Jambo la muhimu ni kuwa mtu usiyetabirika tu mfano akifanya jambo zuri badala ya kumpongeza unajifanya kama hujaona vile. Au akifanya jambo la hovyo badala ya kumuadhibu unampotezea pia.
Kupitia hiyo ndoa itadumu vizuri kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupitia hiyo ndoa itadumu vizuri kabisa
Kibongobongo Ili ndoa idumu lazima mume ujifanye Zuzu aisee. Mdomo mdomo wa mke ndani ukimuendekeza mtabaki kuzozana day-in, day-out hakuna maendeleo.
Sent using Jamii Forums mobile app