Ndoa ipo mashakani

Ndoa ipo mashakani

Unaleta umbea kwenye ndoa za watu?
Hawa wanandoa wameoana toka 2017 kipindi hicho mapenzi yalikua mubashara, (hadi nikatamani kuolewa )ila 2018 baada ya kubarikiwa mtoto wao wa kwanza cousin yangu akaanza kukipata cha mtema kuni.

Mwanaume alibadilika kwa kasi ya 4G, harudi nyumbani, ulevi kupitiliza, mara mida ya kurudi ikawa saa nane au hata kumi na mbili, siku nyingine saa nne asubuh ndo jamaa anapatikana, na vipigo juu.
Huyu cousin wangu mara nyingi nipo nae tumekua pamoja, mambo yake mengi ananiambia,so do l.
Kuna kipind hata wakishiriki tendo la ndoa jamaa anamuita jina la mchepuko, ila kwa sasa huyo mchepuko kaachwa, kapata mchepuko mwingine MKE WA MTU.(cjui mumewe atakua ni member huku)sasa penzi ndo limedamshi, kurud nyumban ni mida mibayaa saa saba hadi kumi, alishampiga ndugu yangu kisa alimuonya kuachana na mke wa mtu, haambiliki haskii, cousin aligundua haya baada ya kushika simu ya mumewe na kukuta charting wanavyoelezana wanavyopendana, mara guest na lounge wanazoendaga, na miamala wanavyotumiana hela,
Hapo ndoa bado mbichi kabisa, mke analalamika mumewe akishanunua chakula basi tena kwa kusumbuana sana, mahitaji yake muhimu hana mpango nayo, kila siku hana hela(huwa najiuliza iweje shemeji alewe kila siku, kwenda guest na kumuhudumia mke wa mtu, afu nyumbani kwake aseme hana hela?)

Me nilichomshauri ajitafutie mchepuko tu ajiliwaze, cyo kwa stress hizo kukesha usiku kusubiri mtu hujui kama atakuja au analala huko, ila akiwa na mpango wa kando atamliwaza.

Wanajamvi, mnamshauri nini huyu.
 
Kwajinsi ulivyo andika, nimegundua kwamba huyo cousin wako anampenda sana mumewe. Na hakika hawana matatizo katika ndoa yao.
Hapo minaona wewe ndie mwenye shida/tatizo kwa kuingilia na kumfundisha cousin wako aishi kwajinsi unavyo taka ama kukupendeza wewe.
Marafiki ndo wasaliti.
 
Kuna stage katika ndoa ikifika huwez kupambana nayo kwa jinsi ya mwili....mshauri nduguyo aanze maombi yaani aikabidhi familia yake kwa Mungu ,aitete ndoa ya na amwambie Mungu anatahitaj mumewe ampende yeye tu na kuachanisha mahusiano yake yote ya pembeni !!!!!
Afu atulie wala asipigizane.kelele na mumewe ....hakuna siku mungu amemuacha mke muombaji

Kwa muongozo zaid anaweza ingia page ya anointed room insta.
 
Hata bible inasema kwamba inawezekana kuomba au kutoa talaka endapo mtu akizini nje ya ndoa. Kwahiyo suruhisho ni kumuacha tu. Mungu anabaraka zake katika hilo.

La sivyo asubir kuletewa magonjwa ambayo yatamsumbua na kuua ndoto zake zote alizo nazo na hata mtoto anayemuonea huruma huenda asimuone akipata mafanikio kwasababu ya kufa mapem.

Shame on men who do this to their wives
Eti amuache yaaani kirahis rahis tu amuachie ndoa yake mchepuko !!!! Huhuhuhuhu labda sio mimi.....
 
Siku zote adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake. Usikute huyo jamaa kachotwa akili na mwanamke wa nje ili amjali yeye tu na si mke wa ndoa.
 
Mi naona aende kwa mganga ampige limbwata la hatari sana,kiasi kwamba huyo mume atawahi kurudi nyumbani mapema sana,ataosha vyombo,atapika,atafua nguo,na mshahara wote atakuwa anakabidhi kwa mkewe.maombi kwa Mungu huwa yanachelewa lakini kwa mganga ni dakika sifuri tu.(sio maneno yangu,niliwahi kuusoma ujumbe wa shemeji yangu wa kike kwenda kwa mwenzake,alikuwa na tatizo kama hili,sijui kama alifanikiwa ila naona ananenepa tu .huo ujumbe niliupitia wakati nafanya setting kwenye simu yake "shemeji".)
 
Ukweli umuweka mtu Uhuru tatizo letu watu weusi tunapenda uongo vzuri kumueleza mtu ukweli na unaelezwa ukweli uwe tayari kupokea. Binafsi kuna Dada alinieleza mie sina tna mapenzi na ww wakt mie ndio nmekufa nmeoza lkn nikamuelewa aliolewa na jamaa yngu wa karibu sna wakapata mtt moja baadae walishindwana alitaka kurudi kwangu tna nikamueleza hpn nmehamua kuishi single ameolewa tna na mtu mwingine ana maisha yke mazuri tu tukikutana story za kawaida kucheka basi kuliko angenifanyia ujinga km huo ni bora alivyonieleza ukweli...
 
Hawa wanandoa wameoana toka 2017 kipindi hicho mapenzi yalikua mubashara, (hadi nikatamani kuolewa )ila 2018 baada ya kubarikiwa mtoto wao wa kwanza cousin yangu akaanza kukipata cha mtema kuni.

Mwanaume alibadilika kwa kasi ya 4G, harudi nyumbani, ulevi kupitiliza, mara mida ya kurudi ikawa saa nane au hata kumi na mbili, siku nyingine saa nne asubuh ndo jamaa anapatikana, na vipigo juu.
Huyu cousin wangu mara nyingi nipo nae tumekua pamoja, mambo yake mengi ananiambia,so do l.
Kuna kipind hata wakishiriki tendo la ndoa jamaa anamuita jina la mchepuko, ila kwa sasa huyo mchepuko kaachwa, kapata mchepuko mwingine MKE WA MTU.(cjui mumewe atakua ni member huku)sasa penzi ndo limedamshi, kurud nyumban ni mida mibayaa saa saba hadi kumi, alishampiga ndugu yangu kisa alimuonya kuachana na mke wa mtu, haambiliki haskii, cousin aligundua haya baada ya kushika simu ya mumewe na kukuta charting wanavyoelezana wanavyopendana, mara guest na lounge wanazoendaga, na miamala wanavyotumiana hela,
Hapo ndoa bado mbichi kabisa, mke analalamika mumewe akishanunua chakula basi tena kwa kusumbuana sana, mahitaji yake muhimu hana mpango nayo, kila siku hana hela(huwa najiuliza iweje shemeji alewe kila siku, kwenda guest na kumuhudumia mke wa mtu, afu nyumbani kwake aseme hana hela?)

Me nilichomshauri ajitafutie mchepuko tu ajiliwaze, cyo kwa stress hizo kukesha usiku kusubiri mtu hujui kama atakuja au analala huko, ila akiwa na mpango wa kando atamliwaza.

Wanajamvi, mnamshauri nini huyu.
Wewe huna uzoefu wa ndoa huwezi mshauri kitu. Wengi tunapenda kutibu matokeo badala ya kutibu chimbuko. Kuwa na mchepuko ni matokeo tu. Mie nina uzoefu wa ndoa na hayo unayomshauri yalishanitokea kwangu ingawa bado tupo wote. Katika ndoa mara nyingi wanawake wanapenda kusex ili apate mtoto na unapoambiwa wanawake ni selfish ni pale wewe dushe limesimama yeye anakueleza kuwa k siyo chakula mpaka uile kila siku. Usisahau wakati mpo wachumba ukimuomba mwendelee kukipiga anakupiga kiboko cha ‘hii ni k yako, nioe ili kila siku uiogelee’. Mwanaume unahangaika ili uwe unajulia kiroho safi, ila ukimwingiza ndani yeye anafikiria kuzaa (bado unaigida na roho yako inaridhika) akijitungua yeye ametimiza matakwa yake anaanza kukupa k za masharti. Hii huwa inauma na kukatisha tamaa. Hapo hapo utakuta kuna akina Evelyn Salt wanaokujia na kukueleza kuwa wao wanapenda kusex kila dakika, niambie hutawafuata na mashallah ukijiingiza anakupa k kiroho mbaya. Lazima mwanaume upotee na urudi saa nne asubuhi. Mkitaka niendelee nitaendelea Khantwe Sky Eclat
 
Pia kauli, kuna mambo madogo wanaume wanayachukulia big deal. Aongee nae ili waje tatitizo linaanzia wapi.
 
Kauli ndiyo mambo yote. Mwanaume anaweza ridhika kwa kauli tu. Wanawake waliofundwa hutuliza waume kwa kauli. Huu ushauri ati achukue mchepuko alipewa mke wangu na akamfuata x wake.
 
Ulipogundua ulifanya nini?
 
Ulipogundundua ulifanya nini?
We acha tu ni donda lisiloisha moyoni mwangu. Ila hatasahau naye maishani mwake niligundua saa 4 usiku lakini jamaa nikamzukia mkoa wa jirani saa 12 naye marida mbele ya mkewe kwishen. Tuishie hapo
 
Kuna mambo ni kuomba tu Mungu akunusueu nayo maana hakuna formula ya kuyakwepa.
 
We acha tu ni donda lisiloisha moyoni mwangu. Ila hatasahau naye maishani mwake niligundua saa 4 usiku lakini jamaa nikamzukia mkoa wa jirani saa 12 naye marida mbele ya mkewe kwishen. Tuishie hapo
Duh....
 
Back
Top Bottom