Good explanationSawa ila
Suala la kum-feel, kama kulikuwa na sparks kidogo awali, naamini mkioana na jinsi mnavyokua pamoja na kuzidi kujitambua, mnajikuta mnapendana!
Kukwazana ni kitu cha kawaida, ndio maana kuna kutafuta suluhisho. Uhusiano imara ni ule unaopitia changamoto na kutafuta suluhisho zake. Unaopita ktk ganda la ndizi tu hamjifunzi kitu ila kama ndio iko hivyo hamna changamoto yoyote basi vizuri.
Kauli kuu ni upendo. Anavyokukwaza mtu unaempenda kwa dhati na mtu unaempenda kwa sababu fulani ni tofauti. Mtu unaempenda hata akikukwaza ni rahisi kumsamehe. Mtu mwingine usiempenda akikukwaza inakua ndo ticket ya kuachana nae maana huwezi kuvumilia makwazo yake. Changamoto zinazotokea kwenye upendo ni rahisi kuziepuka kuliko zile zingine.Sawa ila
Suala la kum-feel, kama kulikuwa na sparks kidogo awali, naamini mkioana na jinsi mnavyokua pamoja na kuzidi kujitambua, mnajikuta mnapendana!
Kukwazana ni kitu cha kawaida, ndio maana kuna kutafuta suluhisho. Uhusiano imara ni ule unaopitia changamoto na kutafuta suluhisho zake. Unaopita ktk ganda la ndizi tu hamjifunzi kitu ila kama ndio iko hivyo hamna changamoto yoyote basi vizuri.
Kwakua naona nimeshakosa namba kwako.Kwanini bby?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwakua naona nimeshakosa namba kwako.
[emoji23] [emoji23] umri ushanitupa mimiKwa uzee upi na wewe mfyuuu.
Huyo aloandika ndo kaiweka kama dhambi vilee
Nakutaka sana tu sema pm yako umeniblockBado ipo mbona. Au hunitaki unanitafutia sababu?
Mkuu wewe umeoaDon't marry for sex, don't marry because you are of age.
don't marry because you are getting old,
don't marry because you are lonely, don't marry
because you need someone to support you
financially, don't marry because you mistakenly got pregnant.
don't marry because you don't want to
lose the person, don't marry because of family
pressures, don't marry because you like the idea of marriage and admire every wedding gown you see.
don't marry because all your friends are getting
married.
But get married because you are in love, get married cos he or she is your best friend and when that love is no more , he or she can still make u smile.
Bado cjabahatika mkuuMkuu wewe umeoa