gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,909
- 3,026
Geuza jiwe Kuwa mkate mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa njaaa suala dogo km ilo? Basi niamuru nifanye nn ,kisha nitafanya.
Geuza jiwe Kuwa mkate mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa njaaa suala dogo km ilo? Basi niamuru nifanye nn ,kisha nitafanya.
Imeandikwa mtu hatoishi kwa mkate tu !!![emoji23][emoji23][emoji23]Geuza jiwe Kuwa mkate mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unywaji pombe ni mojawapo tu katika yote, nahitaji lililo kuu kabisa ambalo husababisha NDOA kuwa ngumu hata kwa wale wasio tumia pombe..Naaaaaaaaaakila mtu atauuuchukuuuuuuuuuaaaaaaa mzigo wakeeeeee mwenyeweeeee!!
Mengine nishariti yalipiwe .... Ngoja nikupe moja tu
[emoji117]Achana na ulevi wa pombe na uvutaji wa sigara...90% ya wenye ndoa ,ambayo Baba au mama ni mnywaji au wote ni wanywaji weeeee wanadundana hao utazan Mike Tyson na Evanda kwenye pambano lao la 2001[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Pombe inampa mtu jeuri,kiburi,dharau., inakufanya umjibu mwenzi wako jeuri au kwadharau nahata umtusi, kinachofuatwa ni????? .
Wanywaji wapombe hawafanyi ibada nyumbani HATA SIKU MOJA??utakunywaje pombe kisha usali ban?? Au usali ndo unywe pombe??hehehehehehe ni maajabu makubwa Shooooooooooohh[emoji108][emoji23]( kuna wapuuzi wataja waseme wee jamaa unaongea km mwanamke,, ila wakinitusi nawatusi kwelikweli) .
Naendelea, Pombe mbali na mme/mke wako hupelekea kufanya uzinzi ambao hukuwa umekusudia...Je wajua mwanamke mnywa pombe ,nisukuma gogo tu,then unamla???? Sio kwasababy yann, bali pombe inacheza na Sehemu ya kati ya ubongo iitwayo Ventral Striatum hapa ndo kunaenda kutengenezwa msisimko mkubwa wa ngono,, sasa assume mume/mkeo yuko mbali??? Siutaliwa/kula na yoyote aliyeko karibu naww??? .alafu chukulia mfano, ukilewa sana ,utajua kinachoendelea??? Siutaliwa tu nakula?? Wapo waloliwa ovyo, na kuibiwa ovyo sababu yaaaaa Gambeeeeee!!
Hayo nimachache ila SITOKAA NIOE MWANAMKE MNYWA POMBE ,NAHAPA NAMANISHA POMBE KWA AINA ZAKE KWELIKWELI !!
hilo nimoja wapo Nyauuuuuuu
Kweli? Una miaka mingap?Bado mkuu
Ko ko koooooo kuna mtu hakujali mazingira yake, mwingine aliyajali san.. Lkn siku moja wote wakaumwa ? .Unywaji pombe ni mojawapo tu katika yote, nahitaji lililo kuu kabisa ambalo husababisha NDOA kuwa ngumu hata kwa wale wasio tumia pombe..
Ndoa inahitaji uvumilivu,kitu ambacho vijana wa sasa hatuna. Wazee wa zamani waliishi kwenye ndoa zaid hata ya 50yrs bila kuachana hata kwa talaka moja,waliweza sana kuvumiliana kwenye mapungufu yaoUnywaji pombe ni mojawapo tu katika yote, nahitaji lililo kuu kabisa ambalo husababisha NDOA kuwa ngumu hata kwa wale wasio tumia pombe..
Naomba nije PMBado mkuu
Kuna ndoa zinavunjika kisa show mbovu kitandani,upishi mbovu nk[emoji4] [emoji4] [emoji4]Unywaji pombe ni mojawapo tu katika yote, nahitaji lililo kuu kabisa ambalo husababisha NDOA kuwa ngumu hata kwa wale wasio tumia pombe..
Utabadilisha dini uwe muislam ili unioe kwani?Sasa ndiyo umeamua kuandika unitishe ama?? Jua na mimi siyo wa mchezomchezo nakuoa tuu ila uache tamaa pia maisha magumu pia ni changamoto tuvumiliane wenda zikaisha au zisiishe bila shaka imekuingia.
hivi unajua kuna kuigiza pia huo upendo....?Upendo.
Wazee wa zamani hawakuolewa kwa sababu wanapendana na wanaowaoa. Wengi unakuta baba kampenda binti wa familia fulani kijani unaambiwa ukaoe hapo na mama nae anakua hawez kukataa. Ndoa ilikua kwa ajili ya kukuza mahusiano na kuzaa watoto.Ndoa inahitaji uvumilivu,kitu ambacho vijana wa sasa hatuna. Wazee wa zamani waliishi kwenye ndoa zaid hata ya 50yrs bila kuachana hata kwa talaka moja,waliweza sana kuvumiliana kwenye mapungufu yao