Ndoa miaka 11 naomba ushauri

Ndoa miaka 11 naomba ushauri

Papizo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
5,249
Reaction score
2,156
Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe.

Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba niseme alikuwa mwenyewe na mtoto wa miaka 2 mwanaume wake alimkimbia, sasa baada ya hapo mwanaume wake wa zamani kufahamu huyu mwanamke ana mwanaume mwingine siku moja akaniambia kwamba huyu mwanamke huwezi kuja kumzalisha maisha yako yote hata iweje.

Ndugu zangu mpaka leo huyu mwanamke amepata mimba mara 3 ila zote zimetoka. Sasa baada ya hapo mwanamke akaanza kunidharau na kuniambia kwamba sina mbegu za kumzalisha. Me kama mwanaume nikapoteza confidence nikaenda kupiga nje na nimepata mtoto vizuri bila shida kabisa

Sasa amekuja kugundua kwamba me nimezaa nje ila nilivumilia mateso yote na maneno yote ya mateso na alikuwa muda wote ananidharau sana na kusema hata iweje umenikuta na mtoto na taka usitake siwezi kuacha kuongea na baba wa mtoto.

Akinikuta nakunywa anamwaga drinks zote kwenye sink.

Sasa jana usiku nimepigwa vyupa vibaya sana damu nyingi zimetoka sababu anataka tuwe tunatumia password moja, ameingia kwenye simu amekuta yule mwanamke mwingine mwenye mtoto amenitumia picha za mtoto.

Baada ya hapo akanitukania wazazi wote na kuwaita Idiots familia nzima pamoja na mimi...

Nilikuwa tu naomba ushauri nini cha kufanya ila tumeenda hospitali tumegundua zile mimba 3 alipata moja imeziba mirija yake ya uzazi so hawezi pata mimba kwa njia ya kawaida.

Naombeni ushauri wenu tafadhali kwa hili suala.

Je, bora niondoke?
 
Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe....Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari sasa baada ya hapo mwanaume wake wa zamani kufahamu huyu mwanamke ana mwanaume mwingine siku moja akaniambia kwamba huyu mwanamke huwezi kuja kumzalisha maisha yako yote hata iweje...Ndugu zangu mpaka leo huyu mwanamke amepata mimba mara 3 ila zote zimetoka...sasa baada ya hapo mwanamke akaanza kunidharau na kuniambia kwamba sina mbegu za kumzalisha...Me kama mwanaume nikapoteza confidence nikaenda kupiga nje na nimepata mtoto vizuri bila shida kabisaa

Sasa amekuja kugundua kwamba me nimezaa nje ila nilivumilia mateso yote na maneno yote ya mateso na alikuwa muda wote ananidharau sana na kusema hata iweje umenikuta na mtoto na taka usitake siwezi kuacha kuongea na baba wa mtoto....Akinikuta nakunywa anamwaga drinks zote kwenye sink.

Sasa jana usiku nimepigwa vyupa vibaya sanaa damu nyingi zimetoka sababu anataka tuwe tunatumia password moja ameingia kwenye simu amekuta yule mwanamke mwingine mwenye mtoto amenitumia picha za mtoto....Baada ya hapo akanitukania wazazi wote na luwaita Idiots familia nzima pamoja na mimi...

Nilikuwa tu naomba ushauri nini cha kufanya ila tumeenda hospitali tumegundua zile mimba 3 alipata moja imeziba mirija yake ya uzazi so hawezi pata mimba kwa njia ya kawaida.....

Naombeni ushauri wenu tafadhali..

Sasa naombeni ushauri wenu kwa hili swala....Je bora niondoke
Hauna AKILI. Achana na huyo mke wa mtu tafuta wa kwako
 
Aiseee, pole

So unampenda sana au mnapendana sanaaa bado?

Ningekuwa na Kaka, akakutana na yako ningemwambia aende akaishi mbali naye. Ila why bado unauliza na kupitia yote ya kuwa na mume mwenza pia? Unataka kuzikwa mapema? Ndoa yako imekufa zamani..shirikisha ndugu zako usione aibu wakuambie sababu wanakujua wewe... ila duh

Kama hauna maamuzi Sali usubiri maono ufanyaje..
 
Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe....Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba niseme alikuwa mwenyewe na mtoto wa miaka 2 mwanaume wake alimkimbia sasa baada ya hapo mwanaume wake wa zamani kufahamu huyu mwanamke ana mwanaume mwingine siku moja akaniambia kwamba huyu mwanamke huwezi kuja kumzalisha maisha yako yote hata iweje...Ndugu zangu mpaka leo huyu mwanamke amepata mimba mara 3 ila zote zimetoka...sasa baada ya hapo mwanamke akaanza kunidharau na kuniambia kwamba sina mbegu za kumzalisha...Me kama mwanaume nikapoteza confidence nikaenda kupiga nje na nimepata mtoto vizuri bila shida kabisaa

Sasa amekuja kugundua kwamba me nimezaa nje ila nilivumilia mateso yote na maneno yote ya mateso na alikuwa muda wote ananidharau sana na kusema hata iweje umenikuta na mtoto na taka usitake siwezi kuacha kuongea na baba wa mtoto....Akinikuta nakunywa anamwaga drinks zote kwenye sink.

Sasa jana usiku nimepigwa vyupa vibaya sanaa damu nyingi zimetoka sababu anataka tuwe tunatumia password moja ameingia kwenye simu amekuta yule mwanamke mwingine mwenye mtoto amenitumia picha za mtoto....Baada ya hapo akanitukania wazazi wote na luwaita Idiots familia nzima pamoja na mimi...

Nilikuwa tu naomba ushauri nini cha kufanya ila tumeenda hospitali tumegundua zile mimba 3 alipata moja imeziba mirija yake ya uzazi so hawezi pata mimba kwa njia ya kawaida.....

Naombeni ushauri wenu tafadhali..

Sasa naombeni ushauri wenu kwa hili swala....Je bora niondoke
Sijui kuhusu familia yako but kwa wewe kama wewe ni kweli you are an idiot!
 
Bora ungemtanguliza mbele juzi kwenye maandamano
 
Hujamuoa, Huyo ni Mke wa Mtu, tena mama watoto wa Mtu ambaye amekuoa wewe

Mwache arudi kwa Mzazi mwenzie wakalee mtoto wao

Kunguru hafugiki kamwe
 
Acha uzembe wewe.
 
Pole ndugu. Kuoa single mother sio kosa. Pengine hukuchukua muda wa kutosha kumchunguza tabia.

Pia inabidi urudi kwa jamaa kumuuliza ilikuwaje wakaachana. Mfanye awe rafiki. Pili mhoji kwa nini alisema hutamzalisha huyo mwanamke.

Naye mwanamke kitendo cha kukudharau ni kuficha madhaifu yake, ambapo kwa namna moja uliruhusu huo udhaifu hadi ikawa mazoea kwake. Sio sahihi kutukaniwa wazazi.

Unampenda? Unaona mbeleni kuna future? Tayari mna watoto, na bado mkiamua mnaeeza kupata wa kwenu.

Kikubwa mmeruhusu mahusiano (sijui kama mmefunga ndoa) kuingiliwa na watu wengine. Hili nalo la kutazama sana. Hamtaweza kuwaepuka bali mtaweza kuwadhibiti.

Ukimwangalia ana mapenzi nawe japo ana dharau? Pengine dharau inatokana ns masuala ya kipato.

Muhimu kwenye ndoa yako uwe mwelewa. Usiwe emotional. Usiwe reactive. Usiwe too rational. Kuwa muelewa. Muelewe na mengine yatajisumbukia
 
Mna ndoa nae. Ila hamna mtoto.
Mwanamke ana mtoto kabla ya ndoa na ww ukapata mtoto nje ya ndoa. (Na Sababu zako ulizotoa zinaeleweka).

1. Hii kukuita Idiots ww na Familia yako ni kwasababu inawezekana kuna vitu ving ww pamoja na familia mnafanya na ni vya kijinga. Kwahiyo yeye katoa yaliyo moyoni mwake.
Jifunze : usiseme mambo mabaya ya familia yako kwa mke wako (maana atakujumuisha na ww).
- hata mambo mabaya ya marafik zako kwa mke wako (maana atadhan na ww unafanya).
☝️☝️☝️Hii ni ushaur kwa wanandoa wote

2. Kushare passwords. Na kuchunguza simu ya mkeo/mumeo sio sawa na sio kigezo cha kwamba ndio mnapendana. (Hii mueleweshe, akikataa tumia kauli yako dhabiti kama Mwanaume. Kwan hujui mwanaume ana Say kubwa akikaza na mitazamo yake?, kwahiyo kaza kwenye hili).
☝️☝️☝️☝️ na hili pia.

3. Kupigana, kumwagiana bia, kukurushia chupa na maneno maneno wanaume hatunaga.
Hebu mpe action moja. Siku akikupandishia maneno na kukupa vurugu chapa vibao viwili vitatu, sepa home , usimtafute na sim zake usipokee. Take your time.
Uone kama atajirud au lah.
Kama akijirud msamehe na shindilia misimamo yako kama Kiongozi. Na kama hatajirud bas jua umeoa mwanamke mwenye Gubu. Ndoa ndoana.
Haina budi mpeane nafasi.

4. Kama kuna vitu vya Kijinga unafanya (pengine kama unakunywa na baada ya Kulewa) au hautunzi familia au una umalaya bas uache. Na pia mtafute msimamizi wa ndoa yenu umwambie. Yeye atamsiliza mkeo pamoja na ww kisha atawashauri.
Maana hapa tumekusikiliza ww tu.
Au mkeo ni BICHWA KOMWE tumruhusu aongee na yeye?.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom