Ndoa Inavunjika Hiyo!

Siwezi kuchepuka, mchepuko atanipenda nikiwa kwako! Siku ukiniacha hawezi nisaidia lolote zaidi ataenda kwa mkewe ama mpenziwe!
Hizi ni aina za wanawake wenye akili timamu japo mpo wachache. Wengi wana akili fupi kama urefu wa mkojo wao wakichutama.
 
Huyu jamaa anajiona kamanda sana wakati kimsingi ni mweupe sana katika tasnia..Wahuni tunamcheki tu siku akija kugundua kwamba umalaya hauhusiani na bikra tutaelewana freshi.
 
Hahahahah wakati unapambana kuhakikisha yupo happy yeye ndio anakuona kituko tu 😂😂😂 bro you can't these creatures! Hakosi kasoro ya kumfanya atoke nje ya ndoa with all the good you do tena bora uwe kaxi tu it will save you alota dramaz!

Hakawilii kusema you are too nice its boring her!
 
Ndo maana sitaki mawasiliano na ma Exs shetani huanzia hapo ktk mawasiliano
Sio exes tu bali hata wanaume wengine tu! Kuna watu wanapenda flirting around girls tu.

Ukimpa attention yako utajikuta umesaliti mwenzi wako pasi na kuelewa how are you able to do that. Kikikolea ndio unakuwa mchezo mpaka unafumaniwa.
 
Sio exes tu bali hata wanaume wengine tu! Kuna watu wanapenda flirting around girls tu.

Ukimpa attention yako utajikuta umesaliti mwenzi wako pasi na kuelewa how are you able to do that. Kikikolea ndio unakuwa mchezo mpaka unafumaniwa.
Nyege haijawai mwacha mtu salamaa!!
 
Kumbe ndoa zina mambo hivo
,

Bhasi asinishauri mtu kuoa dadeq
 
Kuna baadhi watu humu wamezungumzia kuhusu kuoa msichana ambaye ni bikra, sikatai ni ushauri mzuri tu.

Ila niseme tu hawa wasichana wa siku hizi wamekua watu wa tamaa na watu wa kujaribu jaribu

Hivo kama kuna kitu atakikosa kwako bhasi atakitafuta kwa mwenzako tu
 
Wanawake wangeelewa huu ukweli ndoa zingedumu sana. Thanx!
Kitu ambacho wanawake hatukielewi mchepuko hawezi kukuoa kamwe!
Sasa kama hawezi kukuoa ya nini kuweka ndoa yako kwenye matatizo?!
 
kumbe haya mambo yapo ad kwa watu wazma
 
Unaoa mwanamke asiye na bikra bado ujiite mwanaume mwenye akili.

Sijui vijana mtanielewa Lini.

Nimeongea mpaka basi lakini wapi.

Sitochoka kuwausieni
mimi nlishasema siwezi kutoa mahari kwa mwanamke asiye bikra never ever
 
Upo ndan ya ndoa yao?

Kuna mengi ambayo huwa hayasemwi ambayo ndiyo haswa chanzo cha tatizo

Unafikiri kuna mwanandoa atakusimulia kwamba "mme wangu hanifanyi vizuri!"

Yale root cause huwa yanafichwa sana yanajadiliwa ya juu juu tu
Amejuaje kuwa "mume wake hamfanyi vizuri" kama si uzoefu wa umalaya alioufanya/anaoufanya nje ya ndoa?
 
Suluhisho ni kuoa polygon tu,unajilia mwenyewe hadi uzeeni
Mkuu, hata ukioa polygon wanaume wwakware lazima waombe game kwa mkeo tu ili wa-test ambacho kimekuvutia wewe! Na yeye akikutwa hamnazo tu ndo anakuwa kipoozeo cha mtaa!
 
Amejuaje kuwa "mume wake hamfanyi vizuri" kama si uzoefu wa umalaya alioufanya/anaoufanya nje ya ndoa?
unataka ligi tu.

wewe hapo ulipo umedate wanawake wangapi na kuwaacha bila kuwaoa?
 
unataka ligi tu.

wewe hapo ulipo umedate wanawake wangapi na kuwaacha bila kuwaoa?
Wala siyo kutaka ligi, huo ni uhalisia tu. Huwezi kujua kitu flani "kinafanya vizuri" bila kuwa na "benchmark"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…