fabinyo
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 3,042
- 2,235
miaka 32 ana PHD?sina uhakika,anybade to help![/QUOT
Inawezekana kabisaaa..!
tz hii?hebu nipe mchanganuo niridhike!anzia toka vidudu
miaka 32 ana PHD?sina uhakika,anybade to help![/QUOT
Inawezekana kabisaaa..!
tz hii?hebu nipe mchanganuo niridhike!anzia toka vidudu
Kwa upande wangu naona watawezana maana huyo dada yako ni mzungu na huyo jamaa ni mwafrika tena Mtanzania.Nasema hivo kwa kuwa kwa Tanzania yetu na mlolongo wa elimu yetu hakuna tena nasema hakuna kabisa mtu anaeweza kupata Phd akiwa na miaka 32, I stand to be corrected forever
Enyi mpendanao oaneni kwa raha zetu na muishi kwa amani hiyo inferioirty na superiority ni hakuna kitu maana kama mnajuana elimu zenu za sasa na mmezikubali shida haipo. kama mnadhani elimu ni kikwazo kwenu ninyi ni sawa ila si kwa kile watu wanachangia eti.
Habari zenu wakuu. Naombeni mawazo yenu nimsaidie dada yangu maana yuko katika wakati mgumu wa kuamua.
Ni dada mwenye miaka 32, mtoto mmoja, elimu ya PHD. Amekutana na mwanaume, mfanya biashara wa kawaida tu, elimu std 7, anaemzidi kama miaka mitatu. Wanapendana na mwanaume amepropose anataka wafunge ndoa haraka iwezekanavyo. kinachomtatiza ndugu yangu ni kwamba anawasiwasi kuwa understanding capacity yao inaweza kuja kuwaletea shida huko baadae as wanaume wakioa wanawake wa aina hii kunakuwaga na inferiority complex fulani na mara nyingi hawachukulii vitu vingi kwa namna sawa. Kuna ambae ana uzoefu na jambo hili na wenye mawazo naomba tumsaidie ndugu yetu. natanguliza shukran
Habari zenu wakuu. Naombeni
mawazo yenu nimsaidie dada yangu maana yuko katika wakati mgumu wa
kuamua.
Ni dada mwenye miaka 32, mtoto mmoja, elimu ya PHD. Amekutana na
mwanaume, mfanya biashara wa kawaida tu, elimu std 7, anaemzidi kama
miaka mitatu. Wanapendana na mwanaume amepropose anataka wafunge ndoa
haraka iwezekanavyo. kinachomtatiza ndugu yangu ni kwamba anawasiwasi
kuwa understanding capacity yao inaweza kuja kuwaletea shida huko baadae
as wanaume wakioa wanawake wa aina hii kunakuwaga na inferiority
complex fulani na mara nyingi hawachukulii vitu vingi kwa namna sawa.
Kuna ambae ana uzoefu na jambo hili na wenye mawazo naomba tumsaidie
ndugu yetu. natanguliza shukran
Mimi sioni tatizo...kama wanapendana waendelee...kwa sababu ndoa zenye matatizo ni nyingi sana...unless tuseme matatizo ya ndoa yanatokana na mke kumzidi mume elimu....which is not true kwani nyingi za hizi zenye migogoro elimu ni sawa au baba amezidi elimu...
Mwache ajaribu bahati yake...utashangaa wanakuwa mfano. ndoa kutodumu hakuna formular ambayo ni absolute ingekuwepo baaasi watu wangeifuata na wasingetengana kamwe. Tunachofanya ni guess work tu...
tz hii?hebu nipe mchanganuo niridhike!anzia toka vidudu
Inawezekana kama kaenda almost non stop toka mwanzo hadi mwisho
Habari zenu wakuu. Naombeni mawazo yenu nimsaidie dada yangu maana yuko katika wakati mgumu wa kuamua.
Ni dada mwenye miaka 32, mtoto mmoja, elimu ya PHD. Amekutana na mwanaume, mfanya biashara wa kawaida tu, elimu std 7, anaemzidi kama miaka mitatu. Wanapendana na mwanaume amepropose anataka wafunge ndoa haraka iwezekanavyo. kinachomtatiza ndugu yangu ni kwamba anawasiwasi kuwa understanding capacity yao inaweza kuja kuwaletea shida huko baadae as wanaume wakioa wanawake wa aina hii kunakuwaga na inferiority complex fulani na mara nyingi hawachukulii vitu vingi kwa namna sawa. Kuna ambae ana uzoefu na jambo hili na wenye mawazo naomba tumsaidie ndugu yetu. natanguliza shukran
Mmmhhh hiyo tofauti ni kubwa sana jamani kha hata kama................
Unless huyo jamaa anamkwanja mrefu sana wanawake sisi mmmmmhhhh