tracy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2010
- 784
- 268
unakumbuka yale maisha ......kule ilikuwa full mkimbizano.hakuna kuremba wala nini..mi nilisomaga na wadada
fulani wakawa wanajifanya High class mashauzi mengi baada ya muda mbona waliisoma namba..
na wakawa wachapakazi kuliko hata sie wengine
hizo boarding ni za siku hizi bana,,sie wa enzi zile tunaelewa
Ahahah!hata mimi kuna ambao walileta mashauzi masista waliwanyoosha within a year.
Nakumbuka siku ambazo mkitoka na zile fuso inakua more of an outing,aki i miss those days.