Ndoa sio lelemama

Ndoa sio lelemama

sister Yani huu ni ukweli kabisa hizo formula mimi nilizikataaga na kwenye ndoa yangu nipo happy. Mtu anakupa maformula meengi ukiangalia yeye mwenyewe ndoa yake inapumulia mashine.

Ndoa ni jinsi unavyoiweka ndivyo itakavyokua wengi walichukua mafundisho hayo ya wamama wakaacha uhalisia wao sasa unajua kinatokea nini baada ya kukaa kama mwezi anajikuta kachoka zile formula sasa inabidi aonyeshe uhalisia wake matatizo yanaanzia hapo.
 
Last edited by a moderator:
Mi naona tatizo kwenye ndoa lina kuja pale ambapo wanandoa wanapo kua hawapo tayari kwa moyo wote kujenga ndoa yao badala yake huanza kuwa kumbuka ma x wao na kushirikiana kingono hapo ndiyo taasisi ya ndoa huanza kuharibika.
 
Tatizo lenu mnacopy na kupaste. Mambo yaliyofanyika zaidi ya miaka 1000 iliyopita mnaapply leo. Badilikeni fungeni ndoa yenye mkataba uliowazi mkubaliane kifungu kwa kifungu. Eti hadi kifo kiwatenganishe! Thubutu! Muhogo ukikatika au papuch ikiziba mwingine akale wapi? Tusidanganyanye
 
Ki ukweli siku hizi hakuna wanaume wa kuoa wala wanawake wa kuolewa bali wapo wa kufanya nao matusi na kuwaacha...
 
Inategemea umeingia kwenye hiyo ndoa na nani na kwa lengo gani, Ila hata vikombe kabatini hugongana.
 
Ndoa inavyote, raha na karaha. Inapoteka raha itumie vizuri na inapotokea karaha jaribu kutatu katika hali ya utulivu, umakini na akili. Kwenye ndoa kutumia mibavu kwa mwanamke siyo mahali pake.

Usipende kushirikisha kila jambo linalohusu ndoa yako kwa watu wa nje. Usimuamini mwanaume yoyote anayemendea ukaribu na mke wako hivyo hivyo kwa mwanamke. Na pia tambua wajibu wako, siyo kila mara mpaka ukumbushwe. Vingine vinatokeaga, vinakuja na kupita.
 
Tatizo Wengi wenu mmekua wanaume suruali,kutatua mambo madogo tu ndani ya nyumba mnashindwa,unamfanyia ujeuri mkeo ukiamini ndo atakuogopa.

Hakuogope wee Mungu anapretend tu na anabadilika polepole.Hapo ndo unapoona uchungu wa ndoa na kuanza kutafuta mchawi kumbe ulilikoroga mwenyewe.
 
Wengi hushauriwa na wrong people. Huwezi mfundisha mtu kwa usiku mmoja jinsi ya kuishi na mtu atakae ishi nae miaka yote hadi pale atapokufa ua talaka.
Wazazi wanatakiwa kufundishwa watoto toka mapema na wasisubiri hadi wakati anataka olewa ndo waanze mshauri jinsi ya kuishi na watu.
 
Hii taasisi nitaingia pale nitakapo ona moyo wangu upo tayari kuwa mtumwa uwiiii pesa iwepo muhimu ha ha.Tatizo hii taasisi ya ndoa dini imeifanya ikawa formal sana ingetakiwa kuwa kishkaji sana..mtu na mkewe utafikiri vita kwani mlikubaliana kuoana ili mmoja awe mjapara. Huwa sielewi kabisa kwani ni mnaoana maadui.
 
Ablessed
kabisa mana mpaka kuja kukuchumbia kashakuona kuwa wamfaa,sasa leo unakuja na mengine matokeo yake yanakushinda ndoa inakuwa ngumu.
 
Last edited by a moderator:
Take that might help u! ndoa lazima uwe mtaalam wa unafiki vinginevyo ukiwa mkweli unafail
 

Attachments

  • 1424066408167.jpg
    1424066408167.jpg
    28.8 KB · Views: 125
Hakuna maisha yasiyo na changamoto, hata ukisema ukimbie ndoa leo utakuwa sawa na kuhamisha matatizo mbeleni.
 
Back
Top Bottom