utaratibu jamaa anadai taa huwa inazmwa sasa akashangaa kastuka usngizn taa inawaka akaamka akaizma baada ya mda mkewe nae kaamka kaizma,jamaa akamuulza mkewe mbona taa iwake usku leo hakupewa jbu akaamka tena akazma mkewe nae tena akaamka akawasha jamaa hasira zkamjaa akachomoa tubelight akaipasua ndo kaz ikaanza mkewe yeye kavunja lcd nchi 30,radio nk.
hii ni kweli si hekaya za abunuwasi, kuna jamaa anaishi na mkewe yaani huyu mwanamke anamdharau sana jamaa ukizingatia jamaa yuko vizuri namaanisha ana elimu nzuri,ana kazi pia, mkewe nae amesoma pia ana kazi, jamaa kaokoka pia ni mpole sana sasa jumapili mkewe kafanya fujo sana usku kavunja vitu vya ndani kama tv lcd,radio nk kisa cha kijinga eti mda wa kulala umefka jamaa kazima taa mkewe kwa kisirani kaamka kawasha,jamaa kazma tena pia mkewe kaamka kawasha kilichofuata jamaa kachomoa taa kaiweka chini namaanisha tubelight hapo ndipo mkewe kaanza vunja vitu ndani, asubuhi jmatatu jamaa kaamka kaenda kazini karudi jioni kakuta mkewe kaondoka na mtoto hajarudi mpaka leo,msimamo wa jamaa kasema hamtafuti wala ahangaiki naye akitaka arudi au aende jumla,zaidi jamaa katoa angalizo mtoto wake asirudi ana kasoro kwani bado mdogo ana miezi 6 tu. JAMANI KINA MAMA TULIENI KWENYE NDOA ZENU, wadau mnashauri nini?
Mijanamke mingi ya siku hizi haioleki, na ukijilazimisha kuoa matokeo yake ndio haya.
Wanawake wazuri wameolewa yamebaki manungayembe yanahangaika.........
Mwanamke kuleta kibesi kwangu eti naye ana EGO, pambaf .
hii ni kweli si hekaya za abunuwasi, kuna jamaa anaishi na mkewe yaani huyu mwanamke anamdharau sana jamaa ukizingatia jamaa yuko vizuri namaanisha ana elimu nzuri,ana kazi pia, mkewe nae amesoma pia ana kazi, jamaa kaokoka pia ni mpole sana sasa jumapili mkewe kafanya fujo sana usku kavunja vitu vya ndani kama tv lcd,radio nk kisa cha kijinga eti mda wa kulala umefka jamaa kazima taa mkewe kwa kisirani kaamka kawasha,jamaa kazma tena pia mkewe kaamka kawasha kilichofuata jamaa kachomoa taa kaiweka chini namaanisha tubelight hapo ndipo mkewe kaanza vunja vitu ndani, asubuhi jmatatu jamaa kaamka kaenda kazini karudi jioni kakuta mkewe kaondoka na mtoto hajarudi mpaka leo,msimamo wa jamaa kasema hamtafuti wala ahangaiki naye akitaka arudi au aende jumla,zaidi jamaa katoa angalizo mtoto wake asirudi ana kasoro kwani bado mdogo ana miezi 6 tu. JAMANI KINA MAMA TULIENI KWENYE NDOA ZENU, wadau mnashauri nini?
hii ni kweli si hekaya za abunuwasi, kuna jamaa anaishi na mkewe yaani huyu mwanamke anamdharau sana jamaa ukizingatia jamaa yuko vizuri namaanisha ana elimu nzuri,ana kazi pia, mkewe nae amesoma pia ana kazi, jamaa kaokoka pia ni mpole sana sasa jumapili mkewe kafanya fujo sana usku kavunja vitu vya ndani kama tv lcd,radio nk kisa cha kijinga eti mda wa kulala umefka jamaa kazima taa mkewe kwa kisirani kaamka kawasha,jamaa kazma tena pia mkewe kaamka kawasha kilichofuata jamaa kachomoa taa kaiweka chini namaanisha tubelight hapo ndipo mkewe kaanza vunja vitu ndani, asubuhi jmatatu jamaa kaamka kaenda kazini karudi jioni kakuta mkewe kaondoka na mtoto hajarudi mpaka leo,msimamo wa jamaa kasema hamtafuti wala ahangaiki naye akitaka arudi au aende jumla,zaidi jamaa katoa angalizo mtoto wake asirudi ana kasoro kwani bado mdogo ana miezi 6 tu. JAMANI KINA MAMA TULIENI KWENYE NDOA ZENU, wadau mnashauri nini?
na kwa nini mnaoa madunganyembe, na kuwaacha wanawake wazuri waishie mitaani?siku hizi sio hivyo! Madungayembe ndio wameolewa,wanawake,wazuri wamebaki mitaani!!
na kwa nini mnaoa madunganyembe, na kuwaacha wanawake wazuri waishie mitaani?
Heeee.... Yaani unataka kutuaminisha kwamba shida ni taa tu?😡
haya sema ww shida ni nini? maana mimi nlikuwepo eneo la tukio maana tumepanga nyumba moja,baada mke wa jamaa kuvunja vtu jamaa alitoka nje akiwa na majonzi sana akaanza kusmulia mara mkewe huyo akawa anabwatuka sana na kusema hamtaki jamaa,aliposhuka watu wakamuulza mbona amevunja vtu,akasema mmewe kavunja taa basi akawa haeleweki eleweki vile.
Eeeh huyo jamaa nae
kazidi uboya unajua smtyms wanawake nasi tunapenda kujaribu wat tuone
watafanyaje...tia kipigo ambacho hatokisahau maishan mwake akianza
kulialia kamata kwa nguvu weka kifuani kwikwi zikiendelea tia dushelele
kaza kiuno kwel kweli kesho ukirud kazini mletee zawad anayoipenda
yatakuwa yameisha... Cku nyingine akianza ngebe zake akikumbuka tuu kile
kipigo mjarabaa lazma atulie