Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,123
- 93,236
Aiseee mkuuu ukweli utabaki KUA pale ,,Ndoa nitamuuuu sanaaaaa yaaaan nitamu mnooooooi.Wengi hawazungumzi mazuri yanayopatikana huko
Kumbe inapunguza tu... mmmh!Umenena vyema. Sijawahi jutia katika hili. Pia inapunguza uzinzi
Hakika ni watu wachache wasioelewa wanajaribu kupotosha ila kiukweli ndoa ni tamu hasa ile ambayo unaishi maisha yako si ya kushindana na wengine, wala si ndoa ya maonyesho ina utamu wakeAiseee mkuuu ukweli utabaki KUA pale ,,Ndoa nitamuuuu sanaaaaa yaaaan nitamu mnooooooi.
Wanaolalamikia ndoa ,ujue kuna mambo wanayafanya ambayo hata Minh hayapendi....
Ndoa aliianzisha Mungu ...Mungu haanzishigi kitu kibaya ktk maisha yetu maana ANATUPENDA KUPITILIZAAA.
Kabisaaa....ukiona MTU anakuambia "" Ndoa mbaya ,,nataman nitoke ,,oohhh ndoa nikama chooo ,ukiwa nje unataman uingie ukiwa NDANI unataman utoke ***Hakika ni watu wachache wasioelewa wanajaribu kupotosha ila kiukweli ndoa ni tamu hasa ile ambayo unaishi maisha yako si ya kushindana na wengine, wala si ndoa ya maonyesho ina utamu wake
hahahha [emoji23][emoji28][emoji23] kama umeoa kwasababu za usiku tu lazima jasho likutokee hiyo asubuhiUtamu wa NDOA NI USIKU tu....ikishafika ASUBUHI jasho litakutoka......
Nina maana kuoa bila kujipanga,,,utaona tamu usiku muda wa kukumbatia,,,ikifika asubuhi wakati wa kuacha KODI YA MEZA ndy wengi majasho huwatoka hapo....hahahha [emoji23][emoji28][emoji23] kama umeoa kwasababu za usiku tu lazima jasho likutokee hiyo asubuhi
Matatizo yetu haya ya kiuchumi bakuli la nyama mnashare watu sita ugali mlima, baada ya watoto wawili una kukuta tumbo kule, unatupia madera, mkitoka mume anakwambia tangulia ninakuja. Kama ni restaurant atahakikisha umekula umemaliza wewe na wanao akija analipa bill mnarudi nyumbani.Ukijitahid kumfanya mwenza wako rafiki yako michepuko watakaa mbali na mumeo maana muda wote atataka muongozane na muwe pamoja popote
kwanini uoe kama hujui mtaishije..!!Nina maana kuoa bila kujipanga,,,utaona tamu usiku muda wa kukumbatia,,,ikifika asubuhi wakati wa kuacha KODI YA MEZA ndy wengi majasho huwatoka hapo....
.wengi wanaogopa kuoa maisha MAGUMU....NA SIO KUACHWA..wanawake wapo kibao....unaweza ukaacha leo ,,ukaoa ksho....tatizo ASUBUHI MKUUkwanini uoe kama hujui mtaishije..!!
mkiwa wawili mmeridhiana hakuna kinachoshindikana.
Mtoa hoja Mungu wetu si wa michanganyo. Kama mtu amekuwa mwaminifu kwa Mungu hilo suala la mchepuko mstarabu halipo, huo ni uzinzi tu kama ilivyo kahaba/mzinzi yeyote hakuna cha ustarabu, atendaye dhambi ni wa ibilisiSante kwa kututia moyo..! Ingekuwa ni possibly kuingia mwenyewe ningeoa leo ila sasa namuoa nani hapo sasa duuh bora nikae tuu kwanza.
Habari wanakijiji wenzangu, matumaini mko salama kabisa, bila kupoteza muda nielekee kwenye mada
Kumekuwa na wimbi la watu wengi hasa wanandoa kueleza negatives za ndoa kiasi kupelekea wengine kukata tamaa ama kuogopa lakini ngoja niwaelezeni kitu
Ndoa ni tamu sana hasa kama umepata mtu sahihi, kwanza mfanye mke au mume kuwa rafiki yao ambaye unaweza kushare mambo yote yawe ya Furaha au huzuni hii itamfanya mwenzako kuwa huru kushauri lolote kwa kauli nzuri, ikumbukwe hakuna binadamu mkamilifu hivyo mapungufu ya mwenzio chukulia kama kilema sio ndio fimbo ya kumchapia, unaweza kupata mwanamke mrembo lakn kitandani hajui chukulia hiyo ni changamoto na usimuumize kwa sababu ya udhaifu huo utafurahia ndoa yako.
Mwanamke akijua majukumu yake na akaweza kuyatimiza licha ya kuajiriwa, kuheshimiana licha ya kuwa na utofauti wa kipato, kuwe na mipaka mambo ya kazini yaishie kazini uwapo nyumbani lazima familia iwe imara na ndoa itafurahiwa na kila mmoja.
Makwazo hayakosekani, mkikaa pamoja na kuelezana kwa upendo mkiepuka maneno makali ya kuumiza lakini pia kuachilia kwa kusamehe yaliyopita, mtafurahia
Michepuko kwa wanaume husababishwa na mwanamke kutokaa kaa katika nafasi au tamaa tu, kama mwanamke atakaa katika nafasi yake, kupunguza gubu kuna nafasi kubwa kwa mwanaume kutulia au kupata mchepuko mstaarabu ambaye hatavuruga ndoa.
Mungu ni kiongozi mkuu wa ndoa ukiambatana naye katika kila hatua lazima ufurahie ndoa yako wengine watalalamika kuhusu ndoa zao wewe utakuwa unashangaa mambo ya naenda
Mwisho vijana msiogope ndoa, ni tamu sana kama utapata mtu sahihi kama nilivyoeleza hapo juu, usikubali kukatishwa tamaa kwa sababu et ndoa ya fulani inasumbua ukajua na yako itakuwa hivyo nooo, kila mtu amezaliwa kivyake ingekuwa hivyo tungeogopa kusoma eti kisa Fulani amefeli mtihani, Muwe na siku njema.