King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Kwani wewe hukufindishwa matusi ukiwa praimare boarding?
Dada huoni kama hapo issue ni malezi? Kwa hiyo hata kama wangesoma day hadi chuo kikuu, kama mama anaona mahausigelo wawili alionao na gardener wanatosha kumtumikia, hao watoto hata kuoga wangeshindwa. Tuongelee malezi. Kuna siku mtu alilalamika kukataliwa na wazazi wa mwanaume asiolewe akapewa jibu very harsh 'hamjajuaga wa level zenu'?. Yaani mie mtoto wa Mtambuzi, niende kujifolisha ini lavu na mtoto wa jk! Si ni kuitia stress tu familia yangu jamani? Hata siku ukiwaita kwako wakakope kununua dinner outfits!
Kama unapanga mbagala date mdada wa sinza ama tabata. Ukijiingiza kwa mdada wa masaki ambae anakaa kwa babake bahari iko hapo nje, utajitia karaha tu kuishi kwa kuimpress watu na kukopa kodi za nyumba benki ili uishi walau mikocheni ama upanga!
Hiv boarding schools siku hizi zinatoa na vyeti vya 6kwa 6?

ni wazazi wachache sana ambao watoto wakirudi likizo huwa na muda wa kuwafunza house works. wengi wa wazazi hasa wa kileo huwa bize na kazi na hivi ukizingatia maisha yako kimjini zaidi, kwasababu mtu hata bustani huna, uwanja wa kufagia hakuna, nyumba ya kudeki ndo hvy kuna house girl wewe unategema huyu mtoto kazi atajifunzia wapi??
kama umeweza of which najua uliweza ni kwasababu ulidevote sana na hukuona uvivu kwenye kumfunza kazi.
Last edited by a moderator: