Ndoa tamu jamani

Ndoa tamu jamani

kingine; kama sasa hivi hubby ni nyingi....baby umekula...anakupikia vizuri sana...anakupokea ukirudi....hivi vyote vinote down...baadae akianza kujisahau tu MKUMBUSHE!!! ili arudi kwenye mstari na kurekebisha alipokosea. karibu kwenye ndoa kaka ni tamu si uwongo.
mhakikishe hamfukuzwi kazi tu maana hilo neno hubby litageuka punda😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom