Ndoa miaka 11 naomba ushauri


Kabisaa mkuu najuta sana mpaka familia wananionea huruma ila najuwa kaka wala hamna neno kabisa....Najuta kwenye maisha yangu sio kidogo.....

Mkuu nimevumilia sanaaa sio kidogo najutq sanaaa ila maumivu napata
 
Huyu jamaa ni zuzu kweli kweli πŸ˜‚ πŸ˜‚

Asante sana kaka
 

Asante sana kaka nimefata ushauri wa kila mtu na watu wote wameniambia vizuri kama wewe ila ni wachache tu wamenidharau kitu ambacho nilikuwa nategemea sana wala hamna neno kabisaa.....ila kaia nashukuru sanaaa...
 

Nimeseka sana kaka mpaka familia na wazazi wananione huruma ila soon nitarudi kuwajulisha wala hamna neno kabisaa ni muda tu....
 
Nimejikaza nisicheke nimeshindwa 😹😹😹
Wabongo tunapenda chini, yani una matatizo bado unawaza kula papa..!!

Daaa mkuuu haya maisha huwezi jus ndugu yangu acha tu kaka ila sio rahisi hata kidogo.....
 


Naomba ushauri tafadhali kama hutojali nitashukuru sana tena sana kaka....
 
Unataka ushauri gani sasa? Wewe ni zamwamwa?
 
Huyo mwanamke hana hata makosa, makosa unayo wewe.
Hell is for devil na weak gents.

Ulitakiwa uanze kujiuliza kama aliyezaa nae alishindwa kumuoa, je, wewe ni nani mpaka ujitwike msalaba?
(Tufanye mapenzi upofu. Kufanya kosa si kosa bali kurudia kosa)

Unakula makofi bado upo tu.
(Tufanye kofi la mpenzi haliumi)

Unatukaniwa mpaka wazazi wako na mnaitwa idiot.
(Tufanye tusi la kiingereza haliumi)

Kimsingi hukuwa tayari kuoa na hujawa tayari.
 
Naomba ushauri tafadhali kama hutojali nitashukuru sana tena sana kaka....
Uzoefu tu, nipo kwenye ndoa kwa muda mrefu, watoto wa ndoa idadi inaridhisha na huko nje pia nimezaa na wanawake tofauti tofauti idadi ya watoto inayoridhisha. Nakupa ushauri wa kiume, huyo mkeo hana makosa, mwenye makosa ni yule aliyekutangulia, alimuacha huyo demu huku akiwa bado anampenda, akitegemea labda ateseke ili waweze kurudiana au laa. Ulipoingia wewe kwenye hayo mahusiano, wewe ukawa umempa huyo mwanamke kiburi, ambacho ndio kilichomuumiza aliyekutangulia na kuja kukuambia maneno ya ajabu. Yale maneno aliyafanyia vitendo kwa mambo ya kiswahili na kupelekea hizo mimba zako kutokamatika, na huyo mwanamke kuvishwa sura nyingine ya kukuchukia wewe. Kama bado unampenda sana huyo mkeo, kutana na watu wa kiroho; na kama hiyo vita uiwezi, achana na huyo mwanamke endelea na maisha yako.​
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…