Ndoa inataka kunishinda

Status
Not open for further replies.
Teh teh africa bana! Hapa angekuwa mwanaume ndiyo anapitia hayo ungesikia chepuka tu au piga chini oa mwingine ila kwa vile ni mwanamke anaambiwa amvumilie tu mume wake!
Sasa sindio atafte ufumbuzi wa tatizo hilo au nawewe nikikuoa utachepuka😁
 
Teh teh africa bana! Hapa angekuwa mwanaume ndiyo anapitia hayo ungesikia chepuka tu au piga chini oa mwingine ila kwa vile ni mwanamke anaambiwa amvumilie tu mume wake!
Watu wanatia unaa tu humu

Hakuna mwanaume wa kuvumilia hizo two years aisee!

Kama hakukuwa na sex baada ya ndoa kufungwa basi ndoa haikua consummated/ actualized na yaweza tenguliwa kanisani.
 
Watu wanatia unaa tu humu

Hakuna mwanaume wa kuvumilia hizo two years aisee!

Kama hakukuwa na sex baada ya ndoa kufungwa basi ndoa haikua consummated/ actualized na yaweza tenguliwa kanisani.
Kigezo kinaruhusu kabisa tena ni miezi 6 tu! Kama hamna show kila mtu arudi kwa mzazi wake aliomzaa!
 
Huu ufilisti na upadre umeuanza lini? Wewe si ndiyo huwa unapenda hayo mambo ya kulana kimasihara waache watu wakulane kimasihara wewe!
😂😂😂Nilivyoona comments yake anawazibia wenzie nilicheka huku nilipo teh teh ibilisi kageuka Malaika
 
Teh teh africa bana! Hapa angekuwa mwanaume ndiyo anapitia hayo ungesikia chepuka tu au piga chini oa mwingine ila kwa vile ni mwanamke anaambiwa amvumilie tu mume wake!
Mataifa ya Wenzetu huwa wanakuja kujifunza Unafikiii kwetu
 
Mngekuwa mnajua mnaniumiza kusema nimewapa chai bas tu Mungu anitie nguvu
I'm sorry!

Kama ni ishu ya kweli basi wewe ni mwanamke mvumilivu kwelikweli.

Ndoa mlifungia kanisa lipi? Viongozi wenu wa kanisa wanasemaje?

Lastly wewe unatakaje sista? Mwenzako anasema umvumilie mpaka lini labda?
 
Rudini mkapime afya zenu huenda akawa anakunusuru na umezaji vidonge kila siku hivyo usimlazimishe hiyo kitu ana mengi kayaficha moyoni
 
Ahahahh Mzee kumbe ulipitia magumu hivi?

I'm pretty sure huyo binti Leo mkionana anakuona bonge la khanithi
,Mzee wa show mbovu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…