Ndoa inanishinda, naomba mnishauri kisheria

mwambyetete

Senior Member
May 17, 2018
126
196
Habari za Jumapili wapendwa
Hivi kunapotokea mgogoro baina ya wanandoa ambapo katika hiyo migogoro mke hapigwi wala hajatishiwa maisha,,baba mzaz wa mwanamke anaruhusiwa kwa utaratibu wa sheria ipi kunipeleka mahakaman mimi mume?

Pili baba mkwe anapomuhitaji binti yao lakin hasemi waz lengo wa kumuhitaj bint yao kama anavunja ndoa kabisa ama ana nia ya kwenda kumkanya mtoto wao wakati huo huo tuna watoto wadogo ambapo mimi kama baba wa familia sina iman na mazingira ambayo wataenda kuishi wanangu,naweza kutumia utaratibu gan wa kisheria wa ama wamchukue binti yao bila ya watoto yaani nibaki na watoto ili ataporud awakute watoto huku ninakoishi hapo izingatiwe kuna mtoto wa mwaka mmoja na miezi miwili?

Kutokana na migogoro hiyo ambapo wife amekuwa akinitishia kuwa atanikomoa kwa njia yoyote na ushahidi ninao hivo nililazimika kumuacha nyumbani kwetu na mimi kuishi mbali nae,lakin kila wiki huwa naenda kuwajulia hali na kupeleka mahitaji ,je naweza kushitakiwa kwa kosa gani hapo?

Mke wangu alitoa kauli kwamba mama yangu mzaz na yey ni kama mtu na mke mwenza,je naweza kumshitak kwa matusi hayo?

Baba mkwe amenipigia simu na kunitishia kwamba atakuja kuchukua familia yangu,,je akifanya hivo na mimi nikazuia yey kuondoka na watoto, ntakuwa na kosa lolote kisheria?

Naomba niwatakie siku njema naomba mnishaur kwa upendo,pale nilipokosea au sijaeleweka niko tayar kutoa ufafanuzi pia matus ruksa
 
Unazani ni kwanini mke wako amefikia hatua ya kutoa taarifa hizo kwa wazazi wake?
Kaka kutokana na migogoro mke wangu aliwahi fika kazin kwangu na kueleza uongo ili awe anapewa nusu mshahara, baada ya kupangua hilo na ofisi kuthibitisha kuwa sio kweli! Lakin pia nimekuwa nikitishiwa nae kwa atanikomoa hali ambayo imepwlekea nikae nae mbali lakin akiwa nyumban kwetu na huduma zote anapata lakin ammekuwa mtu wa kuendeleza ugomvi huku akilazimisha kukaa pamoja ambapo hapo cjaua anajiandaa kunikomoa kwa njia gan.Baada ya hapo nilifatilia ili nijue kaanzaje kufika kazin ndipo nilithibitisha kuwa ni maagizo ya wazaz wake ambapo wazaz wake niliingia mgogoro nao baada ya kukataa kuwanunulia viti yaani sofa kwan hawakutimiza makubaliano
 
Habari za jumapili wapendwa
Hivi kunapotokea mgogoro baina ya wanandoa ambapo katika hiyo migogoro mke hapigwi wala hajatishiwa maisha,,baba mzaz wa mwanamke anaruhusiwa kwa utaratibu wa sheria ipi kunipeleka mahakaman mimi mume??
Pili baba mkwe anapomuhitaji binti yao lakin hasemi waz lengo wa kumuhitaj bint yao kama anavunja ndoa kabisa ama ana nia ya kwenda kumkanya mtoto wao wakati huo huo tuna watoto wadogo ambapo mimi kama baba wa familia sina iman na mazingira ambayo wataenda kuishi wanangu,naweza kutumia utaratibu gan wa kisheria wa ama wamchukue binti yao bila ya watoto yaani nibaki na watoto ili ataporud awakute watoto huku ninakoishi hapo izingatiwe kuna mtoto wa mwaka mmoja na miezi miwili??
Kutokana na migogoro hiyo ambapo wife amekuwa akinitishia kuwa atanikomoa kwa njia yoyote na ushahidi ninao hivo nililazimika kumuacha nyumbani kwetu na mimi kuishi mbali nae,lakin kila wiki huwa naenda kuwajulia hali na kupeleka mahitaji ,je naweza kushitakiwa kwa kosa gani hapo??
Mke wangu alitoa kauli kwamba mama yangu mzaz na yey ni kama mtu na mke mwenza,je naweza kumshitak kwa matusi hayo??
Baba mkwe amenipigia simu na kunitishia kwamba atakuja kuchukua familia yangu,,je akifanya hivo na mimi nikazuia yey kuondoka na watoto, ntakuwa na kosa lolote kisheria??
Naomba niwatakie siku njema naomba mnishaur kwa upendo,pale nilipokosea au sijaeleweka niko tayar kutoa ufafanuzi pia matus ruksa
Pole sana. Nitumie no yako na ya mkeo inbox niwasuluhishe...
 
Pole sana kaka umeoa mwanamke anayekucontrol, sioni mwisho mzuri wa hili jambo.

Nje ya mada, huyu mwanamke ni mchaga?
 
Kaka kutokana na migogoro mke wangu aliwahi fika kazin kwangu na kueleza uongo ili awe anapewa nusu mshahara, baada ya kupangua hilo na ofisi kuthibitisha kuwa sio kweli! Lakin pia nimekuwa nikitishiwa nae kwa atanikomoa hali ambayo imepwlekea nikae nae mbali lakin akiwa nyumban kwetu na huduma zote anapata lakin ammekuwa mtu wa kuendeleza ugomvi huku akilazimisha kukaa pamoja ambapo hapo cjaua anajiandaa kunikomoa kwa njia gan.Baada ya hapo nilifatilia ili nijue kaanzaje kufika kazin ndipo nilithibitisha kuwa ni maagizo ya wazaz wake ambapo wazaz wake niliingia mgogoro nao baada ya kukataa kuwanunulia viti yaani sofa kwan hawakutimiza makubaliano
Nimefatlia ulivyojieleza na unavyojieleza, si bure kuna kitu nyuma ya pazia!! Mungu awape Hekima katika Hili!!
 
Habari za jumapili wapendwa
Hivi kunapotokea mgogoro baina ya wanandoa ambapo katika hiyo migogoro mke hapigwi wala hajatishiwa maisha,,baba mzaz wa mwanamke anaruhusiwa kwa utaratibu wa sheria ipi kunipeleka mahakaman mimi mume??
Pili baba mkwe anapomuhitaji binti yao lakin hasemi waz lengo wa kumuhitaj bint yao kama anavunja ndoa kabisa ama ana nia ya kwenda kumkanya mtoto wao wakati huo huo tuna watoto wadogo ambapo mimi kama baba wa familia sina iman na mazingira ambayo wataenda kuishi wanangu,naweza kutumia utaratibu gan wa kisheria wa ama wamchukue binti yao bila ya watoto yaani nibaki na watoto ili ataporud awakute watoto huku ninakoishi hapo izingatiwe kuna mtoto wa mwaka mmoja na miezi miwili??
Kutokana na migogoro hiyo ambapo wife amekuwa akinitishia kuwa atanikomoa kwa njia yoyote na ushahidi ninao hivo nililazimika kumuacha nyumbani kwetu na mimi kuishi mbali nae,lakin kila wiki huwa naenda kuwajulia hali na kupeleka mahitaji ,je naweza kushitakiwa kwa kosa gani hapo??
Mke wangu alitoa kauli kwamba mama yangu mzaz na yey ni kama mtu na mke mwenza,je naweza kumshitak kwa matusi hayo??
Baba mkwe amenipigia simu na kunitishia kwamba atakuja kuchukua familia yangu,,je akifanya hivo na mimi nikazuia yey kuondoka na watoto, ntakuwa na kosa lolote kisheria??
Naomba niwatakie siku njema naomba mnishaur kwa upendo,pale nilipokosea au sijaeleweka niko tayar kutoa ufafanuzi pia matus ruksa
Inaonekana hukutoa mahari, ulimbeba binti wa watu kimyakimya tu. We kalipe pesa mzee akuone wa heshima acha kulalamika
 
Heeeeee umejuaje?? Mama yake n mchaga n baba ake ni muha!!
Pole sana kaka, kulingana na experience yangu iliyotokana kudate wanawake wa makabila hayo, wako very controlling, kujinasua katika mtego huo inahitaji hekima na busara...huyo mwanamke na baba yake+ mama yake watakutesa sana, hasa ikiwa usiyependa fujo na ubishi, utajikuta unafanya jambo ili uwaridhishe mwende sawa.

kuna siku matakwa yao yatakushinda, unahitaji hekima na busara kudeal nao, vinginevyo naona ndoa itavunjika.

By the way sijui siku mwanamke ananitamkia aliyokutamkia, sijui nini kitatokea ninavyojifahamu, maana yanaudhi.
 
Kaka kutokana na migogoro mke wangu aliwahi fika kazin kwangu na kueleza uongo ili awe anapewa nusu mshahara, baada ya kupangua hilo na ofisi kuthibitisha kuwa sio kweli! Lakin pia nimekuwa nikitishiwa nae kwa atanikomoa hali ambayo imepwlekea nikae nae mbali lakin akiwa nyumban kwetu na huduma zote anapata lakin ammekuwa mtu wa kuendeleza ugomvi huku akilazimisha kukaa pamoja ambapo hapo cjaua anajiandaa kunikomoa kwa njia gan.Baada ya hapo nilifatilia ili nijue kaanzaje kufika kazin ndipo nilithibitisha kuwa ni maagizo ya wazaz wake ambapo wazaz wake niliingia mgogoro nao baada ya kukataa kuwanunulia viti yaani sofa kwan hawakutimiza makubaliano
Mkuu hapa kama unataka kusaidiwa usifiche kitu eleza vzr watu wakusaidie
 
Pole sana kaka, kulingana na experience yangu iliyotokana kudate wanawake wa makabila hayo, wako very controlling, kujinasua katika mtego huo inahitaji hekima na busara...huyo mwanamke na baba yake+ mama yake watakutesa sana, hasa ikiwa usiyependa fujo na ubishi, utajikuta unafanya jambo ili uwaridhishe mwende sawa.

kuna siku matakwa yao yatakushinda, unahitaji hekima na busara kudeal nao, vinginevyo naona ndoa itavunjika.

By the way sijui siku mwanamke ananitamkia aliyokutamkia, sijui nini kitatokea ninavyojifahamu, maana yanaudhi.
Asante saaana ndugu yangu
 
Mmmhh!! Sasa kama ni hivyo, kupata suluhisho ni kazi!!.....kuna wazazi wa kichaga wana uhuni sana kweny izi ishu za ndoa, bora nibaki single kuliko nibebe mchaga mana nawajua fika hata kama origin yang ni hiyo
Ni kweli mkuu wazazi wengi wa kichaga wanapenda kuingilia ndoa za watoto wao, na huwapa kiburi fulani wanawake walioolewa.
 
Back
Top Bottom