Ndoa miaka 11 naomba ushauri

Asante sana kwa ushauri wako nashukuru sanaa ndugu yangu nimeshauriwa muda sana kuachana nae ila sijasikiliza kabisaaa.....ila nashukuru kwa ushauri wako na mwenyewe naona ndoa imekufa mda mrefu sana....
Kuamini kwamba anaweza kubadilika na kumuonea sana huruma ndipo kunafanya wanaume tunapata maumivu makali kwa mwanamke.
 

Nashukuru sana tena sanaa kaka unajuwa huu ushauri ni mzuri sanaa na asante sana kwa mawazo yako nashukuru ndugu yangu....Pole pole ty ndio inabidi kuanza nae asante.....
 

Asante sana kaka na nimekuelewa wala hamna neno....
 
Huna mke apo.kikao Cha mwisho tulisemaje kuhusu single mama..?

Nashukuru sana kwa ushauri kaka asante sana....Aliniambia siku moja ndoa imeisha mda mrefu kama hujui fahamu hivyo....
 

Ni kweli kabisaa kabisa kama sasa hata unyumba hataki kunipa kabisaaa nikimuomba ila hapo kama ulivyosema inabidi ni remove hisia kabisaa hujakosea na hapo wametuzidi kwa kiasi kikubwa sana tena sana nakubaliana na wewe...
 
Wewe huitaji ushauri.

Wewe unahitaji kutandikwa makofi ya kelbu hadi akili ikukae sawa, maana unaonekana zwazwa kabisa.

Asante sana nimekuelewa mkuu wala hamna neno kabisaa nashukuru sana ndugu yangu kwa ushauri wako....
 

Asante sana mkuu na nashukuru sana na nimekuelewa vizuri mkuu hamna neno kabisaa....Nadhani hili nitalifanyia kazi hamna neno kabisaa...Nimepata ushauri mzuri kweli kutoka kwenu ndugu zangu....Na hili la kusema amenizidi akili kila mtu ameniambia sana muda wote sijasikia...
 
Heeeee kumbe kuna wanaume wanateswa hivyo yaani umerahisishiwa kabisaa hajakuzalia ingekuwa labda ni ngumu kwako kumuacha sasa mtu huna mtoto nae unajiuliza mara 3 chapa rapaa

Wanaume kumbe na nyie kuna mabwege nazi

Mkuuu tunateswa sana unadhani tunapenda kuingia humu na kutoa siri za ndani kama mwanaume anasema hivi na kuomba ushauri basi ujue kwamba hali imekuwa ngumu sanaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…