Ndoa ni vita...?

Ndoa ni vita...?

Tena kama dume ndio angepaswa kuhamia kwa jike ingekuwa mama ya vita yote.
 
Kweli nnaheri, na kwa dhati namshukuru sana Mungu kwa hili, siokwa akili wala ujanja wangu.. hata kwako inawezekana !

Gefu:asante kwa kunitakia heri mkuu!pamoja sana
 
Last edited by a moderator:
Twin nakubaliana na wewe kabisa!hakuna photocopy ya ndoa!
Ni kweli twin wangu!tatizo watu wanaingia kwenye ndoa kwa usanii ,wasivyo na woga hata Mungu anafanyiwa usanii pale madhabauni.ndoa ni raha tupu
 
Back
Top Bottom