STory ya mke ...kwanini anachepuka na childhood friend..natamani tungepata sababuUngesoma maelezo yangu usingehoji hayo. Mume amerufa baada ya kuona sms iliyoambatanishwa. Kungine hakukuwa na shida sana maana ni kama walikubaliana kufungua ukurasa mpya. Mume kukubali ni kuwa haya yeye sio mkamilifu sana. Amekereka kuona mke anataka kwenda kwa mchepuko wake
Bazazi
Mume sio "romantic" hata akiandika sms anajibu kirahisi.STory ya mke ...kwanini anachepuka na childhood friend..natamani tungepata sababu
Smtime tusikasirike kwanza
Tuulize WHY are u doing this?
Mpe mda atoe majibu
Nimesoma post hii Kwa umakini mkubwa sana ...
Ila niwaambie tu kuwa msibase sana na miaka 15 ya ndoa.. Hamuwez jua mwanamke amevumilia nn Kwa miaka yote hyo.. Hakuna mjinga wa kuvunja ndoa ya miaka 15 kwaajili ya Hawara..huyo Jamaa mmeona alichoandika?
@KAENI..CHINI..MYAMALIZE
Nna uhakika kuna ugomvi mkubwa sana tena wa muda mrefu na huyo mwanamke amekuwa akitulizwa munkali na huyo Hawara yake for long time pindi akikumbana na mumewe..
Cha kufanya.. Wewe rafiki wa huyo mume Waite uwasikilize wote kisha utakuja kutupa mrejesho hapa.. There's a big problem.
Mi kuishi na mwanamke aina hii siwezi atanitafutia matatizo ya kununua gunia mbili za mkaa mgombaWaungwana, Bazazi kasimuliwa na mdau wake jinsi ndoa yake inavyoyumba. Kafumania simu ya mke ikiwa na sms za wasap na za kawaida. Anawasiliana na mpenzi wake wa pili baada ya kiwambo kuondolewa. Ni sms za mahaba hasa tena mazito. Mume kambana mkewe, mke hafunguki. Ana ahidi atavunja mawasiliano lakini havunji (mgogoro umeanza Augost '19)
Hasira za mume zimejaa na kufurika baada ya kuona wasap sms ya mchepuko inayoonesha mke anataka kuvunja ndoa. Mke anabembeleza warudishe majeshi ili wawe pamoja lakini mwanaume hataki (anakwepa majukumu labda wakati alikuwa anamega kisela). Anamshawishi ugomvi na mumewe waumalize kwani wao walikuwa childhood friends tu na kwasasa hawawezi geuza lolote na itakuwa ngumu wao kuwa pamoja. Mwanaume ni Mhadhiri Mwandamizi wa Shule ya Sheria ya UD. Mume ana Uzamili ilhali mke ana Shahada.
Hizi ndoa ni changamoto kuu ktk maisha. Ndoa ya miaka zaidi ya 15 yenye watoto leo inatembea ktk uzi mwembamba uliooza. Nimeamini kuoa mwanamke aliyebikiriwa ni KUOA MKE WA MTU.
NB: Kinachomshangaza Bazazi ni kuwa msomi wa sheria hajui kuwa ni kweli Ugoni ni kesi ya MADAI kwa sheria za nchi lakini ni JINAI kwa sheria za Kitaa? Kweli Plato alisema sawa "Love is a serious mental disorder problem"
Bazazi
Ukinunua gunia mbili wanaku report Police just in case. Watch it! Not to that extent!Mi kuishi na mwanamke aina hii siwezi atanitafutia matatizo ya kununua gunia mbili za mkaa mgomba
Haha so Police wametoa angalizo kwa wauza mkaaUkinunua gunia mbili wanaku report Police just in case. Watch it! Not to that extent!
Nimesoma post hii Kwa umakini mkubwa sana ...
Ila niwaambie tu kuwa msibase sana na miaka 15 ya ndoa.. Hamuwez jua mwanamke amevumilia nn Kwa miaka yote hyo.. Hakuna mjinga wa kuvunja ndoa ya miaka 15 kwaajili ya Hawara..huyo Jamaa mmeona alichoandika?
@KAENI..CHINI..MYAMALIZE
Nna uhakika kuna ugomvi mkubwa sana tena wa muda mrefu na huyo mwanamke amekuwa akitulizwa munkali na huyo Hawara yake for long time pindi akikumbana na mumewe..
Cha kufanya.. Wewe rafiki wa huyo mume Waite uwasikilize wote kisha utakuja kutupa mrejesho hapa.. There's a big problem.
Kuna vijana wanaoa masingle maza sembuse asiye na bikraUnaoa mwanamke asiye na bikra bado ujiite mwanaume mwenye akili.
Sijui vijana mtanielewa Lini.
Nimeongea mpaka basi lakini wapi.
Sitochoka kuwausieni
Ndo madhara ya mwanaume kukomaa kuoa anaempenda ...nadhani ni bora kupendanaMume sio "romantic" hata akiandika sms anajibu kirahisi.
Mume sio lovely hata hajui kumperemba mke
Mume anajali sana, hakuna anachotaka akakosa
Mke kamchoka mume maana hajawahi piga simu
Akipiga ujue kuna matatizo yanayotaka nafasi ya mume
LadyRed wanawake wengi (68%) wameolewa na wanaume wasiowapenda. Huyo ameolewa akiwa na 29. Nahisi alichangamkia FURSA tu. Kwanini hakuolewa na MHADHIRI, sijui.
Nachokiona; Hampendi mshikaji nadhani
Bazazi
.
Unadhani kuishi na mtu maisha yote mchezo?..Mi kuishi na mwanamke aina hii siwezi atanitafutia matatizo ya kununua gunia mbili za mkaa mgomba
Tupo wenye digrii 2-3.... Tunaolewa vizuri tuu... Tena kwa vigelegele....Bado kuna wanaume wanaoa wanawake waliofika chuo?
Si mchezo ila kwanini nafsi ikuendeshe kwanini unatafuta matatizo yanayoweza epukika kwani ukivua chupi nje ya ndoa utapata nini cha ziada ambacho hukijui zaidi utakutana na vijana watataka kula birianiUnadhani kuishi na mtu maisha yote mchezo?..
Wanaume kuchepuka halaliSi mchezo ila kwanini nafsi ikuendeshe kwanini unatafuta matatizo yanayoweza epukika kwani ukivua chupi nje ya ndoa utapata nini cha ziada ambacho hukijui zaidi utakutana na vijana watataka kula biriani
Ikishajulikana umeharibu kila kitu. LadyRed, chepuka isijulikane. Ikijulikana unalo na lako hilo lazima uhangaike nalo. Ktk kisa hiki, mahusiano yalianza upya July, 2018, mume kajua Agost, 2019. Kabla ya kukumburukiwa, nini kilikuwa shida?Wanaume kuchepuka halali
Ila mke kupoza injini kidogo kesi
Mke ajitahidi amuombe msamaha wayajengeIkishajulikana umeharibu kila kitu. LadyRed, chepuka isijulikane. Ikijulikana unalo na lako hilo lazima uhangaike nalo. Ktk kisa hiki, mahusiano yalianza upya July, 2018, mume kajua Agost, 2019. Kabla ya kukumburukiwa, nini kilikuwa shida?
Fikiri kwa hekima ili usiongozwe na mihemko
Bazazi!
WordFrom my point of view Jamaa yaani mchepuko ni mtu mstaarabu, shortly genius.. Kama mtu mwenye akili huwezi kutaka kuvunja ndoa ya watu iliyodumu kiasi hiko.
Somo lingine hapa dada zangu mjifunze.. wanaume zenu wa huko nje huwa wanataka uchi tu.. hawapo tayari kuchukua majukumu..kuchepuka kusikufanye umshushie thamani mumeo!
Kwa upande wa mwanaume aendeleze gambe..asivunje ndoa..hakuna mwanamke atakuwa wa peke yake, avumilie safari waifikishe salama!
Khan!