Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Lakini sio kazi rahisi kabisaUshauri wangu kwako!
Kwasasa muweke pembeni kimawazo na kihisia usije ukakosa vyote, hudumia mimba yako ujifungue salama .. Kumbuka huyo ndio atakuwa faraja yako
Lakini sio kazi rahisi kabisaUshauri wangu kwako!
Kwasasa muweke pembeni kimawazo na kihisia usije ukakosa vyote, hudumia mimba yako ujifungue salama .. Kumbuka huyo ndio atakuwa faraja yako
Kwa nini asishike simu ya mumewe?Wewe ndoa itakushinda kwa ujinga wako Simu ya mtu unashika ya Nini?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kuna mahali nimekuta unatoa povu kwelikweli kisa kidume kaleta mada ya Usaliti mnapotoa ushauri msiangalie jinsiaHahahhahah kwahio mie mnafiki jamani😅 natoa ushauri kulingana na situation! Mwanaume ndio kazingua. Mke angezingua ningemshauri mwanaume afukuze
Utajuaje kama atakuletea maradhi ama la!ndugu yangu ni maumivu mnoUsikate tamaa,vumilia tu,Usiondoke pambana na ndoa yako,hao michepuko wanapita tu
Hiyo ndiyo hulka ya mumeo kwahiyo ipotezee usimfuatilie ukimfuatilia utazidi kuumia kila kukicha,kikubwa asikuletee malazi tu.
Hakuna haja ya kushtaki kwa mchungaji
Wanasema ndoa kuvumilia,kwahiyo vumilia.
Wanaume na michepuko kama chura na maji.
Kwani ni kosaWewe ndoa itakushinda kwa ujinga wako Simu ya mtu unashika ya Nini?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Inabidi kukubaliana sitoshika yako na simu yangu usithubutu kuishika.Wewe ndoa itakushinda kwa ujinga wako Simu ya mtu unashika ya Nini?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Uhai kwanza. Kuna mimba nyingine changamoto zinasumbua mno kama mtu anajua mwenza wake ana ujauzito halafu una changamoto bado unaendekeza sex hapana. Kama unampenda mwenzi wako na kujali afya yake utavumilia tu mpaka akae sawa.Tatizo binadamu huwa tunakuwa wabinafsi. Unaona mwenzako anapenda k kutwa mara tatu! Wewe unambania ati una mimba Qu sijui huwezi sex kwa vile una maumivu D2, yeye abake? Mengine ya kujifanya huoni ili siku isogee
![]()
Msaada napata maumivu makali kwenye njia ya haja kubwa
Habari zenu poleni na majukumu, Jamani na shida naombeni ushauri wenu kwa anayejua napata maumivu makali tumbo linanikata sana chini ya kitovu maumivu yanazungua Hadi kwenye njia ya haja kubwa napata vichomi Kama vile naingiziwa kisu hali hii ikinitokea nashindwa kutembea Wala kujigeuza...www.jamiiforums.com
Naelewa unachopitia ndugu yangu.Na Mimi nawaza kitu Kama hicho niwe tu bize na maisha yangu na mwanangu aliye tumboni nafikiria kwanzia Leo nisishike simu yake Wala nisimfatilie akiamua kuchepuka achepuke maana nshaona nikijua naumia alafu ameshanikatisha tamaa coz ndokwanza tuna miezi 6 kwenye ndoa alafu namfuma na wanawake 3 Bora hata angekuwa mmoja ningesema labda kwakuwa na mimba ameona anitafutie msaidizi nafikiria hata siku akitaka nishiriki nae niwe tu Mimi natumia nae condom maisha yote kujiepusha na maradhi maana nimewasiliana na wadada wawili kati ya hao wanasema walikuwa hawatumii condom mmoja ndoanasubiri kazi ya upolisi hivyo alimforce wakapime ukimwi kuhofia asijepata maambukizi akakosa kazi, yani hata hajali afya yangu na mtoto wake mpaka Kuna wakati inanijia roho ya kishetani nawaza sijui nimchomee hata ndani jamani naumia Basi tu mpaka naona tena Kama huu ujauzito nlobeba ni mzigo kwangu maana mimba tu nayo inanitesa naumwa badala ya yeye kuwa faraja kwangu ndokawa Moto ananichoma
Hujawahi experience hiyo hali maana wewe ni mwanamke. Unajua sisi sper-ms zikishatengenezwa lazima zitoke. Kama umezoea nyeto utapiga chooni zitatoka lakini kama umezoea zinatoka katika K, hata unyeto vipi hazitoki na hata zikitoka Ccm Juu itafanya mishipa ya dushe ikuume ajabu. Kwa hali hiyo Machangu wa barabarani huwa ndiyo wanaokoa jahazi unatandika viwili kwa buku 2 unarudi home kwa mkeo na penzi moto moto. Ubinafsi unakufanya wewe uone anahitaji kuvumilia, maumivu huwa hayavumiliki na kumbuka Mchepuko ni shock absorber ya ndoaUhai kwanza. Kuna mimba nyingine changamoto zinasumbua mno kama mtu anajua mwenza wake ana ujauzito halafu una changamoto bado unaendekeza sex hapana. Kama unampenda mwenzi wako na kujali afya yake utavumilia tu mpaka akae sawa.
Maumivu makali,avumilie tuUtajuaje kama atakuletea maradhi ama la!ndugu yangu ni maumivu mno
Anachokipitia huyo dada Kwa sasa kama mtu hajawahi kupitia basi. Hatoweza kuhisi uchungu anaoupitia Kwa sasa
Ebu acha kutetea uovu kwa uovu. Haya wale wanaokuwepo jela wanatoaje hizo sperms zao au wao sio marijali? Ukiwa mgonjwa kitandani utazitoaje? Kujiendekeza tu kwani unafikiri wanawake ni magogo wao hawana ashki?. Kwahiyo mchepuko ndio kazi yake hiyo basi msitoe macho na nyie mkisaidiwa kipindi ambacho mnashindwa kuhudumia wake zenu.Hujawahi experience hiyo hali maana wewe ni mwanamke. Unajua sisi sper-ms zikishatengenezwa lazima zitoke. Kama umezoea nyeto utapiga chooni zitatoka lakini kama umezoea zinatoka katika K, hata unyeto vipi hazitoki na hata zikitoka Ccm Juu itafanya mishipa ya dushe ikuume ajabu. Kwa hali hiyo Machangu wa barabarani huwa ndiyo wanaokoa jahazi unatandika viwili kwa buku 2 unarudi home kwa mkeo na penzi moto moto. Ubinafsi unakufanya wewe uone anahitaji kuvumilia, maumivu huwa hayavumiliki na kumbuka Mchepuko ni shock absorber ya ndoa
Hiki ndio chanzo cha matatizo ya ndoa nyingi sana kumkadilia mume wako kama yeye ni malaika. Yaani mwanamke umemtunza anapendeza alafu anataka mulale kama Kaka na dada yake. Usimpige miti, usimkojoze wapi na wapi ukininyima mbususu naitafuta inakopatikanaHivi unakumbuka wewe uliacha kusex maana kunauma? Ulitaka aishije?
![]()
Mimi mjamzito napata maumivu wakati wa tendo la ndoa
Habari zenu? Naombeni msaada wa dawa au ushauri kwa anayefahamu chanzo Cha tatizo langu, Mimi ni mjamzito wa miezi 2 Ila tatizo langu kila nikikutana na mme wangu napata maumivu makali yani nakuwa Kama vile na vidonda pia baada ya tendo huku chini kunakuwa kunawaka Moto inabidi nijimwagie maji...www.jamiiforums.com




wamama badilikeniNdo maana ukapigwa ban🙁Ufukwe wa mabanzi ila watu...🤣🤣
Najaribu kuwaza sana ulianzaje kuwauliza hao wanawake maswali?hapo unauchungu,hasira na mengineyo.vipi ulitumia njia ya kistaarabu kuzungumza nao au ndo hivyo tena…Na miaka 28 nina miaka naye mi 5 kabla ya ndoa na alikuwa hayupo hivi mpaka nawaza au kalogwa mbona ghafla wanawake wote hao alafu Bora ingekuwa hata ana muda nao nilivyongea nao wawili kawatongoza mwezi wa 12 mmoja ndo toka mwezi wa 11 yani kinachonishangaza kwanini wote iwe ghafla ndani ya mwezi mmoja