BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,059
- 10,522
Pengine hii ndio sababu kuu ya wake na waume kuchepuka nimejaribu kuwaza mfano umekaa na mume au mke wako kwa miaka kumi na kuendelea ndani ya kipindi hicho chote mmekua mkilala kitanda kimoja mnajuana kila sehemu kama yule mtangazaji aliyesema nimemkojolesha kwa miaka kumi na tano kwa tafsiri ya Cuba ni kuwa hicho kikojolea alikizoea at the point kwamba hakikuwa na maajabu yoyote tena, uwepo au kutokuwepo kwake hakuna effect yoyote.
Kwa akili zangu ndogo ninashawishika kukubali kuwa mkizoeana sana tendo linakosa thamani yake ndio hapa mtajaribu vitu vipya ili kulipa tendo hadhi yake still mtarudi pale pale mlipoishia ndio hapo sasa watu wanaanza kukumbuka ma Ex wao kama availability ya Ma Ex haiexist ndio hapa vijana wa kula tunda kimasihara wanapita na huo upepo.
Naamini kuna baadhi ya ndoa hazina michepuko kabisa kwa both sides ila ni chache na pengine zilipaswa ziwe na michepuko ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao zikawa hazina michepuko
Remember mtu kuandika kuhusu uhalisia uliopo haimaanishi anahamasisha usaliti sababu usaliti ulikuwepo, upo na unaendelea kuwepo yote yapo katika nguvu ya kujua.
Mungu tunakuomba bariki ndoa za watu wape ujasiri wake na waume za watu wakukataa uasherati maana tamaa zinawaponza wengi.