Ndoa ni vita...?

Ndoa ni vita...?

Dah kaka hapo ugusa penyewe,hakika mambo yako hivyo na hii si kwa baadhi bali wote,only time will tell/It is the matter of time unless ur an angel.
 
Ndoa ni muungano kati ya mwanamke na mwanamume kuishi pamoja kama mume na mke muda wote wa maisha yao. (Sheria ya ndoa – mwaka 1971 kifungu cha 9).i) Wanaooana wawe wamekubaliana pasipo kulazimishwa na mtu.ii) Ndoa ni ya mwanamke na mwanamume.iii) Ni ndoa ya kudumu maishani

I think tha is what i said.
 
BabaJonii:Elimu kubwa hii mkuu shukrani
 
Kuja kuijulia sasa ndio shughuli pevu!!!!!!! i mean kumpata ambaye at least mtaendana kwa kiasi fulani ni 2 marriages in 10!!!!!!!

ni kweli Blue G.. but la muhimu kama mhusika ulimpenda mwenyewe na hukulazimishwa kuna haja ya kulearn namna ya ku accomodate weakness zake lolz..

As kuishi kama mko vitani haitakutatulia tatizo lolz!
 
Last edited by a moderator:
Marriage is the only war in which you sleep with the enemy-French Proverb. Kweli.Si kweli?

I do agree, and in order for peace to prevail ...you need to exhibit your arsenals to the enemy.....and claim to have others under Research & Development...

ni kweli Blue G.. but la muhimu kama mhusika ulimpenda mwenyewe na hukulazimishwa kuna haja ya kulearn namna ya ku accomodate weakness zake lolz..

As kuishi kama mko vitani haitakutatulia tatizo lolz!

Haha!bita bita mura!inamizungu yake sana ndoa ndoana!
 
Last edited by a moderator:
I do agree, and in order for peace to prevail ...you need to exhibit your arsenals to the enemy.....and claim to have others under Research & Development...

Wyne:Well put...!
 
Last edited by a moderator:
huu ujumbe wako umeniingia vizuri kabisa akili mwangu.
Nalog off
 
Back
Top Bottom