BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Unaendeleaje kuishi na mtu kama huyu na kudai una mume? Hii si ndoa pamoja na ndoa kuwa na majaribu lakini hii hapana ama atatiwa kilema, kutolewa ngeu au kuletewa gonjwa. Mwambie afungashe haraka sana.
Unataka niseme mimi ningefanyaje? Ningemwacha ajinafasi vizuri
Sina ndoa,ila kwa kweli ahame or else asubiri kuletewa magonjwa ndani,,,imagine mumewe anatembea na mke wa mtu, na mwenye mke nae ana mchepuko wake,,,,, huu mzunguko hapana