Ndoa niliyosimamia inanishinda: naomba msaada wa wana JF

Nampa pole sana huyu ndugu, lakini hapa inaweza kuwa mengi,
-historia ya mwanamke kimapenzi kama aliwahi kubakwa au alikuwa bullied na mwanaume mwingine na au alikuwa na mtu wake mwingine ambaye hawajaachana na aliolewa na huyu tu kwa utashi wa kuonekana naye ameolewa.

- Pia kama wamesoma nina hakika mama anaweza kutunza tarehe anapokuwa hedhi, ili ajue danger na safe days, kutumia kondomu inaweza kuleta shida kwa namna fulani, wanawake wengine hudai zinawaumiza, hilo liangalie kwa busara.
-mwisho jamaa abadili mazingira aende hata honeymoon kwa siku mbili na siku hizo wakae na kushinda chumbani tu wakiwa utupu na aandae mazingira ya kimahaba tu. Kondom isiwekwe kwenye mazungumzo hata kidogo.
 
1. Kazi nyingi zinakata stimu ya tendo la ndoa linahitaji nguvu pia na mtu usiwe mchovu ili ku enjoy kwa maelezo yako mama anachoka sana mzee amsaidie au amwongezee house girl na siyo house boy.

2. Kama aliwahi kubakwa labda mke wake ana tatizo la kisaikolojia na hajapata matibabu sahihi bado. Chunguzeni hili kwa kina na kama mumewake ana mwingilia kwa style ya mbakaji au anafanana na mmbaki.....

3. Unajua unavyozidi kupanda cheo ndio jinsi mawazo mengi yanakuja kichwani mara mamieadi mara ma vikao mara masafari mara mishahara ya surbodinates inasumbua unakuta ukirudi home wew ni mtu wa jazba tu....na magonjwa kama kisukari yanakunyemelea.

4. Mazoezi ni muhimi kwa vile yanakusaidia mzunguko wa damu unakuwa costant na unakuwa na hamu ya tendo husika na ninavyojua mama zetu mazoezi landa awe ana ukimwi.

Nguli if I may ask are u married? au una mchumba?
 
Nilisimamia ndoa ambayo imedumu kwa miaka 15 kwa sasa. Ni ndoa njema na sikivu. Tatizo kubwa ambalo nimekuwa nikilipata kama msimamizi wa ndoa ile ni kutoridhishana katika tendo la ndoa. Mke huwa yuko down sana kimapenzi, na si kwamba ana bwana nje, bali ni kwamba huwa akiwa katika tendo la ndoa akishamaliza round moja basi anapoa kabisa na hataki tena kabisa kuendelea. Na hapa itamchukua muda mrefu (wiki na kuendelea) ndipo awe tena na hashiki/tamaa ya tendo la ndoa. Kitendo hiki kinamuumiza sana mume na kunakuwa na kutoelewana kwa jambo hilo. Nimesuluhisha, na mke anasikitika sana kwa hali yake hiyo. Wamepata ushauri lakini kila akijaribu bado tatizo liko pale pale.

Nimeona hapa jamvini tunashirikishana matatizo na kupata ushauri. Nakaribisha ushauri mwema na wenye nidhamu ili kumsaidia hawa ndugu waweze kuishi maisha mema, ya upendo kwa ndoa yao na pia kuweza kuwasaidia wengine hapa au ndugu na marafiki zetu ambao wana tatizo hili. Asanteni.

kipindi cha nyuma kidogo kabla wazungu hawajaja na dini zao za kihuni,hilo tatizo linatatuliwa KIMILA!tena vizuri sana.:
mke anapaswa kumpigia magoti mume na kumsihi AONGEZE MKE!...problem solved!
 
Kwa kuongezea kny michango ya Nguli na Lumbe.......!

Sielewi kwa nini watu wazima wameoana rasmi wafikirie kutumia Kondom......hizi zinawanyima haki ya msingi ambayo wanandoa wamepewa na Mungu tangia waoane.....kwa wanandoa, kondom ni kuvinyima uhuru wa asili wa kujinasi viungo vyao! Viungo vyao vinapaswa vipeane joto asilia, litokanalo na friction iliyotengenezwa kwa misuguano ya moja kwa moja sio though kijikaratasi........!

Ili kuzuia mimba zisizo na ulazima, wanandoa wanashauriwa vizuri kabisa na wazee wa kanisa (mama Kanisa kwa RC) kutumia njia za asili and not modern ways hii imewezekana sana kwa ndoa nyingi tu.....au njia nyingine rahisi zaidi (kwa wenye control na saikoloji nzuri kny sex, ni kurusha mitakataka nje ya ''uwanja'' kila mzunguko unapofika......this is very simple but risk kama una kiherehere na papara.....!

Issue ya pili, kwa uzoefu wangu wanawake wengi hutengenezewa mazingira kupenda sex tofauti na wanaume.....so nina wasiwasi huyo mheshimiwa huwa hampi nafasi anayostahili bibie kabla na wakati wa sex.....inawezekana huwa wanakazana pengine huku akiwa amewasha laptop pembeni....akichoka kupump anabofya kny laptop kucheki vipolo vya job.....this is very bad....mkuu Maane chunguza hili!

Tatu...Mkuu Maane, ukiwa kama Msimamizi jaribu kupata historia ya mapenzi ya bibie na walikutana vipi na huyo mumewe. Chunguza sana uone kama kweli hana kijibuzi kingine pembeni ambacho ndicho kilimbikiri enzi hizo na pengine ikashindikana kuolewa nacho may kilikuwa tayari na mke, na bibie was desperate kuwa married akaishia kujinasa kwa jamaa....hasa unaposema ''ana nafasi nzuri'' tena inawezekana hiyo nafasi serikalini alimtafutia yeye akiwa tayari bosi huko serikalini.....so hakukuwa na real upendo wa dhati baina ya hao wawili bali mazingira fulani yaliyowapekea huko.....! so the truth inaweza kuwa huyo mama mume hampendi kabisa kabisa, anapenda watoto wake tu....na ni possible watoto hao sio wa mume anayekaa naye...rejea thread ya MTM na mambo ya DNA...hapo ndipo umuhimu wa kupima DNA unapokuja! Vinginevyo sioni why huyo bibie asipende kufanyana na mumewe just eti hajisikii...wanawake wengi wakishakuwastimulated wanapenda kufanyana sio mchezo....hata uende raound 12 anakuwa bado yupo na wewe kama anakupenda kweli!

Muhimu: achana kabisa kabisa na fikira kwamba eti ni wacha Mungu.....mkuu Maane wewe si Mungu unayeweza jua ukweli wa mioyo watu kwa kuangalia machoni tu.....! Tumeona mara ngapi watu tunaodhania wacha Mungu....kumbe behind the scene ndio Mafisadi, ndio wafiraji, ndio wabakaji, ndio wezi....angalia issues za mapadre wa Kikatoliki huko Ireland, leo gazeti la Mwananchi limereport mtawa mmoja kutapeli huko Bunju.....! Uzoefu wangu hawa tunaodhani wanamuogopa Mungu sana mara nyingi wanafanya hivyo kuficha maovu yao mengi ambayo katika hali ya kawaida ingekuwa rahisi sana kusitukiwa......!

But hold on; Mkuu Maane, hiyo ndoa mlisimamia wewe pamoja na Bibi Mkubwa....mwambie ambane sawa sawa huyo mama....kama kuna kitu nyuma pazia ata note tu japokuwa anaweza asikubali moja kwa moja!

So mzee wangu Maane.....kamchango kangu kidogo!

NL
 
meen!
why?so faast
why?

icon10.gif
Nilikuwa na extra energy sikutaka kuanza kuitumia hovyox2 nimkosee Mungu wangu nikaamua kuuoa fasta nipate mibaraka kwa Mungu.
 
icon10.gif
Nilikuwa na extra energy sikutaka kuanza kuitumia hovyox2 nimkosee Mungu wangu nikaamua kuuoa fasta nipate mibaraka kwa Mungu.
lol!
mpwa ongeza sala na muombe sana mungu!inaonekana wewe ujana hujaupitia kabisa.ai miini wakina eliza,mabaamedi,vicheche vya mabibo hostel,vicheche vinavyokujaga pale hall 5,wala jolly wewe hujaenda.

mwenzio hadi nimeamua kuoa nimeshatembea sana yani!NA SIHITAJI TENA.

usipokuwa mwangalifu utakuwa MZEE-KIJANA!MZEE WA TOTOOZ:D
at the age of 50+ unakuwa WOMANIZER kupindukia
 
Archaeokogist wanapenda zaidi jinsi mwanamke anavyokuwa mzee kwa vile we are used to deal with old stuffs e.g KAOLE RUINS
 
Kabla sijaoa katika pita pita zangu chupini kwa watoto wa kike nilikutana na binti ambaye alikuwa anajua kwamba yeye yupo kumridhisha mwanaume tu! yaani ashki za kimapenzi hazijui wala hajui mshindo ni dini gani.
Sasa mie huwa sijisikii utamu kama dem hahashkiki, hivyo nilipogundua tatizo kwamba alikuwa ameanza ngono kabla ya wakati nikaona nimsaidie kumheal tatizo lake. Nilianza kumtengeneza kimapenzi kama vile naweza kumgusa na kumparataparata kwa saa tatu zaidi bila kumpanda kilumendago. Hivyo after six month mtoto akawa mwehu na akawa anataka mchezo yeye sasa. ingawa tokea awali tulikubaliana kuwa tutakutanisha makojoleo yetu tu na si ahadi ya ndoa, alisikitika sana kuwa alipaswa kuachana na mimi ila mpaka leo ananishukuru kwa kumbadilisha hisia zake na kumfanya ajisikie mwanamke na si chombo kitumiwacho tena. ameolewa na tunawasiliana, Na mimi nimeoa sasa na nina mtoto wa miezi minne sasa.

Mkuu Maane ukinisoma kwa makini hapo nadhani unaweza kugundua shida ipo wapi. Inawezekana jamaa akishavua pichu anaanza kuukimbiza mwenge badala ya kumuandaa kihisia bibie wake. Mwambie achukue muda wa kumjenga kihisia mkewe. kama vipi naweza kujitolea kumsaidia kwa miezi sita kisha namrudisha mkewe akiwa anamshindo full 24hrs.
 
Mkuu Nguli,

Nitaendelea kuwapa ushauri wako, hasa mazoezi. Pia nitafanya upekuzi kidogo wa huyu mama nipate background yake. Vinginevyo sielewi kama kuna wanawake by nature hawapendi tendo la ndoa.

Kinachonishangaza ni kuwa ndoa hii ni ya upendo na mfano, na wamesimamia pia ndoa nyingi tu. Ni wanyofu sana, yaani wana sifa zote za ndoa njema, hasa uvumilivu maana mume inabidi avumilie akimwombea mkewe abadilike. Vinginevyo, ungekuta jamaa ana wanawake wengine. Nimemchunguza sana hadi ofisini na kwingineko, jamaa ana record safi kabisa na huwa anajivunia sana mke wake. Tatizo ni pale tu. Ila sasa malalamiko ni lazima yawepo.

mkuu nimewahi kuomba ushauri hapa kuhusu mke wangu kwamba hapendi kufanya tendo la ndoa ila watu waliona kama nafanya masikhara tu na wakaniambia kuwa mimi sijui jinsi ya kumwandaa mke wangu unaweza kufikiri tatizo nililo nalo mpaka sasa ni kubwa kiasi gani maana mimi ndo yangu badoi ni changa sana afadhali hata jamaa ameweza kwenda miaka 15 na unajua tena ukikosa hiyo kitu kwa nia kama hiyo mawazo yanakuwa mengi na unakuwa na mastress ya kumwaga nimejari kuongea na mwenzangu ila naona hakuna mwelekeo maana imekuwa ni tatizo kubwa sana sasa huwa inapipa tatizo kishenzi maana wakati mwingine nimekuwa nikitamani kutoka nje. mimi mwenyewe ninategemea kupata majibu kupitia mada hii yako yakwangu watu waliona kama ya kutunga. asante
 
Unamaanisha Low sex drive??? hii ni kweli kama sex drives zao sio compatible...mmoja anapenda sana mwingine anapimia kama dawa basi kutakuwa na friction... but liker u said 15 yrs down the line the marriage shd not crumble... wacha tungoje wataalamu walete mapoint hapa! Nguli ndio mtaalamu namba wan! Senksi kula!

labda adownload sex drive 10.5 (JOKE)
 
mkuu nimewahi kuomba ushauri hapa kuhusu mke wangu kwamba hapendi kufanya tendo la ndoa ila watu waliona kama nafanya masikhara tu na wakaniambia kuwa mimi sijui jinsi ya kumwandaa mke wangu unaweza kufikiri tatizo nililo nalo mpaka sasa ni kubwa kiasi gani maana mimi ndo yangu badoi ni changa sana afadhali hata jamaa ameweza kwenda miaka 15 na unajua tena ukikosa hiyo kitu kwa nia kama hiyo mawazo yanakuwa mengi na unakuwa na mastress ya kumwaga nimejari kuongea na mwenzangu ila naona hakuna mwelekeo maana imekuwa ni tatizo kubwa sana sasa huwa inapipa tatizo kishenzi maana wakati mwingine nimekuwa nikitamani kutoka nje. mimi mwenyewe ninategemea kupata majibu kupitia mada hii yako yakwangu watu waliona kama ya kutunga. asante

Umepitia posts zote hapa....if not zipitie kwanza then uliza swali!
 
Mkuu Maane, ngoja na mimi nitoe kipisi kidogo cha ushauri kwa jinsi ninavyoelewa. Mengi yamezungumzwa...Pamoja na yote hebu washauri mambo yafuatayo hao wanandoa wako.

1. Wabadirishe eneo lao la kufanya mapenzi, yaani badala ya kusubiri ufike muda wa kulala ndio mzee aombe mzigo badala yake sometimes mchezo unaweza kuchezwa hata bafuni (I believe that wana private bath room), huko kuna njia nyingi za kupeana ashki na mwisho mama akajikuta anafurahia mchezo.

2. Kama walivyoongea wengine..nina mashaka na style ya huyo jamaa kumuanzisha mwanamke wake...chunguza hilo wanaume tunatofautiana sana katika sehemu hii..niliwahi kumpata mwanamke mmoja maandalizi niliyompa alikiri kabisa kuwa jamaa yake hajawahi kufanya na ilipofika muda wa kula mzigo mambo yalikuwa hot kuliko maelezo.Ikibidi jamaa aingie hata chumvini ndio starehe zenyewe hizo!!

3. Pamoja na kuwa wacha mungu sana..mama ajaribu mara moja moja kupata at least glass ya wine ( value is too strong kama alivyoshauri mdau mmoja).

4. Jaribu pia kujua mazingira ya mwanzo kwa mwanamke kutolewa ubikira wake yalikuwaje. wengi huwa na very bad memory kuhusu kilichomtokea siku ya kwanza mwisho hujenga woga na chuki kwa kila mwanaume anayekuja kwake linapofika suala la kufanya mapenzi.

5. Pamoja na majukumu yao yoooote ya kazi wanahitaji wote mke na mume kujipangia muda wa kupumzika wakiwa wawili kwani huenda mama anachoka zaidi kuliko jamaa na kumbuka mwanaume hata akiwa na uchovu bado anaweza kufanya mapenzi kuliko mwanamke.

6. Jamaa ajitahidi kuwa mtundu wa kumchokonoachokonoa mke wake sio kulenga kwenye bull tu ana-hit!!! Noma
 
Back
Top Bottom