Ndoa ya Barak Obama mashakani

Status
Not open for further replies.
Hii inanikumbusha ya Clinton Bill na Monica Lewinsky.

Labda democtat leaders hupendwa sana na vidosho, hasa wale wanaounganisha terms zao za urais, naona kama inajirudia (propagation).
 

UDAKU mwingine jama ni kiboko sasa hapo kuna picha gani mbaya
Maana huyo mdada kuSmile kwao ni jadi hata alipokutana na Kikwete.
sasa wameshamzushiwa Michelle wa Obama kuwa anaondoa Ikulu.
Ni KITU KISICHOWEZEKANA
Kwa hilo jicho ’bama analomwangalia huyo mama wa kichina, naapa kama hajapiga laaazma atapiga! Bisha usibishe.
 

Matatizo ya Chumbani hayawezi kuathili Utawala!!!
Viongozi wengi maarufu Duniani akiwemo Nelson Mandela Ndoa zao zimeyumba hadi kuanguka lakini bada wamekuwa imara
Fuatilia Hotuba ya Askofu Kakobe Tarehe 25/12/2013
 
We.... Obama ndoa yake sio kama ya Dr slaa au mbowe..wala baba ritzmocko
That marriage os perfect one!!
 
Kwahiyo juzi walipopiga picha hapo south ndiyo ilianzia hiyo ishu au ??

Maana naona hapa jfk umeshaapafanya kiu ijumaa na sani sasa
Acha longo longo wewe, hujaona kwamba nimeweka na links hapo ili ujisomee mwenyewe? MImi nina sababu gani ya kupageuza hapa Sani au Kiu? Pananisaidia nini kwa kufanya hivyo?
 
Hii kitu imepikwa na wabaya wa Obama.

Barack na Michelle hawa hapa wakitoa salamu cha Krismasi juzi tu.

 
Kama Michelle angekuwa kaolewa na hii njemba ingekuwaje?

 
Hii kitu imepikwa na wabaya wa Obama.

Barack na Michelle hawa hapa wakitoa salamu cha Krismasi juzi tu.

You never, know. Kuna hoja humo kwamba wanaishi pamoja kwaajili ya kutunza heshima tu. Haishangazi!
 
Michelle anampenda kweli Baraka....ila Baraka kuwa 'puppet' wa Nguvu Nyeupe anazuzuka...kiasi cha kutojali hisia za mkewe! Tahadhari anayotakiwa kuwanayo Michelle nikuwa makini na namna anavyotaka kuvunja uhusino wake na Baraka, maana yawezekana akafanyiwa kama alivyofanyiwa Diana ili kulinda 'hadhi' ya Baraka.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…