Ndoa ipo mashakani

Ndoa ipo mashakani

I was just trying to make a conversation dear, it was a joke tena hapa tu. Ila yeye sijamshauri hivo, coz najua wanaolala shuka moja ni habari nyingine, mwishowe asiseme nimemtafutia bwana.
poa nimekuelewa ila kama ni ndugu yako mshauri aende kwa wazazi awaelezee maybe they will talk some sense to him...ila kwa mimi ninavyojua mtu akiwa mwanaume au mwanamke akisha anza mahusiano nje ya ndoa huyo ni ngumu sana kuacha cha msingi aondoke arudi kwao ajipange upya kumlea mwanae bila kutegemea huyo jamaa...
 
Jifunze kujenga hoja, na hii iwe fundisho kwako next time usije humu jf kwa jambo sensitive na ukashindwa kutetea kile unacho kiamini. Na usije ukajadili mambo ya ndoa za watu kwa kujiona wewe unauchungu kuliko hata huyo unaedhani anaumia Gad'dem it......
Jf ya babako hii au, sema unataka tu unachokisema kiwe ndo sahihi, ntajadili sana tu na huna lakunifanya
 
Kwa bahati mbaya wanawake huishi kwa hisia wala si uhalisia. Ndo maana nimemuomba msamaha wa dhati Khantwe alipotoa kereka. Ukosefu wa unyago kwa makabila mengi hapa Tanzania ndicho kinasababisha janga hili. Naamini wanaume huwa tunawapenda wake zetu, mtu mpaka akahemee kwa jirani hayo niyo maita matokeo siyo chanzo. Utaongea na mkeo wala hakusikii, utalalamika kwa mama yake; hapo unatafuta kusutwa na mama mkwe kuwa usimzeeshe mtoto wake na shombo kibao. Kunakuwa na mawili aidha ubwage manyanga (huo ni ubinafsi hasa mkiwa na watoto), au uamue kuvinjari kwa majirani (uyasake magonjwa hasa ukimwi). Akili mukichwa
Wanawake wengi wana fail kwa kuto jitathmini kwamba wanakosea wapi.
Na wanawake wengi wanaharibu ndoa zao kwa kudhani kwamba wanajenga eti kwa kuwashtaki waume zao kwa wazazi/ndugu (wamke). Hapa wamama wanaharibu sana kwasababu hayupo mzazi/ndugu wa mke atakae mpenda shemeji/mkwe ambae anamtesea mwanae ama ndugu yake.
Mimi binafsi huwa napingana sana na watu wote wanao jadili ndoa ilhali hawajawahi kuingia kwenye ndoa.
Na huu Uzi ni moja ya mifano mingi ambayo tunaiona huku mitaani.
 
m
Tatizo la kwanza ni pale mwanamke anapoingia kwenye ndoa na kidhani kuwa mgegedo ni wake peke yake. ...binadamu tunajipaga matumaini ya ajabu sana. Mtu mmekutana alishaonja papuchi au migegedo kibao ..eti cheti cha ndoa ndio kitamadiliisha. Ah wapi. Mie bwana as long as sijakukuta bikra najua kabisa wanaume wengine nao watagegeda.
ahaaa mkuu kwa hiyo ungemkuta bikra ungetulia au?
 
Hawa wanandoa wameoana toka 2017 kipindi hicho mapenzi yalikua mubashara, (hadi nikatamani kuolewa )ila 2018 baada ya kubarikiwa mtoto wao wa kwanza cousin yangu akaanza kukipata cha mtema kuni.

Mwanaume alibadilika kwa kasi ya 4G, harudi nyumbani, ulevi kupitiliza, mara mida ya kurudi ikawa saa nane au hata kumi na mbili, siku nyingine saa nne asubuh ndo jamaa anapatikana, na vipigo juu.
Huyu cousin wangu mara nyingi nipo nae tumekua pamoja, mambo yake mengi ananiambia,so do l.
Kuna kipind hata wakishiriki tendo la ndoa jamaa anamuita jina la mchepuko, ila kwa sasa huyo mchepuko kaachwa, kapata mchepuko mwingine MKE WA MTU.(cjui mumewe atakua ni member huku)sasa penzi ndo limedamshi, kurud nyumban ni mida mibayaa saa saba hadi kumi, alishampiga ndugu yangu kisa alimuonya kuachana na mke wa mtu, haambiliki haskii, cousin aligundua haya baada ya kushika simu ya mumewe na kukuta charting wanavyoelezana wanavyopendana, mara guest na lounge wanazoendaga, na miamala wanavyotumiana hela,
Hapo ndoa bado mbichi kabisa, mke analalamika mumewe akishanunua chakula basi tena kwa kusumbuana sana, mahitaji yake muhimu hana mpango nayo, kila siku hana hela(huwa najiuliza iweje shemeji alewe kila siku, kwenda guest na kumuhudumia mke wa mtu, afu nyumbani kwake aseme hana hela?)

Me nilichomshauri ajitafutie mchepuko tu ajiliwaze, cyo kwa stress hizo kukesha usiku kusubiri mtu hujui kama atakuja au analala huko, ila akiwa na mpango wa kando atamliwaza.

Wanajamvi, mnamshauri nini huyu.
Ntakuuliza maswali afu unijibu ndo nikushauri
Cousin wako anakazi yoyote inayomuingizia kipato??
 
Jf ya babako hii au, sema unataka tu unachokisema kiwe ndo sahihi, ntajadili sana tu na huna lakunifanya
Kwanza nikueleze tu wazi kwamba huyo baba yangu unae mtaja pia ni member mkongwe humu jf.
Na pili siwezi kaliakimya ujinga ama upuuzi ambao wewe unajifanya kuumia ilkhali lidadalako jinga hilo ndio limeng'ang'ania mateso huku likijifanya kujiona limeolewa. Hapo minasema huyo cousin wako ni aina moja ya wanawake wale wapumbavu nilio wasoma kwenye Methali 14:1.
Na kwataarifa yako mwenye mtazamo mpana hapa haoni shida wala tatizo LA huyo shemeji yenu, bali zaidi umezidi kumdhalilisha cousin wako alivyo mpumbavu pamoja na machungu yenye anapitia.

Ebu ifike watu tuache kulalamika na sasa kuna mambo yanahitaji maamuzi binafsi na kuchukua hatua. Ndoa sio jela jamani....
 
yaani nyie wanawake watu wa ajabu sana yaani kusema umuombe hata rafiki yako , au ukope ufanye kitu cha kueleweka unawaza kutafuat mwanaume wa kukupa pesa ...baadae mna sema tunanyanyaswa mara haki za wanawake pumbavu kabisa nyinyi ,,,nyie inabidi mrudi sayari mliyo toka hii sio yenu
Umeelewa nilichoandika mkuu au unatapika maneno mdomon alafu mm c mwanamke nimemaanisha kuwa asitafute mchepuko Bali ajibane atafute 500k aendelee na maisha yake c kuendelea na iyoo ndoa
 
nionacho mimi huyo dada analipa alichopanda, inaonekana kabla ya kuolewa na huyo mbaba alikua na mchumba wake anaempenda kamuacha akaenda kwa huyo jamaa aliemwona kuwa nafaa sana kwa kipindi hiko..
karma itammaliza, uishauri wangu akamwombe msamaha EX wake kwa dhati na ahakikishe anasamehewa mambo yatakua sawa..
(tafadhari mfikishie huu ujumbe)
mara nyingi binadamu tunapata mara 10 ya tunayowatendea wengine.
Mhhh umefanya nimuwaze ex niliyemuacha, na alinipenda sana, kwahiyo na mimi yatanikuta haya?? Mbona balaa
 
Haoni kawaida, amekua mtu wa kulia kila siku, wameshasuluhisha ugomvi hadi kwa familia, but the man hajali, hayo ni baadhi tu ya anayopitia. Yeye anachowaza ni kutengana tuu.
Sasa badala ya kumshauli arudi kwao unataka awe kicheche?
 
eti umemshauri awe na mchepuko😡😡,,, umeona ndio busara saaana...wanawake bana.....hivi kwanini mnapenda kuambiana mambo ya ndani kabisa??...ila sishangai inaweza kuwa wewe mshauri hujaolewa bado au ni chepuko fulani hivi...but sorry najaribu kuchangia tuu.....kamwe hujui nini cha kumshauri.......labda cha kukwambia achana na ndoa ya watu...akija kwako mwambie vumilia, pambana......siku shemejio akijua wewe ndie mpagazi wake usiejua kutua mizigo mahali husika ni mbaya sanaaaaa.......
 
1. Pole nyingi zimfikie cousin.
2. Ndoa ni ya watu wawili, wa tatu (third one) ni shetani, epuka kutoa ushauri negative kesho na kesho kutwa utaonekana wewe ulikuwa mchawi wa mahusiano yao.
3. Cousin wetu achukue likizo popote amuache huyo bwana aendelee kuchepuka, pengine akili zitaweza kumrudia, kama anaamini katika maombi aingie kwenye maombi ya dhati kwa ajili ya mumewe na ndoa yake( dont get me wrong, ajiombee mwenyewe, asiende kwa wale wachungaji wahuni) , in the mean time atafute ile movie ya "war room'.
4. Namtakia heri cousin katika kuirejesha ndoa yake, it posible, she can make it possible, it beggins with her.
 
Kabla sijaoa nilikuwa nashangaa wanaume wenzangu inakuaje wanachepuka mpaka anaitelekeza familia yake? Nilivyoingia kwenye ndoa nimepata majibu yote. Wanawake wanabadilika sana yale aliyokuwa anayafanya kabla ya ndoa yote anatupa kule na hasa wanaanza wanapopata mimba ya kwanza ,tena hawa wanaofanya kazi usipochepuka na kuama nyumba basi umemshika mungu sana. ndiyo maana ukijaribu nje ukampata anayejua mapenzi matokeo yake ndiyo hayo.Hapo hakuna uchawi wala ndumba ni mahaba tu.
Hebu nifafanulie kiundani hayo mabadiliko uliyoyaona yalikufanya ukaishia kusema hvyo mkuu
 
Wanawake wengi wana fail kwa kuto jitathmini kwamba wanakosea wapi.
Na wanawake wengi wanaharibu ndoa zao kwa kudhani kwamba wanajenga eti kwa kuwashtaki waume zao kwa wazazi/ndugu (wamke). Hapa wamama wanaharibu sana kwasababu hayupo mzazi/ndugu wa mke atakae mpenda shemeji/mkwe ambae anamtesea mwanae ama ndugu yake.
Mimi binafsi huwa napingana sana na watu wote wanao jadili ndoa ilhali hawajawahi kuingia kwenye ndoa.
Na huu Uzi ni moja ya mifano mingi ambayo tunaiona huku mitaani.
Hivi mtu unapata wapi ujasiri wa kumuuliza mfano sista au padre masuala yahusuyo ndoa? Ni sawa na mwanamke kuomba ushauri ambaye hajaolewa au bado ndoa yake ni tamu. Uzoefu wangu ni kuwa ndoa ni muunganiko wa watu wawili wa jinsia moja wanaolazimisha nafsi wavumiliane na wapendane wakiwa na uhitaji fulani kwa mwenzake kama social security etc. mfano kuna ndugu yangu ambaye mume wake alitenguka kiuno hivyo dushe halisimami lakini ni huu ni mwaka wa 7 wapo wote kama mke na mume. Je, hakuna jirani anamsaidia huyo mama kisiri (less than 40 years imagine). Kuliko kuleta maumivu kwa watoto ambao uliwaleta hapa Duniani kwa raha zako, bora kupiga punyeto na ukishindwa chepuka kisiri na kiutu uzima. Ila nikiona mwenzangu unachepuka wakati unaninyima hadi nahanja nje nawe unaigawa, chamoto lazima ukipate. I wish akinamama wangekuwa wanafanya self assessment na kujaribu kutafuta na kutibu chanzo badala ya kuhangaika na matokeo
 
Back
Top Bottom