Ndoa tamu jamani

Ndoa tamu jamani

Maisha ya ndoa yana raha na starehe kama ukibahatika kumpata mwenza sahihi na anayejua maana ya ndoa ambaye atakufanya ujute kwanini ulichelewa kuoa au kuolewa...lakini ndoa hiyo hiyo hugeuka kuwa mfano wa gereza lenye mateso makali na maumivu tele endapo utaangukia katika mikono ya shetani aliyevaa ngozi ya binaadamu.....hapo ndipo mtu anapojuta kuolewa au kuoa.....
 
Kabisa..ila nimeona nisianza maisha haya mapya kwa kuwa na mtizamo hasi... nitamuomba sana Mungu na najua kifo ndio kitatutenganisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom