Nna experience ya ukungwi plz nione, nkufunde wallah ndoa utaiweka kiganjani huku uki slay kweny magwasumin ya pedeshee wako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimefurahi
Ujumbe mzuri Sana,itabidi tupunguze upendwa[emoji1787]
Tatizo walokole muda mwingi tunakuwa rohoni(I'm joking)[emoji23]
Nitajitahidi kufwata huu ushauri muda wa kuingia kwenye ndoa ukifika,naamini hawatakosekana mashangazi na watu wazima wa kunifunda.
The Monk umepita huku?
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂Una kipaji
Si unaona Hadi dada hapo juu kakwambia ubadili hayo mashairi kwenda kwenye wimbo halafu ukauimbe kanisani mlima wa Moto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepata shauku ya kutaka kukuona walau kwa picha!! Sijui utakubali mlokole wewe...🤔[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mitoko yangu yote Ni vitenge[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo Sahihi..!Mimi nimeokoka, ndio mwaka WA 30 sasa nipo ndani ya YESU, ukubali ukatae hainihusu
Lakini sicho kilichonileta hapa, kilichonileta hapa ni hii kitu inaitwaga "NDOA"
Ndoa Bwana hainaga mwenyewe, Mungu aliotoa ndoa Kwa waliookoka, wapagani na wasiookoka, huu NI ukweli na hakuna upendeleo, kama vile mvua na jua vinavyowashukia watu wote Duniani, waovu na watakatifu
Nachopenda kushauri wale nduguzangu waliookoka tunaotarajia kwenda Mbinguni, ikija kuhusu Swala la "NDOA" bwana tumia akili Sana alizokupa mwenyezi MUNGU
Kwa Mfano:
1. Kabla haujaolewa kuna Yale mavazi ilikuwa unatupia mumeo akakutamani nayo anakuweka kichwani ukamchanganya mpaka akakuwowa! Yale mavazi skuhizi mbona hauvai, hata mkiwa na mumeo wawili?!
2. Yale mauno ulikuwa unayakata kabla hujaokoka Kwa mumeo, skuhizi mbona haumkatii unasema Mungu hapendi?
3. Yale maneno machafu yaleeee... Ulikuwa unamwambia mumeo mpaka anasimamisha mkiwa wawili chumbani, mbona skuhizi haumuongeleshi tena?! Kisa umeokoka au?! Jamani mnafeli wapi wenzetu??
4. Ule utundu utundu ule WA tendo la ndoa, ulokuwa unaufanya sebuleni, kwenye gari, jikoni, bafuni, ulikuwa ukimchanganyia NAO mumeo katika kukoleza penzi Lenu, mbona skuhizi hauufanyi?? Shetani gan amekubadilisha?
Ndio Biblia umesema Ndoa na iheshimiwe na watu wote, lakini haijasema uonekane mchovu na kilaza WA Mapenzi au ukaushe "OUR SEX LIFE katika ndoa yetu au uanze kunihubiria Kila unapoambiwa na mume umpe Haki yake pale linapokuja swala la Unyumba ndani ya ndoa.
Msimpe shetani nafasi walokole wenzangu, me kwenye swala la Unyumba na tendo la ndoa ulokole naeekaga pembeni Kwanza, staki mchezo kabisa [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] nipo serious[emoji85]
Tena nahakikisha kiuno nakikata kama feni mbovu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]
Au nakosea wajameni?!
Nipo hapa ofisini narekodi kipindi cha YouTube cha kuhusu ndoa ya waliookoka na wasiookoka ipi inapendeza zaidi??
Nimepata shauku ya kutaka kukuona walau kwa picha!! Sijui utakubali mlokole wewe...[emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Hujamjua huyo kiumbe wewe aitwae money penny!!
Sawa cocaNna experience ya ukungwi plz nione, nkufunde wallah ndoa utaiweka kiganjani huku uki slay kweny magwasumin ya pedeshee wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa ujibu Kama ni ndio au hapana..
👍[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila kipaji unacho
Yawezekana ameongea kiutani tu ila Mimi nakuwekea msisitizo..
Please usiniache kikakaa bila kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima nijali nimepata kiwewe nione mlokole😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazima nijali nimepata kiwewe nione mlokole[emoji23][emoji23]
Itakuwa lini kuona picha yako..??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahivi piemu😜
Upo na mkeo nyumbani halafu nguo anazo vaa ni Yale magauni marefu wana yaita " Yesu ni Mwamba"
HELL NOOOOO!!!!
Uzuri wa kuwa na MKE nyumbani awe nusu uchi nusu uchi
Magauni peleka Kwa Baba ako mzazi