Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
hahahaha, umenichekesha sana sana...............nimemkumbuka baba ghafla.
watoto wa siku hizi sisi wazazi ndio tumeaharibu kwa kujidai tunawapa raha ya maisha kumbe hovyo kabisa.
Jana kuna kijana mmoja alinipigia simu akanishtakia jambo nilicheka sana moyoni mwangu, ni kijana wa 27 na ana gf ambaye anataka kumchumbia sasa kwa muda wote aliokaa na huyo gf wa miezi 6 kila akienda kumtembelea gf wanakula hotelini home hakupikwi, lkn kila mdada anapokuja kumtembelea kidume anakuta kidume kapika msosi fresh na binti anakula na kufurahia menu tamu. sasa mie nikamuuliza kwann binti hapiki?? akadai binti anasema hapendi kupika nikamuulza wewe uliamuaje?? akasema alimlazimisha siku moja ampikie ugali basi binti alichofanya alienda kununua ugalai wa mama ntilie akautia kwenye poti kisha akanunua na mboga. kijana alipofika akatengewa vizuri kwenye sahan sasa akashangaa mbona msosi wenyewe kama vile ugali mbichi manake sasa umejaa maji akamwambia binti huu ugali ni mbichi ngoja tuupike tena uive vzr binti alianza kujiuma uma kumbe hata kusonga ugali hajui................. mkaka wa watu ikabidi aairishe kula akaondoka kwa hasira.
Mama nanihii wa magorofani Shekilango,ambaye binti zake mmoja yuko UD mwaka wa kwanza na mwingine anaua four mwaka huu still wanafuliwa vyupi na dada wa kazi...eti kisa anawapenda! Huwa nawaangaliaaaa hadi natema mate chini...kimbembe ni siku dada aliposafiri kwenda kwao kusalimu,huyu wa UD si ilibidi apike ugali wa mbwa? Unaambiwa asubuhi tumekuta mbwa wamenunaaaa...hawakugusa chakula cha bi dada...kilikuwa kibichi!