Ndoa ngumu jamaani, ushauri tafadhari

Ndoa ngumu jamaani, ushauri tafadhari

sasa unaogopa nini ndg yangu, ndio ukweli ulivyo huo!!!!!! na hii ndio sababu kubwa ya wanawake kucheat kma ulikuwa hujui!
Kha!!! cha kufia presha na mawazo lukuki ndani kisa nini? ndio sasa wanaume wajue ubaya wa kuwasaliti wake zao, na mume wa hivo inafaa kumzalia katoto kamoja ambako si kake halafu akikua ndio unamwambia ili na yeye apate uchungu kama alioupata mke kwa yeye kuzaa nje ya ndoa....mxiuuuuu

Hakyanani mama J usije jiunga na Jf
 
Ndoa ni sawa na kucheza karata kuna kupata na kukosa, waone wafundaji wakushauri na pia isikilize sauti yako ya ndani.
 
Haluu umenikumbusha jirani yangu mmoja alimfumania mumewe na mwanamke, revenge yake sasa yeye aliamua kuzaa kabisa na mwanamume nje ya ndoa. Bado wako pamoja na motto wanamlea. Lkn mume wake ukimuona alivyonywea hana hamu na wanawake kabisa!
 
Hahahaaa why you ask?
NN,
Ninapokusoma nahisi hujawahi kumuamini mwanamke hata siku moja!!! Huwa najiuliza kitu kimoja, kama una mke unaishi naye kwa staili gani? Akitoka nje sio wako?Na Akirudi ndani ndio wako?
Au wewe ni "Hit and Run", samahani lakini ni mtizamo wangu tu.
 
Well, I am a bundle of contradictions.

I am as realistic and practical as they come.

I don't approach life with rose-colored glasses.

That's just me.
 
Haluu umenikumbusha jirani yangu mmoja alimfumania mumewe na mwanamke, revenge yake sasa yeye aliamua kuzaa kabisa na mwanamume nje ya ndoa. Bado wako pamoja na motto wanamlea. Lkn mume wake ukimuona alivyonywea hana hamu na wanawake kabisa!

kwa kweli kwa wanaume wa sasa hii ndio inatakiwa!!!!!! kama wewe hupendi kuchitiwa kwa nn umcheat mwenzio, mkuki kwa nguruwe sio?
hakuna kitu mbaya na inayoumiza kwenye ndoa kama mtu kucheat, na bora basi acheat responsibly, yaani kujiachia hadi kutia mimba, halafu eti unategemea mama nanihiii atasamehe ivi ivi tu....hiyo ilikuwa ni enzi za mababu zetu bhana......revenge inakufanya uwe mind settled na kupunguza machungu kwa sana
 
kuzaa nje ya ndoa sio sababu ya kuvunja ndoa kabisa! fikiria kwa makinu maisha baada ya kuondoka kwa mumeo, utaolewa tena? utaishi single? utawaacha watoto? utaondoka nao? lzm utapata jibu sahihi tu. Ila mimi ambacho sitavumilia ni kipigo tu! vingine vyote nitajua jinsi ya kuvimudu, hatoki mtu kwenye ndoa.
 
wewe leme unaakili bora. huyu ana alternative nyingi 1kulipuuza hilo maisha yakaenda 2 na yeye kwenda kutiwa mimba lakini epuka michepuko.tatu kumtukana malaya aliye mrubuni mumewe 4 kusaini mkataba upya na mumewe5 kununa kwa kipindi 6 kubadili life style na 7 kumtaka mume aombe radhi. kwa kawaida mke haachi mume kwa sababu hiyo bali mume huacha mke hata kufilimbwa tu bila mimba..hata hivo hutegemea sana watu wenyewe,ndoa na mazingira yenyewe
 
bora umwambiage mapema, lkn ukute mama J mwenyewe ndiye miye hapa sijui utazimia?

Whatttttttttt? Sasa ntahama kbs Jf!

Unajua bana kuibiwa inauma sana tena uzae kabisa mtoto nimhudumie kumba mbegu za mwingine? Aisee napata hasira kwenye keyboard hapa; hata sitaki kuimagine
 
unaeza mwaya kuishi na mwanaume aliyezaa nje ya ndoa, inauma sana lkn unasahau na maisha yanasonga, ilimradi km mwenyewe kaomba msamaha na kajirekebisha..

hata ukisema uondoke utaacha wangapi, unaweza kukuta huyo mwingine si malaya lkn ana tabia zingine mbaya zaidi au akawa malaya zaidi ya uliye nae sasa.

pili vumilia tu kwa ajil ya watt wako, ujue ukiondoka hapo ndio unampa mwenzio nafasi ya kuja hapo kuwa mama na mwishowe wanao walelewe na mama wa kambo..

ila ukiona machungu yamekuzidi sana waweza na wewe kurevenge na kuwa na kidumu chako kinakuliwaza huko nje ila ndoa huvunji na nyumbani huondoki.....siku hizi wanawake hatuondokagi bana hasa km mmejenga pamoja, mmezaa..tafuta furaha popote lkn baki hapo hapo

Kurivenji? Aisee! Hapa wanaosema aendelee kukaa kwenye ndoa kwani kuzini nje ya ndoa si tatizo inawezekana nao ni wazinzi. Uzinzi hata kama hujaufanya katika ulimwengu halisi kama una mawazo kama niliyopigia mstari basi nawe u mzinzi kwani dhambi huanzia moyoni. Na ndiyo maana huwezi kumuelewa mwenzio akitaharuki. Wengine wameitwa hata wapuuzi. Ama kweli neno unaloliamini ni hekma na usiloliamini ni upuuzi!

Naungana na waliosema bibie atulize hasira kwani jazba huathiri maamuzi. Atakachokiamua akiwa katika hali ya utulivu kitakuwa ni sahihi kabisa - kuondoka au kubaki. Maswala ya mali..watoto...ni maswala yanayohitaji mhusika mwenyewe kuchekecha. Kwani mali ni akili useme ukiziacha hupati zingine? Na mali ni nini ukilinganisha na usalama na furaha? Na malezi bora ya watoto hayawi guaranteed na ndoa ingawa ni vizuri. Ni watoto wangapi tumewaona wameishia kuwa mabazazi ya kike na ya kiume kutokana na kushuhudia na kuishi mahusiano mabaya ya wazazi wao? Kuna mazingira kuachana kwa wazazi kunakuwa nafuu ya watoto.

Nakubali pia tendo la ndoa limefungamanishwa na wanandoa, na kwa kujua uzito wa hili swala na muziki wa uchungu wa usaliti na madhara yake hata Mungu hapendi tena anasema hapendi uzinzi na talaka hapa inaruhusiwa. Ila pia anasema anachukizwa na kuachana kwenu. Lakini kutambua kwangu hili hakunifanyi nikwambie cha kufanya kwani wewe ndo unajua unaamini nini, unatafsiri vipi ndoa na utachukulia vipi mumeo akipeleka matunzo kwa mtoto, akienda kumsalimia mwanae, akimleta nyumbani kwako, akizaa mwingine huko au kwingine n.k. Msamaha na kuondoka vyote vinawezekana ila tuliza jazba uchambue kila option.
 
unaeza mwaya kuishi na mwanaume aliyezaa nje ya ndoa, inauma sana lkn unasahau na maisha yanasonga, ilimradi km mwenyewe kaomba msamaha na kajirekebisha..

hata ukisema uondoke utaacha wangapi, unaweza kukuta huyo mwingine si malaya lkn ana tabia zingine mbaya zaidi au akawa malaya zaidi ya uliye nae sasa.

pili vumilia tu kwa ajil ya watt wako, ujue ukiondoka hapo ndio unampa mwenzio nafasi ya kuja hapo kuwa mama na mwishowe wanao walelewe na mama wa kambo..

ila ukiona machungu yamekuzidi sana waweza na wewe kurevenge na kuwa na kidumu chako kinakuliwaza huko nje ila ndoa huvunji na nyumbani huondoki.....siku hizi wanawake hatuondokagi bana hasa km mmejenga pamoja, mmezaa..tafuta furaha popote lkn baki hapo hapo

Mmmmmmmh!
 
Ndoa ni sawa na kucheza karata kuna kupata na kukosa, waone wafundaji wakushauri na pia isikilize sauti yako ya ndani.
Halafu wewe, kwa nini ulinikimbia na deni langu? LOL
nakutafuta ujue!

Habari za siku nyingi mjukuu wangu mbalu
 
Last edited by a moderator:
Du pole!!! Ilikuwaje mumeo akaenda zaa nje?? Ni dharau Hilo halikubaliki!!!
Jamani jamani jamani, likimfika mwenzio si vyema kuhukumu, kumbukeni hamuijui siku wala saa kwani wanaume mitala wameumbiwa na hata vitabu vya dini vinakiri kuhusu jambo hilo. Jambo la muhimu hapa ni kumuomba Mwenye Enzi Mungu akuepusheni na kikombe hicho.........

CC: ODM Asprin, Eiyer, Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Halafu wewe, kwa nini ulinikimbia na deni langu? LOL
nakutafuta ujue!

Habari za siku nyingi mjukuu wangu mbalu

Baabuuu...za siku nzuri shikamoo kwanza na ya mwaka huu pia shikamoo. Mihangaiko babu nilikuwa nimebanwa sana siku hizo mwenzio. Nitalipa deni lote na riba yake najua umfanyabiashara.
 
its possible baba na mama walifanya dili ili kijana wao abaki na ndoa yake

Sijui nyinyi watu ni kwanini mnapenda sana ku assume mambo

Story iko wazi kabisa na nimezungumza kwa uwazi

Hakuna mahali niliposema hili unalolizungumza wewe

Sasa unalitoa wapi?
 
Jamani jamani jamani, likimfika mwenzio si vyema kuhukumu, kumbukeni hamuijui siku wala saa kwani wanaume mitala wameumbiwa na hata vitabu vya dini vinakiri kuhusu jambo hilo. Jambo la muhimu hapa ni kumuomba Mwenye Enzi Mungu akuepusheni na kikombe hicho.........

CC: ODM Asprin, Eiyer, Nyani Ngabu

Hivi mkuu hapa umeniitia nini bana?

Kama unadhani mimi ni mtu wa mitaala umekosea kabisaaaa

I hate that thing for sure!
 
Back
Top Bottom