Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,234
- 80,229
Kama issue ni kupika kwanini msifundishane???Kuna ndoa zinavunjika kisa show mbovu kitandani,upishi mbovu nk[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kwanini kusiwe na uwazi baina ya wanandoa?
"Mume/ mke wangu eeh kusema kweli siku hizi naona majukumu yanakuzidia unachoka sana" sifurahii kama mwanzo..Ukimfahamisha ataelewa na ataziba ufa mapema kabla mmoja wenu hajaanza kukitembeza nje..Kuwe na uwazi kabisa msifichane fichane..Lakini kumbuka kutumia kauli yenye busara ktk kufikisha ujumbe..Usimsononeshe mwenzio.
*Kila mtu ni mwanafunzi kwa mwenzie*
<<FUNDISHIKA>>