Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,481
- 3,991
Una watoto wamgapi na kwanini unaohopamku,wacga mbona anataka kuachwa huyoo au ongeza mke mwingine atakuwa na adabu
Kaka kutokana na migogoro mke wangu aliwahi fika kazin kwangu na kueleza uongo ili awe anapewa nusu mshahara, baada ya kupangua hilo na ofisi kuthibitisha kuwa sio kweli! Lakin pia nimekuwa nikitishiwa nae kwa atanikomoa hali ambayo imepwlekea nikae nae mbali lakin akiwa nyumban kwetu na huduma zote anapata lakin ammekuwa mtu wa kuendeleza ugomvi huku akilazimisha kukaa pamoja ambapo hapo cjaua anajiandaa kunikomoa kwa njia gan.Baada ya hapo nilifatilia ili nijue kaanzaje kufika kazin ndipo nilithibitisha kuwa ni maagizo ya wazaz wake ambapo wazaz wake niliingia mgogoro nao baada ya kukataa kuwanunulia viti yaani sofa kwan hawakutimiza makubaliano