkataba umeisha lakini mmoja bado anampenda mwenzake lakini huyo mwenzake hataki ku-renewal inakuaje?

Migogoro bado itaendelea kuwepo tu...

Cc: mahondaw
 
wazo lako ni zuri sana.....nampa ya kulipenyeza lifike bungeni sasa......ndoa nyingi ni sanaa tuu.....but hii kauli ya ndoa ya kikristo haivunjiki.......kwanza ipite mbali kabisa......mmeshindwana then kwasbb hiyo tuendelee...no way...futa delete....na ndio maana cheti cha ndoa kina chapa ya jamhuri......
 
Bado sielewa hii comment yko kwa huku mwishoni
 
Hapo vip!!
Kutoka na hali Ya maisha Ya ndoa Ya nyakati hizi,kuna umuhimu sana ikapelekwa bungeni mswada wa kupitisha ndoa Ya mkataba kwa sababau zifuatazo :

Kwanza katika research niliofanya, nimegundua katika kaya nyingi sana wanaotangulia kufa mepema ni wanaume kwa asilimia 97% .

Na miongoni mwa sababu inayosababishia wanaume watangulie kufa ni pressure,strock ,magonjwa Ya moyo na kuparalize gofla kutokana na mshtuko,stress na msongo wa mawazo unaosababishwa na wake zao.

Na kutoka na nature Ya ndoa tunazofunga makanisani inakuwa vigumu kwa mwanaume kuvunja ndoa endapo emekutana na mazingira kama haya, hivyo kungekuwa na ndoa ya mkataba ingemsadia mwanaume au mwanamke kuvunja au kuachana na hyo ndoa kama tayari ameona inamletea stress,inamnyima amani na kumletea msongo wa mawazo.

Faida nyingine Ya ndoa Ya mkataba, inaleta heshima kwenye ndoa, yaani mwanamke hatakuwa msumari wa moto ndani ya nyumba kwasababu anajua fika akizingua mkataba ukiisha na ndoa imekwisha.

Chonde chonde kwa wenye nafasi bungeni wapeleke huu msawada bungeni ili tuweze patiwa ndoa Ya mikataba.

Uko kwenye ndoa?

Unaogopa kufa mapema?

Kama hajaingia kwwnye ndoa usiingie. .... sababu uwe nazo mwenyewe sio za kuambiwa na mtu.

Kama hujaingia na unataka kuingia kwwnye ndoa tafuta uzi wa BAK kuhusu utamu wa ndoa hapo changing na zako katoe mahari weka mke ndani.
 
Hizi ndoa za mkataba ni bomu Mkuu. Kwa maoni yangu hazistahili kabisa kuruhusiwa.

unajua kinachotokeaga ukiwa umebaki mwezi mmoja ili mkataba uishe? watu wanagegedana all the time cha mwishomwisho hadi wanauguaga kabisa.
 
Bora zihalalishwe tu ndoa za mkataba
 
Hizi ndoa za mkataba ni bomu Mkuu. Kwa maoni yangu hazistahili kabisa kuruhusiwa.
Tena mkataba uwe miaka miwili miwili au mmoja ndoa ikizingua unagoma ku renew kila mtu atambae na hamsini zake hakuna kugandana watoto tutalea juu kwa juu mbele kwa mbele....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hapo vip!!
Kutoka na hali Ya maisha Ya ndoa Ya nyakati hizi,kuna umuhimu sana ikapelekwa bungeni mswada wa kupitisha ndoa Ya mkataba kwa sababau zifuatazo :

Kwanza katika research niliofanya, nimegundua katika kaya nyingi sana wanaotangulia kufa mepema ni wanaume kwa asilimia 97% .

Na miongoni mwa sababu inayosababishia wanaume watangulie kufa ni pressure,strock ,magonjwa Ya moyo na kuparalize gofla kutokana na mshtuko,stress na msongo wa mawazo unaosababishwa na wake zao.

Na kutoka na nature Ya ndoa tunazofunga makanisani inakuwa vigumu kwa mwanaume kuvunja ndoa endapo emekutana na mazingira kama haya, hivyo kungekuwa na ndoa ya mkataba ingemsadia mwanaume au mwanamke kuvunja au kuachana na hyo ndoa kama tayari ameona inamletea stress,inamnyima amani na kumletea msongo wa mawazo.

Faida nyingine Ya ndoa Ya mkataba, inaleta heshima kwenye ndoa, yaani mwanamke hatakuwa msumari wa moto ndani ya nyumba kwasababu anajua fika akizingua mkataba ukiisha na ndoa imekwisha.

Chonde chonde kwa wenye nafasi bungeni wapeleke huu msawada bungeni ili tuweze patiwa ndoa Ya mikataba.
Labda hiyo ni tatizo kwa ndoa zisizo za Kiislam, ndoa zote za Kiislam ni mkataba "Aqd".
 
Uko kwenye ndoa?

Unaogopa kufa mapema?

Kama hajaingia kwwnye ndoa usiingie. .... sababu uwe nazo mwenyewe sio za kuambiwa na mtu.

Kama hujaingia na unataka kuingia kwwnye ndoa tafuta uzi wa BAK kuhusu utamu wa ndoa hapo changing na zako katoe mahari weka mke ndani.

Bdo sijaingia kwenye ndoa lakini wakati nafanya poverty analysis kwa kumuangalia head of the household... Nimekuta wengi katika kaya ambaya inamzazi mmoja aliyebaki ni mwanamke.. Na reasons za wanaume kutangulia kufa ni sabababu ambazo nimeanisha hapo juu.. Pia watu wanaosema ndoa ni tamu ni couple moja kati ya 200,fanya research...

Mimi siogopi kufa ila sipotayari mtu awe chanzo cha mimi Kutangulia kufa.
 
Faiza umerudi mkuu?
Za siku dada? Umepotea sana jukwaani,karibu sana utupe nasaha zako.
 
Back
Top Bottom