Movement za kataa ndoa zinavyo anza kama zile za 50/50 na haki sawa. Ndio kweli zina changamoto zake ila ndio msingi wa kila kitu kuanzia familia ,jamii mpaka taifa.
Ni kweli japo inawezekana pia mambo yasipokuendea vizuri, mwanamke akasaidia familia pia, ila wewe si ulisema wanawake wanaolewa sababu ya kuhudumiwa tena financially ndiyo nikauliza vipi hao wenye uwezo wanahitaji upendo tu, pesa si sana?
Wanawake wengi mnapenda ndoa kwasababu ya Mnajua mkiolewa mtapewa pesa Za kula na kuvaa, na waume zenu, na si kwasababu ya heshima/ kupata Life time partner Numbisa