Ndoa tamu jamani

Ndoa tamu jamani

Sio kitandani tuu my dear.. mwanamke anapenda attention kuwa complimented anapendwa kupendwa. ninamaanisha yale anatokufanyia, majina mazuri anayokuita nawe uwe unamwita na kumfanyia pia. once in a while umpe vizawadi show that you appreciate what she is doing for u...
mpende mkeo kwa kuonyesha sio kusema tuu action F

Nimekusoma dear...mimi namwita "my heartpamper" hahahaha kwa majina mzuri mbona kiwanda hichi
 
hahahaaaaa benteke #ben kumbe ndio maana ulikuwa kimya umetisha kila la kheri mkuu
 
Last edited by a moderator:
Jamani nilisahau kuwaambia nilioa mwezi wa kumi na mbili. Nimeona nitulie tu maana hizi papuchi haziishi utamu kadri unavozila ndio unapata hamu zaidi.

Sasa najiuliza ni mwanzo tu au nitegemee suprice uko mbeleni maana hubby umeshakula.Hubby chakula tayari na hilo neno hubby mpaka nilizoee. Ngoja tuone.

Hakuna perfect happiness duniani. Mwezi ujao tu utaanza kununiwa na kusonywa. Na omba Mjngu usichapiwe pia. Hutaamini kuwa ni yule yule aliyekwambia hawezi kuishi bila wewe. Women.... ni zaidi ya uwajuavyo.
 
hongera benteke kati ya wale wadada ni yupi umemchukua jumla?

miss neddy hasante dear...swali zuri sana.. kuna mmoja alikua ananigombeza sana. Yule ambaye alikua akinipigia simu naruka kama nimeona nyoka, alikua pia akinipeleka kwenye besdei.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna perfect happiness duniani. Mwezi ujao tu utaanza kununiwa na kusonywa. Na omba Mjngu usichapiwe pia. Hutaamini kuwa ni yule yule aliyekwambia hawezi kuishi bila wewe. Women.... ni zaidi ya uwajuavyo.

Mu7 hayo ni majaribu tu kama majaribu mengine...kila mwanaume kamili lazima awaze kujenga familia, awaze kuzaa watoto na mwanamke na kuwalea.....kama ukiwa unawaza hayo, basi hizo nyingine zitakua changamoto tu kama nyinginezo za maisha..huwezi kuwa kamamili alafu ukaogopa kuanzisha familia yako kwa sababu ya changamoto.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna raha kama kulala kila siku usiku na mume,yaan kugeuzwa fasta halaf vitu vya motoo miili inachemka duuu, siri yangu benteke hongera
 
Last edited by a moderator:
Hakuna raha kama kulala kila siku usiku na mume,yaan kugeuzwa fasta halaf vitu vya motoo miili inachemka duuu, siri yangu benteke hongera

Wee acha tu Dinazarde kwanza hasante sana. Kumiliki mke ni raha sana. Saaingine mnapigastory kitandani alafu ghafla mnajikuta mna gegedana...its amazing experience.
 
Last edited by a moderator:
Wee acha tu Dinazarde kwanza hasante sana. Kumiliki mke ni raha sana. Saaingine mnapigastory kitandani alafu ghafla mnajikuta mna gegedana...its amazing experience.

Sio mpaka ya kuhangaikia uwiiiiiii ni raha tu,,,uanze kutuma mpesa ili aje mnakaa siku mbili kila mtu kivyake khaa ya nini hayo weka kitu ndan ni kujipimia tuuu heloooo
 
Last edited by a moderator:
Jamani nilisahau kuwaambia nilioa mwezi wa kumi na mbili. Nimeona nitulie tu maana hizi papuchi haziishi utamu kadri unavozila ndio unapata hamu zaidi.

Sasa najiuliza ni mwanzo tu au nitegemee suprice uko mbeleni maana hubby umeshakula.Hubby chakula tayari na hilo neno hubby mpaka nilizoee. Ngoja tuone.
kua uyaone ,naomba kila mwaka mwezi kma huu tuletee annual ripoti,kama haujajaza server ya JF kwa malalamiko suburi ndoa ikishajibu utaanza kuitwa baba fulani,baada ya muda utaitwa mume wangu,then utaitwa kwa jina lako halisi baada ya muda utaitwa majina ya madikteta wote kama hitler,sadam au cha wivu chapombe cha ugomvi sijui kimeo nk now ni kipwa kinyemi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom