and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,107
- Thread starter
- #41
Mmmh
Kumwambia huwezi..!!?? Pole sanaKibongobongo Ili ndoa idumu lazima mume ujifanye Zuzu aisee. Mdomo mdomo wa mke ndani ukimuendekeza mtabaki kuzozana day-in, day-out hakuna maendeleo.
**Yaani Ile mke akiamka tu full kuongea tu mtu mpaka unajuta kubaki home na Corona hii.. jamani Kuna kinamama wanaongea aisee Tena NEGATIVITY tu hamna substance
Si kweli.. We utakua ni boya fulaniNdoa kudumu Ni uzwanda unahitajika
Hahahaaa,, ni sheedah!Mke Anafanya kosa barabarani anapigwa faini analeta malalamiko kwako mpaka unamwomba msamaha utadhani we ndo polisi ili mradi uwe zuzu asiendeleze mdomo mpate usingizi.
Hapo kwenye ubunifu ndio penyewe kabisa! Watu wako tofauti sanaHuo sio uzuzu mkuu bali umetambua ni jinsi uwe ili uweze kuendana mwenza wako ili mambo yaende.
Kuna mwingine naye atatakiwa ajifanye na poyoyo ili mambo yaende.
Kwa sababu wanawake wanatabia tofauti tofauti hivyo inahitaji ubunifu ili kuendana nao.
mwanamke fimbo yake hua mdomo hivo jitaidi kumpuuza tu mkuu...
mi wife nilikua namtembezea sana kichapo ajili ya mdomo bt mama akanambia mdomo ni udhaifu wa wanawake wote hivo nijitaid kumpuuza mwenza/nitoke akianza kurefusha mdomo
Vizuri sana mkuu,,,Shida hapo ni sisi wanawake tunawaza mambo yote kwa wakati mmoja wakati ninyi wanume mna-prioritise... hapo ndiyo kuna kelele. Sijui unaelewa. Wote wako sahihi kulingana na circuit za brain. Hiyo mkeo akikuambia jambo bado wewe endelea ku-prioritise. Jambo lisilo maan ignore na fanya ya maana kwa kuwa kaitka tunayofikiria yote kwa pamoja mengine hu-cancel each other .. kumbuka hii inakufa na hii na hii inakufa na hii unabaki na .. katika hesabu.
Kulikoni?Haleluya
Ramadan KareemHuo sio uzuzu mkuu bali umetambua ni jinsi uwe ili uweze kuendana mwenza wako ili mambo yaende.
Kuna mwingine naye atatakiwa ajifanye na poyoyo ili mambo yaende.
Kwa sababu wanawake wanatabia tofauti tofauti hivyo inahitaji ubunifu ili kuendana nao.
Unasalimiwa na wifi wa zamani
Kuishi na mtu asietabirika ni kazi kwekweli nilishawahi kuexperienceJambo la muhimu ni kuwa mtu usiyetabirika tu mfano akifanya jambo zuri badala ya kumpongeza unajifanya kama hujaona vile. Au akifanya jambo la hovyo badala ya kumuadhibu unampotezea pia.
Kupitia hiyo ndoa itadumu vizuri kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app