Naomba ushauri wa kiafya

escrow

JF-Expert Member
Sep 27, 2016
371
321
Salaamu wakuu.
Naomba ushauri wa kiafya JF doctor.
Ni muda wa siku tatu sasa najisikia hali ya mgongo kuchoka, kichwa kuuma, mkojo unauuma napokojoa, halafu usaha mweupe kutoka Kwenye Penis.

Nipo kwenye ndoa na baada ya hali kutokea nilihisi kupata zinaa nikamuuliza mke wangu akasema haelewi.

Kwa muda nilikuwa nimesafiri nimerud ndani ya siku tatu hizo na kushiriki tendo na mke.

@JF doctor
 
Nenda hospitali...

Yaani siku 3 unakojoa usaha na bado hujafika kwa matabibu !!!
 
Salaamu wakuu.
Naomba ushauri wa kiafya JF doctor.
Ni muda wa siku tatu sasa najisikia hali ya mgongo kuchoka, kichwa kuuma, mkojo unauuma napokojoa, halafu usaha mweupe kutoka Kwenye Penis.

Nipo kwenye ndoa na baada ya hali kutokea nilihisi kupata zinaa nikamuuliza mke wangu akasema haelewi.

Kwa muda nilikuwa nimesafiri nimerud ndani ya siku tatu hizo na kushiriki tendo na mke.

@JF doctor
Jamaa yangu wahi hospital kwa vipimo zaidi wenyewe wanakwambia hayo mengine ni ya kawaida tu hata ikianza kumeguka ukiwahi hospital watakupiga masindano utapona tu, siku hizi wanaogopa 'Kisukari' ukikipata hicho 'Kisukari' mkeo utamwangalia TU hivi Ngoma inagoma kusimama kinasimama kichwa tu
 
Shukrani Mkuu nawahi
 
Kunywa maji mara kwa mara

Pata muda mwingi wa kupumzika

Acha vilevi kwa siku kadhaa

Usinywe soda au juisi yoyote ya dukani

Acha stress

Kula vitunguu swaumu

Usiache kwenda Hospitali uonane na Daktari kwa uchunguzi zaidi
 
Kabla ya kukimbilia kuandika uzi ulipaswa kuwa hospital, Unakojoa usaha then unachukulia poa tu, usipoteze muda kaka
 
Jamaa yangu wahi hospital kwa vipimo zaidi wenyewe wanakwambia hayo mengine ni ya kawaida tu hata ikianza kumeguka ukiwahi hospital watakupiga masindano utapona tu, siku hizi wanaogopa 'Kisukari' ukikipata hicho 'Kisukari' mkeo utamwangalia TU hivi Ngoma inagoma kusimama kinasimama kichwa tu
Samahani hivi ni kweli mwenye kisukari hasimamishi km ni hivo kuna jamaa yangu atakua kapigwa maana ana watoto wanne na huyo sukari ndo imewaka makazi mpaka anatembea na sindano je ni kweli haisimami
 
Hapo kuna mmoja sio mwaminifu. Inaweza kuwa wewe huko ulikokuwa au mwenzio. Kibaya zaidi hali unayoisikia inaashilia magonjwa mengine zaidi ya huo ulioutambua.

Hapo wahi hospital ukajue afya yako. Pili ukimalizana na hospital tafuta namna ya kumbana mkeo.

Kuna ile mibano ya kutisha,sio kipigo. Kama una moyo kama wangu wa kujizuia 100% ku-take action,basi unaweza ukamwita chumbani unaanza kumuuliza huku ukiwa na hali ambayo hajawahi kuiona,ile hasira mpaka unaigiza kama unatetemeka. Hasa muulize ukitokea hospital mwite hapo hapo chumbani. Mtupie majibu ya hospital,aanza kumhoji. Hapo kisu kirefu ulikificha kitambo huko chumbani(hapo kwenye kisu narudia tena iwe tu una uvumilivu wa 100% wa kutochukua action) vinginevyo usifanye hivyo. Maana unaweza ukajibiwa vibaya zaidi ya ulivyowaza ama akakutajia ghafla anaekutafunia. Hapo kama huna uvumilivu unajikuta uko jera.

Endelea kumhoji kwa hasira kama haonyeshi muelekeo wa kukiri. Chomoa nato hilo,lakini uwe na uwezo wa kuridhibiti hili nayo. Kama huna nguvu sikushauri,maana unaweza kunyang'anywa na akakutime nalo wewe. Mwambie leo nakuua. (Lakini pia uwe na uhakika sio wewe uliechepuka). Kazi kwako
 
Back
Top Bottom