Ndoa ni vita...?

Ndoa ni vita...?

Chipolopolo

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2012
Posts
1,432
Reaction score
746
Marriage is the only war in which you sleep with the enemy-French Proverb. Kweli.Si kweli?
 
Ndoa sio vita nduguuu chill take it easy!

Ukiijulia ya kwako unakula raha hadi bata akikuona anasema baaaaata!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndoa ni muungano wa watu wawili wa jinsia tofauti waliopendana na kuamua kuishi pamoja for the rest of their life na ku share the FRUITS OF JOY, pamoja na mambo mengine. Siyo vita.
 
Kuja kuijulia sasa ndio shughuli pevu!!!!!!! i mean kumpata ambaye at least mtaendana kwa kiasi fulani ni 2 marriages in 10!!!!!!!
Ndoa sio vita nduguuu chill take it easy!

Ukiijulia ya kwako unakula raha hadi bata akikuona anasema baaaaata!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yaani hapo sielewi chochote.....kila nikiangalia mara mbili mbili naona kama maandishi yapo kinyume nyume

bon a pres midi mon ami?
est que tu parle francais?
ngoja waje wenywe wanitoe baru hapa
 
Back
Top Bottom