AiseeeeeWapo ndio. Kuna wamoja niliona clip yao. Wao walikutanishwa na dada wa mwanaume.
Mashallah kumbe we ni ostadhat!!Utabadilisha dini uwe muislam ili unioe kwani?
Duh umri unakutupa hivyo[emoji1] [emoji1] [emoji1]Siri yangu ila nakimbilia 30
Acha genye hujaona nimeandika C&P. Halafu mnafki mwenyewe kwani umeambiwa wanachoandika wengine ni sheria? MscheeewwwwwMtoa mada hata hayuko kwenye ndoa, na ni single mother, lakini yeye ndo anaisemea ndoa. Hana tofauti na makungwi....wanafunda ndoa lakini wao ziliwashinda. Unafiki mkubwa
Hao wa ughaibuni ndo zao. Wanatafutaga yeyote alie tayari wanaoa. Nina rafiki nae yuko Marekani alipatiwa mchumba na rafiki etu yuko huko pia. Ila ninavyoona hata wakioana ndoa haitadumu maana huyo shoga etu ana tabia nyeusiAiseeeee
Alafu nimekumbuka nilikua na rafiki angu mwarabu nae aliunganishiwa mwanaume na rafiki wa dadaa ake ...tena nimegundua wanaume wa watanzania wanaoishi ughaibuni mara nyingi ndio zao kitafutiwa wanawake wa nchini kwao
Ila rafiki angu alimlia vipesa vyake alivyokua anamtumia na hawakuoana
Natamani kukuoa.Acha tuu
Ila ucjal utapata tu muda ukifika,it is a matter of timeframeAcha tuu
[emoji122][emoji122][emoji122]Binafsi naamini kuleta watoto duniani bila mpango ni worse than ndoa bila mpango. Children without proper parenting suffer a lot.
Wengi wanatuma watoto kwa bibi na babu huko, vijana hawataki shida. Mtoto badala ya kumlea anapelekwa akalelewe na bibi yake. Tusiwatese watoto, hata hivyo unaweza kuingia ndoani na "love of your life" na bado mambo yakaharibika mbeleni.Mkuu mnaweza mkazaa na mkapangiana malezi ya mtoto vizuri tu. Kuna ndoa wazazi wanaishi kwa sababu walee ila kila mtu anacheat anavyotaka. Ndoa wanaiweka tu mtoto asione tofauti zao. Sasa kwanini ujinyime furaha kwa kukaa kwenye ndoa fake?
Weeeeeee khaaaaTaasisi inayochosha
Nikipata tangazo la mtu anayetafuta mke nitakuwa nakutumia pm[emoji4] [emoji4] [emoji4]Inshallah