Ndoa kudumu inataka uzuzu

Ndoa kudumu inataka uzuzu

Shida hapo ni sisi wanawake tunawaza mambo yote kwa wakati mmoja wakati ninyi wanume mna-prioritise... hapo ndiyo kuna kelele. Sijui unaelewa. Wote wako sahihi kulingana na circuit za brain. Hiyo mkeo akikuambia jambo bado wewe endelea ku-prioritise. Jambo lisilo maan ignore na fanya ya maana kwa kuwa kaitka tunayofikiria yote kwa pamoja mengine hu-cancel each other .. kumbuka hii inakufa na hii na hii inakufa na hii unabaki na .. katika hesabu.
Dah umeongea point sana asee
 
Mke Anafanya kosa barabarani anapigwa faini analeta malalamiko kwako mpaka unamwomba msamaha utadhani we ndo polisi ili mradi uwe zuzu asiendeleze mdomo mpate usingizi.
Hapa ndo unapokosea sasa . Mwanamke ukimpa nafasi ya kukupigia makelele kila mara na unakaa kinya hadi unajifanya mjinga kama ulivyosema kweli atakuona mjinga na hataacha . Mimi mwanamke akiongea ujinga kuna namna nikimwangalia anajua apa nipakukaa kimya maana kifuatacho hatakipenda. Mwanamme nikuwa na sauti juu ya mke wako sio mke wako anakua na sauti juu yako
 
Hapa ndo unapokosea sasa . Mwanamke ukimpa nafasi ya kukupigia makelele kila mara na unakaa kinya hadi unajifanya mjinga kama ulivyosema kweli atakuona mjinga na hataacha . Mimi mwanamke akiongea ujinga kuna namna nikimwangalia anajua apa nipakukaa kimya maana kifuatacho hatakipenda. Mwanamme nikuwa na sauti juu ya mke wako sio mke wako anakua na sauti juu yako
😂🤣😂🤣 jicho tu inatosha
 
Kibongobongo Ili ndoa idumu lazima mume ujifanye Zuzu aisee. Mdomo mdomo wa mke ndani ukimuendekeza mtabaki kuzozana day-in, day-out hakuna maendeleo.

Yaani Ile mke akiamka tu full kuongea tu mtu mpaka unajuta kubaki home na Corona hii.. jamani Kuna kinamama wanaongea aisee Tena NEGATIVITY tu hamna substance
Akiongea au ukihisi anaanza kuongea fanya haya
1. Kaa kimya, ushinde moyo wako na hisia zako, maana wakionaga umekaa kimya anaweza hata akaja kukusukumasukuma
2. Yakizidi ondoka home, nenda kokote unakodhani kutakupa umbali.... kwa masaa machache
 
Kuna jirani yangu wakati anaishi na mke wake ikua anaondoka home saa 2 anarudi saa 3. Monday yo saturday, then jp anashinda home

Saiv wife hayupo, unakuta hata saa nane huyo karudi homme anapumzika. Siku ingine anashinda homme anatoka saa sita.

Jamani wanawake punguzeni mdomo, au kama ni muhimu kuongea kua positive, na tumia lugha itakayo fanya mumeo apende kukusikiliza daily
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom