Yaani mtume wenu maarufu kama "Mo" ampige mweleka Yesu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] huwezi ukawa serious.Utabadilisha dini uwe muislam ili unioe kwani?
Asante nimekaribiaKaribu
Mi sio mvivu mzigua,ni moto wa kuotea mbali[emoji1]Uchafu uvivu
Mkuu mnaweza mkazaa na mkapangiana malezi ya mtoto vizuri tu. Kuna ndoa wazazi wanaishi kwa sababu walee ila kila mtu anacheat anavyotaka. Ndoa wanaiweka tu mtoto asione tofauti zao. Sasa kwanini ujinyime furaha kwa kukaa kwenye ndoa fake?Binafsi naamini kuleta watoto duniani bila mpango ni worse than ndoa bila mpango. Children without proper parenting suffer a lot.
Sawa ilaHatutishani mkuu lakini spending the rest of your life kwa mtu anaekukwaza na unajua humfeel kiviiile sio rahisi
Napaswa kwasasa nikuite shem kama DemissUmri ni kigezo kweli nacho
Tofauti ni kwamba upendo wa kuigiza huwa haudumu. Na maajab ni kwamba ndani ya mwaka au miezi sita upendo fake huyumba kabisa.. there is no hidinghivi unajua kuna kuigiza pia huo upendo....?
WamekusikiaUjumbe mzuri vijana muufanyie kazi nimependa no 4 wale wanaooa au kuolewa sababu shunie na mzigua wameolewa imekula kwenu
Wamekusikia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani mtume wenu maarufu kama "Mo" ampige mweleka Yesu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] huwezi ukawa serious.
mimi ni mzee,muulize Mzigua90Na wewe pia kijana ufanyie kazi ujumbe