Ndoa ndoano

^^
Awe mwanaume au Mwanamke, hapa tumeletewa endresult ya maamuzi yake, na hoja yangu hapa ni kuwa, SHANGILIENI maana mmepata mfano wa kuepuka humiliation za maneno na matendo ya wanaume
^^

Nami napinga hoja yako ya KUSHANGILIA kwani unyanyasaji tunaopigia kelele ndio huu uliofanyika kwa wanandoa hao, ni kitendo kile kile ila jinsia tofauti.
Si haki ya mwanamke kumtorture mwanaume na ni kosa kisheria ndio maana amekimbia.
Tushangilie vipi wakati hii ni sawa na kusupport vita vya wanandoa!!!!
 
Nimethibitishwa na TBS....
Unatoka nje ya mada kuniuliza mie tu...

Tbs walitumia vigezo gani kuthibitisha?
Je uliwahi kufikiria kuthibitishwa na ISO ambayo mimi ni mwakilishi wake hapa nchini?
 
I think, the opposite is true...............am sorry

Hahahahaha duh we mkareeee ila note that sisi ndio dada zenu, mama zenu, shangazi zenu na wake zenu pia kwaiyo hapa haumwambii Laussane tu
 

^^
Tangu zama mwanamke ndiye amekuwa akionewa na mwanaume, na jamii iliwajengea hofu wanawake wasijitetee, lakini sasa mambo ni mteremko, wanaweza kujitetea ili kuondoa mfumo dume! Here one has made it !!
Can't you celebrate? Eti miss chagga
^^
 
Last edited by a moderator:
Tbs walitumia vigezo gani kuthibitisha?
Je uliwahi kufikiria kuthibitishwa na ISO ambayo mimi ni mwakilishi wake hapa nchini?

Ivi TANMO... mbona watoka nje ya mada plssssss.....
Mie sithibitishwi na wewe etiiii...
 
^^
Tangu zama mwanamke ndiye amekuwa akionewa na mwanaume, na jamii iliwajengea hofu wanawake wasijitetee, lakini sasa mambo ni mteremko, wanaweza kujitetea ili kuondoa mfumo dume! Here one has made it !!
Can't you celebrate? Eti miss chagga
^^

Well, kuna njia za kujikomboa, ila si kama hii aliyotumia yeye...
Hili ni kosa...
 
Last edited by a moderator:
Well, kuna njia za kujikomboa, ila si kama hii aliyotumia yeye...
Hili ni kosa...

^^
Ni kwa nini, anapofanya mwanaume kama aliyofanya huyu mwanamke, mnalalama sana kwamba wanawake hawana makosa?
^^
 
Hapo kwenye red unawea kutupa takwimu kati ya wanaume na wanawake ni kundi gani inayoongoza kuuwa mwenzake? Vitendo vyote hivyo vya ukatili sio nzuri kwa kila mtu.
 
^^
Ni kwa nini, anapofanya mwanaume kama aliyofanya huyu mwanamke, mnalalama sana kwamba wanawake hawana makosa?
^^

To me, sisupport either kwa mwanaume au mwanamke ila kinachokufanya wewe ukaona kua wanawake tunakemea sana unyanyasaji wa wanawake ni kwasababu VITENDO VINGI VYA UNYANYASAJI WA WANAWAKE HUFANYWA NA WANAUME na NI WANAWAKE WACHACHE SANA HUFANYA UNYANYASAJI KWA WANAUME.
 
Hapo kwenye red unawea kutupa takwimu kati ya wanaume na wanawake ni kundi gani inayoongoza kuuwa mwenzake? Vitendo vyote hivyo vya ukatili sio nzuri kwa kila mtu.

^^
Kila kusudio linapofanikiwa ipo haja ya kupongeza aliyekusudia... Sifanyi kazi ofisi ya takwimu bila shaka ningekupa,, hoja yangu ni kuwa matunda ya michango ya wanawake jukwaani hapa (pole kama we mgeni wa jukwaa hili) yamezaa matunda. Ombi langu waje wafurahie
^^
 

^^
Nakubali wanaume ni wengi, hilo halina ubishi,, sasa kwa wanawake wachache waliojiwezesha wakaweza kufanya aliyofanya mwenzenu hapo juu, kwa nini msifurahi?
^^
 

mimi sijapenda na siwezi kufurahia ukatili wowote unaofanywa kwa mwanaume/mwanamke/mtoto. umenikosea sana na umeniudhi kuniita nije kutoa pongezi utafikiri mimi ni mtetezi wa maovu.
 
^^
Haya wanawake shangilieni, mwenzenu kafanya mpendayo
^^

Kwa hiyo wanawake tushangilie kwa kipi hapo mkuu??
Yani binadamu mwenzako akipata matatizo unamshangilia?
Umenisikitisha sana
 
mimi sijapenda na siwezi kufurahia ukatili wowote unaofanywa kwa mwanaume/mwanamke/mtoto. umenikosea sana na umeniudhi kuniita nije kutoa pongezi utafikiri mimi ni mtetezi wa maovu.

^^
Kila siku mnadai wanaume wasiwaguse! Wasiwapige! Leo mwenzenu katimiza kwa matendo MNAGEUKA??
Wanawake !! Wanawake !!
^^
 
^^
Nakubali wanaume ni wengi, hilo halina ubishi,, sasa kwa wanawake wachache waliojiwezesha wakaweza kufanya aliyofanya mwenzenu hapo juu, kwa nini msifurahi?
^^

Kwasababu kitendo alichofanya si chakufurahia.
 
Kwa hiyo wanawake tushangilie kwa kipi hapo mkuu??
Yani binadamu mwenzako akipata matatizo unamshangilia?
Umenisikitisha sana

^^
Ndivyo wanawake wanavyoazimia kutetea haki zao! Nimesema mmpongeze huyo mwanamke mwenzenu kwa kutetea haki yake ya nyumba,, si ndo mawazo yenu ya kisasa yalivyo? Au leo mnajifanya mmesahau mnayo comment humu?
^^
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…