Kabisa,Hizi familia tunazoji sogezamo ni za kuwa nazo makini sana yani! Familia zenye washirkina huharibia sana watu maisha
Mungu hana mipaka,ila sisi ndo tunajiwekea mipaka. Afu mi nimesema aombe ishara kama kuna ndoa au ndoanoAnataka watoto wa kumzalisha hana time for two year amwombe Mungu amjaze mimba kama bikira Maria!
Yes yuko kwenye critical situation I understand and it hurt a lot, ila nyeeege baba kitu kingine waweza paramia hata kichaa, na usingizi unakuwa huupati vizuri kabisa, before mengine afikirie Hilo.Mwenzako yupo kwenye critical situation, ingekuwa swala la kuchepuka huenda hata asingekuja hapa. Naamini anahitaji ushauri wa kujenga, hata kama iwe divorce lakini naona anahitaji ushauri wa kumjenga zaidi.
Kitendo cha jamaa kukaa miaka miwili bila tendo kinafanya yoyote ajiulize maswali mengi, binafsi hata majibu yanakuwa machache, turned into gay na mambo ya kishirikina, zaidi ya hapo sioni sababu nyingine. Stress/depression gani hiyo miaka miwili.
Saa nyingine hata hajalogwa ni ameathirika kisaikolojia tu huyoUshauri wa kujenga ni kwa Kuhani Musa tu ama apande boti aende pembajamaa atakuwa alimsaliti demu wa mwananyamala akamnyoosha
Ndugu walikuwa wananismanga sizai mara tasa mateso niliyopitia najua mm ndo chanzo cha kumkimbia kwenda kuish mwenyew akanywa sumu ndugu wakataka kuniweka ndani kua m sabab ya ndugu yao kujiua ikabid kikaliwe kikao nikayaxungumza hayo, kunawatu mnakimbilia kuhukum bila kujua mtu anapitia nn bora mkaage kimya kama mmekosa la kusemaDuh kwahyo na wewe uliwaambia ndugu kuwa mumeo hafanyi kazi hukuona aibu Ili umusitiri utafte ushauri kwa watu wazima wasio wajua maana hyo tu imeshaharibu kabisa saikolojia yake mazima
Anataka kuharibu pengine
Mkuu why 21 July?? Maana hii tarehe kwangu ninastoria nayoPole na matatizo
Kutokana na Ndoa ni kitu kikubwa anza kufanya uchunguzi in details unaweza kuta umeolewa na mke wa mtu.
Dunia imebadilika
Sasa hayo ya kutajana hadharani ndio yamemharibu na wabongo ubuyu kila Kona almost imeua confidence yake mazima kabisa,Ndugu walikuwa wananismanga sizai mara tasa mateso niliyopitia najua mm ndo chanzo cha kumkimbia kwenda kuish mwenyew akanywa sumu ndugu wakataka kuniweka ndani kua m sabab ya ndugu yao kujiua ikabid kikaliwe kikao nikayaxungumza hayo, kunawatu mnakimbilia kuhukum bila kujua mtu anapitia nn bora mkaage kimya kama mmekosa la kusema
Mkuu tuibie siriMkuu why 21 July?? Maana hii tarehe kwangu ninastoria nayo
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Saikolojia eeh, usiongee hayo mambo ishanikutaga hio hali! Dem nahisi alikuwa na jini mahaba!Saa nyingine hata hajalogwa ni ameathirika kisaikolojia tu huyo
Kwahiyo mm kusemwa tasa sizai na kutaka kufunguliwa kesi ya mauaji unaona hayana uzito bali ya yy kusemwa hadharani? Can imagine wazaz wangu wanapokea taarifa nimefunguliwa kesi ya mauaji, hapo bado jamii inaninyooshea kidole nimemkimbia mume ksa sizai, ila yy astiriwe? Hiv umefikiria mara mbili kabla ya kumdefend muhusika?Sasa hayo ya kutajana hadharani ndio yamemharibu na wabongo ubuyu kila Kona almost imeua confidence yake mazima kabisa,
Wanaishi kama kaka na dada😅Yani mke anakubinulia tyako for two good yrs wewe unamwangalia tu, tena alale na ki night dress chake kwa miaka miwili anakusogezea...hiiiiiiiii!! Hata kama ni msongo dadeq, kuna siku huo msongo utakata na utamnyandua tu, hata kama ni sukari, kuna siku msukumo wa damu utajaza kichwa cha chini utapiga hata tyako kumi....
Hapo ipo namna! Kama hayupo wazi, hataki mshirikishe wadau wa karibu...ndoa ya nini sasa, vunja ndoa hiyo uanze tena upya. Mpe ultimatum, aseme nini shida mtatue, anyut uanze mbele. You're so young kutofurahia maisha, bila kunyanduana hakuna ndoa, stress za maisha ya ndoa zinapinguzwa kwa kiasi kikubwa na utam hakyanani.
Huyo jamaa achana nae lala mbele itakusaidia sana kama utazingatiaKwahiyo mm kusemwa tasa sizai na kutaka kufunguliwa kesi ya mauaji unaona hayana uzito bali ya yy kusemwa hadharani? Can imagine wazaz wangu wanapokea taarifa nimefunguliwa kesi ya mauaji, hapo bado jamii inaninyooshea kidole nimemkimbia mume ksa sizai, ila yy astiriwe? Hiv umefikiria mara mbili kabla ya kumdefend muhusika?
Kuna mambo bila utatuzi ni ngumu sababu hata ingekuwa jamaa mwanamke hazai asingekubali kuendelea kuwa nae angempiga chini tu😅 ila najiuliza maisha ya kukaa na dem kama una nguvu za kiume kweli utakosa kumpa mimba? Demu umtie for 6 full months asinase hata siku moja?Cha msingi mpe talaka mumeo, ndoa itenganishwe utafute bwana mwingine uolewe nae, maisha yenyewe mafupi, utamsubiri mpaka lini? Fikiri tena, na uchukue uamuzi wa moja kwa moja na usirudi mezani kwa makubaliano.
Nachopenda kujua je uliwahi kushika mimba kwa kipindi hiko cha nyuma au mlikuwa mnasex na kinga tu?Kwahiyo mm kusemwa tasa sizai na kutaka kufunguliwa kesi ya mauaji unaona hayana uzito bali ya yy kusemwa hadharani? Can imagine wazaz wangu wanapokea taarifa nimefunguliwa kesi ya mauaji, hapo bado jamii inaninyooshea kidole nimemkimbia mume ksa sizai, ila yy astiriwe? Hiv umefikiria mara mbili kabla ya kumdefend muhusika?
Hapa mkuu umeongea kiuzoefu kabisa hahahhaNachopenda kujua je uliwahi kushika mimba kwa kipindi hiko cha nyuma au mlikuwa mnasex na kinga tu?
Kuna ile inatokeaga tu umekamata mimba ya jamaa! Au mlikuwa mnabugia P2 tu kama pipi?
Asa amchoke mtu alieamua kumuoa? Au huyu binti labda alilazimisha ndoa or something maana saingine kweli mtu mmetoka mbali ila ashakusoma madhaifu yako akawa hana tena hamu ya kuoa ila unakuta binti anafosi tu kwa haraka zake wana ile kauli unanizeesha tu😅 ndoa za hivi hiwa sio nzuri. Unakuta bwashee anaoa kishingo upande ila kumbe ana kidosho chake somwhere anaamua kumnyima sex mwanamke wa nyumbani tu makusudikale hana hamu nae.Msongo wa mawazo, Sukari, kumchoka mwenzio, kutokufurahishwa na mwenzio hizi Ndio sababu msingi. Ukikua utazifikia