McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Du! hata kuzungusha kwenyewe amefanyiwa fea tuu.
Hahhahahhah u make my day McDonaldJr
Alafu bi mkubwa anafuma zake vitambaa anajua haiwezi tokea wakati jamaa katinga pichu tu.
Waliooa embu watupe uzoefu, unaombaje ombaje? Au unatuma ujumbe kwa simu?
Good questions..
Waliooa embu watupe uzoefu, unaombaje ombaje? Au unatuma ujumbe kwa simu?