Ndoa kudumu inataka uzuzu

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,563
32,202
Kibongobongo Ili ndoa idumu lazima mume ujifanye Zuzu aisee. Mdomo mdomo wa mke ndani ukimuendekeza mtabaki kuzozana day-in, day-out hakuna maendeleo.

Yaani Ile mke akiamka tu full kuongea tu mtu mpaka unajuta kubaki home na Corona hii.. jamani Kuna kinamama wanaongea aisee Tena NEGATIVITY tu hamna substance
 
Attachments

  • africadancehub_166465741094457.mp4
    2.4 MB
Ndoa kudumu inategemea wahusika wowote wawili kutumia Hekima na Busara ili kuja na mpango kazi maalumu kwaajili ya kuleta ndoa yenye amani...

Haitakiwi Mume pekeako ndio ahangaikie kuikeep ndoa.... Haitakiwi mke pekeako kuikeep Ndoa

Ndoa Bora, haiji nahaitokaa kuja kwa miujiza...Bali Mipango itokanayo na Busara + Kuomba Mungu.
 
Ndoa ni ya watu wawili lazima kuwe na maelewano kati ya wanandoa na siku zote sehemu kwenye maelewano hapatakiwi kuwa na level sawa lazima kuwe na kiongozi na wengine followers nampongeza mkeo aliyekuwin ad akawa kiongozi wa nyumba ni mapinduzi makubwa sana kayafanya pengine ni moja ya Ajenda waliojadili kwenye mkutano wao Tokyo kama sio hivyo basi ni miongoni mwa machache aliyozungumza na shetani pale Eden
 
Kibongobongo Ili ndoa idumu lazima mume ujifanye Zuzu aisee. Mdomo mdomo wa mke ndani ukimuendekeza mtabaki kuzozana day-in, day-out hakuna maendeleo.
Huo sio uzuzu mkuu bali umetambua ni jinsi uwe ili uweze kuendana mwenza wako ili mambo yaende.
Kuna mwingine naye atatakiwa ajifanye na poyoyo ili mambo yaende.
Kwa sababu wanawake wanatabia tofauti tofauti hivyo inahitaji ubunifu ili kuendana nao.
 
mwanamke fimbo yake hua mdomo hivo jitaidi kumpuuza tu mkuu...

mi wife nilikua namtembezea sana kichapo ajili ya mdomo bt mama akanambia mdomo ni udhaifu wa wanawake wote hivo nijitaid kumpuuza mwenza/nitoke akianza kurefusha mdomo
Kama unataka ndoa idumu kwa mda lazima mwana umme uwe tayari kuipoteza mda wowote kama inabidi.....huo utayari wako utamfanye mwana mke awe makini na matendo yake, husibembeleze ndoa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa za siku hz zmekua tabu sanaaaa,wanaume ndani wanakua wapole sanaa wakiwa nje unawaona kama wako vzuri sanaa kumbe wakfka ndani wanaume wanatulia na mwanamke anamuendesha sanaaa.
Kibongobongo Ili ndoa idumu lazima mume ujifanye Zuzu aisee. Mdomo mdomo wa mke ndani ukimuendekeza mtabaki kuzozana day-in, day-out hakuna maendeleo.
 
Mke Anafanya kosa barabarani anapigwa faini analeta malalamiko kwako mpaka unamwomba msamaha utadhani we ndo polisi ili mradi uwe zuzu asiendeleze mdomo mpate usingizi.
ila kwel, mi huwa ananimbia ukiwa na stress wewe nami napata stress nilikuwa sielew
 
Shida hapo ni sisi wanawake tunawaza mambo yote kwa wakati mmoja wakati ninyi wanume mna-prioritise... hapo ndiyo kuna kelele. Sijui unaelewa. Wote wako sahihi kulingana na circuit za brain. Hiyo mkeo akikuambia jambo bado wewe endelea ku-prioritise. Jambo lisilo maan ignore na fanya ya maana kwa kuwa kaitka tunayofikiria yote kwa pamoja mengine hu-cancel each other .. kumbuka hii inakufa na hii na hii inakufa na hii unabaki na .. katika hesabu.
 
Huo sio uzuzu mkuu bali umetambua ni jinsi uwe ili uweze kuendana mwenza wako ili mambo yaende.
Kuna mwingine naye atatakiwa ajifanye na poyoyo ili mambo yaende.
Kwa sababu wanawake wanatabia tofauti tofauti hivyo inahitaji ubunifu ili kuendana nao.
"Kwa sababu wanawake wanatabia tofauti tofauti hivyo inahitaji ubunifu ili kuendana nao."
hii part imemaliza kila kitu mkuu. salute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom