Ndoa inaelekea kunishinda

Kwa umri mlio nao hizo kondomu mtatumia hadi mwaka gani? Halafu utamu utapungua sanaaa!
 
Kwa hiyo huyo dada mlimshauri nini, pengine itamsaidia na huyu! Hebu toboa tusikie hapa!
 
Mpige maombi ya Yeriko, yeye na michepuko yake.
 
Aliambiwa asikuoe mchaga,ukalazimisha,ukioa mchaga lazima uchepuke tu maana hamjui mapenzi,asipokuua kwa ngoma atakuua kwa presha,ndoa haina baraka
 
siku zote huwa una like leo umetoa point wakakuban jamani
 
Dear katika makosa yatakayofanya nitengane na my lavu wangu, kuchepuka halipo I swear.....
Sasa huyo jamani ni uchepukaji au ujinga, kama umeshakaa miaka naye kadhaa utakomaa, embu umeolewa na miaka yako 22-25 miezi 6 michepuko 3 umekomaa kweli hapo, ila simshauri aondoke ila kwa mwanaume afanyacho sio kabisa
 
hayo mbona ya kawaida tu, yani mi naona kawaida kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au nimelogwa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…