Ndoa ni vita...?

Ndoa ni vita...?

Ndoa ni muungano wa watu wawili wa jinsia tofauti waliopendana na kuamua kuishi pamoja for the rest of their life na ku share the FRUITS OF JOY, pamoja na mambo mengine. Siyo vita.

Umesema ukweli wa wazi mkuu....
 
100% true coz hayupo anayeingia kwenye ndoa akitarajia partner wake anaweza kuja kuwa adui yake siku moja!!!!!!!!

Umeona eeh?Mwanzo raha tu: honey honey sweet sweet...baada ya muda oooh my...!
 
Kuja kuijulia sasa ndio shughuli pevu!!!!!!! i mean kumpata ambaye at least mtaendana kwa kiasi fulani ni 2 marriages in 10!!!!!!!

Pamoja mkuu.Wanaume au wanawake(wasichana) wakuoa au kuolewa wapo wengi.Ila kupata wa ukweli ni shughuli pevu....
 
Ndoa ni muungano wa watu wawili wa jinsia tofauti waliopendana na kuamua kuishi pamoja for the rest of their life na ku share the FRUITS OF JOY, pamoja na mambo mengine. Siyo vita.

Ndoa ni muungano kati ya mwanamke na mwanamume kuishi pamoja kama mume na mke muda wote wa maisha yao. (Sheria ya ndoa – mwaka 1971 kifungu cha 9).i) Wanaooana wawe wamekubaliana pasipo kulazimishwa na mtu.ii) Ndoa ni ya mwanamke na mwanamume.iii) Ni ndoa ya kudumu maishani
 
Lakini kuna ukweli ......ndoa sa ingine dah!

Kweli mkuu ndoa nyingine sawa tu na mzinga wa nyuki,wataka kutoka, afu unashangaa ufikapo mlangoni wakuta wengine ndo wanataka kuingia...!haha
 
kumbe mambo yenyewe ya kizungu na mtu yenyewe mfaransa ..why should i african think of mzungu behaviours while we differ
 
kumbe mambo yenyewe ya kizungu na mtu yenyewe mfaransa ..why should i african think of mzungu behaviours while we differ

Do not forget: there is intermarriage(s), who knows?It might be you to marry mfaransa!
 
Back
Top Bottom