Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 42,455
- 104,965
Yaani hadi ndoa inafikia hatua hiyo na yeye bado anaendelea kuvumilia, basi mnapaswa mkae pembeni na hampaswi kuingilia wala kumshauri.Haoni kawaida, amekua mtu wa kulia kila siku, wameshasuluhisha ugomvi hadi kwa familia, but the man hajali, hayo ni baadhi tu ya anayopitia. Yeye anachowaza ni kutengana tuu.
Kwakifupi huyo cousin bado anampenda mume wake ingawa anapitia changamoto ambazo ninyi zinawaumiza, lakini bado hampaswi kuingilia ndoa kwasabu wanapo lala wawili kitandani ninyi hamjui wanajadili nini kuhusu ninyi ama hata jinsi mnavyo waingilia kwenye ndoa yao.
Binafsi bado nasisitiza kwamba cousin wako hateseki, bali ninyi ndio mnaingilia mambo ya ndoa take kwa kutaka mume wake afuate vile mnavyotaka nyie.
Ebu ngoja nikuulize, kwanini unadhani huyo cousin wako hataki kurudi kwao ikiwa kama anao anateseka...!!??
)ila 2018 baada ya kubarikiwa mtoto wao wa kwanza cousin yangu akaanza kukipata cha mtema kuni.

