Ndoa tamu jamani

Ndoa tamu jamani

watu wa humu wachoyo mweh hata kualikana

mkuu nilifungia mkoani..hapa dar wangeniaribia. Niliogopa asijeenda kuzui kanisani ..hahahaha. watuhawafai kabisa
 
kumbuka pia na wewe una a big role to play ukipewa vitamu na wewe ukumbuke kutoa sio unakuwa recipient tuu. si unajua it takes two to tango!! All the best.
 
Dah e bwanae mapema yote hii tayari ushaanza kutafuta shamba la kukodi??? Subiri walau ndoa iwe na mwaka mmoja hivi:sly:

Mkuu hapana..huyu ni jirani yangu kabisa toka sikunyingi
 
Hakuna silaha kubwa katika maisha ya ndoa kama uvumilivu na kuheshimiana....kuvumiliana na kuheshimiana ndio kunawafanya watu waaadhimishe miaka hamsini ya ndoa....ndio kunawafanya watu wayafurahie maisha ya ndoa....ndio kunawafanya wanandoa wanazeeka pamoja huku wakiwa wanapendana kwa dhati....
 
kumbuka pia na wewe una a big role to play ukipewa vitamu na wewe ukumbuke kutoa sio unakuwa recipient tuu. si unajua it takes two to tango!! All the best.

Unamaanisha kitandani au kuna kingine NamnyakNancy
 
Last edited by a moderator:
Hongera Sana muombe Mungu mambo yawe hivyo hivyo milele.
 
Unamaanisha kitandani au kuna kingine NamnyakNancy

Sio kitandani tuu my dear.. mwanamke anapenda attention kuwa complimented anapendwa kupendwa. ninamaanisha yale anatokufanyia, majina mazuri anayokuita nawe uwe unamwita na kumfanyia pia. once in a while umpe vizawadi show that you appreciate what she is doing for u...
mpende mkeo kwa kuonyesha sio kusema tuu action F
 
Jamani nilisahau kuwaambia nilioa mwezi wa kumi na mbili. Nimeona nitulie tu maana hizi papuchi haziishi utamu kadri unavozila ndio unapata hamu zaidi.
Sasa najiuliza ni mwanzo tu au nitegemee suprice uko mbeleni..maana...hubby umeshakula..hubby chakula tayari...na hilo neno hubby mpaka nilizoee. Ngoja tuone.

Ni mwanzo tu utakimbia mwenyewe na kurudi ulikotoka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom